Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

I belive in multiple universes, its called "The Multiverse", its an interesting topic and the doorways into other universe are more interesting "black holes" its the name.....why an omnipotent God create one universe??


Brother this is weak argument, because everything needs to be absolute, everything need to have a certain value, it has to be guided by something, God is all about being Precise.


When you say "Right place and right time" makes me laugh, unrelated things can't just fall together into one another and work perfectly together, do you know what I mean??
The bing-bang made it possible for the sun to be formed and our solar system to be formed by the sun's gravitational embrace, Evolution made it possible for plants to form chlorophyll, a plant makes its own food(glucose) when a photon of light travels from the sun 8 minutes earlier and strikes that chlorophyll starting a chain of reactions that will result in the formation of glucose(remind you that 80% of our foods are palnts and chlorophylls are powerful batteries even more powerful than your car battery) Now how is that even possible?? How does evolution taking place on our small planet made us so dependent on space and stars for our survival which were only formed by accident, as per you?
How did the plant know "let me mutate and form chlorophylls that will allow me to extract and process energy from the biggest source of energy in our solar system" as per you?

Right place right time[emoji28]
Another question to add here. Darwinian evolution starts from a cell now they should tell us where the cell came from since they have not been able to create a single cell in a laboratory till now and the more they think they closer the more complexity arises. Also how evolution was able to switch from species cells to the more comlex human cell like the RNA.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo na wewe ni low minded kwasababu tayari uko trapped na hauwezi kiji-untrap
 
𝑈𝑘𝑖𝑠ℎ𝑎𝑤𝑒𝑘𝑎 𝑛𝑒𝑛𝑜 𝐷𝑒𝑚𝑜𝑛 𝑏𝑎𝑠𝑖 𝑢𝑚𝑒𝑖𝑓𝑢𝑡𝑎 𝑠𝑎𝑦𝑎𝑛𝑠𝑖. 𝐼𝑙𝑎 𝑢𝑘𝑖𝑠𝑜𝑚𝑎 𝑣𝑧𝑟 𝑖𝑛 𝑑𝑒𝑒𝑝 𝐴𝑛𝑎𝑡𝑜𝑚𝑦 𝑜𝑓 𝑏𝑟𝑎𝑖𝑛 𝑢𝑡𝑎𝑡𝑎𝑛𝑢𝑎 𝑠𝑎𝑛𝑎 𝑢𝑒𝑙𝑒𝑤𝑎 𝑛𝑎 𝑢𝑡𝑎𝑜𝑛𝑎 ℎ𝑎𝑡𝑎 ℎ𝑎𝑦𝑜 𝑢𝑛𝑎𝑦𝑜𝑑ℎ𝑎𝑛𝑖 𝑤𝑎𝑡𝑢 𝑤𝑎𝑛𝑎𝑓𝑎𝑛𝑦𝑎 𝑏𝑒𝑦𝑜𝑛𝑑 𝑦𝑜𝑢𝑟 𝑢𝑛𝑑𝑒𝑟𝑠𝑡𝑎𝑛𝑑𝑖𝑛𝑔 𝑘𝑢𝑚𝑏𝑒 𝑦𝑎𝑛𝑎𝑒𝑙𝑒𝑤𝑒𝑘𝑎 𝑡𝑢

𝑁𝑜𝑡ℎ𝑖𝑛𝑔 𝑖𝑠 𝑎𝑏𝑜𝑢𝑡 𝐷𝑒𝑚𝑜𝑛𝑖𝑐𝑎𝑙𝑙𝑦 𝑝𝑜𝑠𝑠𝑒𝑠𝑠𝑒𝑑!
Hata mtu kuwa demonically possessed ni Sayansi,..ila Kwa kuwa huelewi inavyotokea au wale unaowaamini hawajakuambia kuwa hiyo ni sayansi ndiyo maana unasema sio sayansi.


Kwakuwa wewe umeisoma anatomy of the brain in deep,..tuelezee according to brain anatomy,. how mtu anakuwa kwenye hali ambayo watu wanaiita demonic possession kimakosa kama unavyodai....
 
Kwenye swali langu sijataja neno "super natural power" Wala sijautaja uchawi
Ila nmetaka ufafanuzi, Hayo maelezo yako yote yanatoka wapi ?

Mimi nmeuliza swali moja kuwa huwa science wanafail wapi hadi wanakubali ndugu kuondoka na mgonjwa wao bila kuondoa tatizo ?

Sawa kuna majibu umenipa mwishoni kwamba science sio kwamba inafahamu kila kitu,

Nna maswali mawili moja ni ndani ya hii hoja na lingine ni nje ya hii hoja
1; Ni kwanini wasimuache huyo mgonjwa kwajili ya tafiti ili waufahamu ugonjwa huo mpya ambao hauonekani kwenye vipimo na badala yake wanaruhusu tu mgonjwa aondolewe bila wao kuambulia chochote kile ?

2; Umesema science haifahamu kila kitu, Swali, Ni kwanini mmeshahitimisha kuwa Mungu hayupo na mnajua science haifahamu kila kitu na haijavumbua vitu vingi bado ?
𝑁𝑖𝑘𝑢𝑗𝑖𝑏𝑢 𝑛𝑜 1. 𝐾𝑤𝑒𝑛𝑦𝑒 𝑓𝑖𝑒𝑙𝑑 𝑦𝑎 𝑚𝑒𝑑𝑖𝑐𝑖𝑛𝑒 𝑘𝑢𝑛𝑎 𝑘𝑖𝑝𝑒𝑛𝑔𝑒𝑙𝑒 𝑚𝑢ℎ𝑖𝑚𝑢 𝑐ℎ𝑎 𝑘𝑢𝑙𝑖𝑛𝑑𝑎 𝑝𝑟𝑖𝑣𝑎𝑐𝑦 𝑦𝑎 𝑚𝑔𝑜𝑛𝑗𝑤𝑎, 𝑛𝑑𝑖𝑜 𝑚𝑎𝑎𝑛𝑎 ℎ𝑎𝑡𝑎 𝑘𝑎𝑏𝑙𝑎 𝑦𝑎 𝑜𝑝𝑒𝑟𝑎𝑡𝑖𝑜𝑛 𝑙𝑎𝑧𝑖𝑚𝑎 𝑚𝑔𝑜𝑛𝑗𝑤𝑎 𝑎𝑟𝑖𝑑ℎ𝑖𝑒 𝑡𝑒𝑛𝑎 𝑘𝑤𝑎 𝑘𝑢𝑠𝑎𝑖𝑛𝑖 (𝑎𝑛𝑎𝑤𝑒𝑧𝑎 𝑘𝑢𝑟𝑖𝑑ℎ𝑖𝑎 𝑛𝑑𝑢𝑔𝑢 𝑤𝑎 𝑘𝑎𝑟𝑖𝑏𝑢) 𝑆𝑎𝑠𝑎 𝑘𝑢𝑏𝑎𝑘𝑖 𝑛𝑎 𝑚𝑔𝑜𝑛𝑗𝑤𝑎 𝑘𝑤𝑎 𝑎𝑗𝑖𝑙𝑖 𝑦𝑎 𝑡𝑎𝑓𝑖𝑡𝑖 ℎ𝑎𝑖𝑤𝑖 𝑘𝑖𝑟𝑎ℎ𝑖𝑠𝑖 𝑡𝑢 𝑘𝑎 𝑢𝑛𝑎𝑣𝑦𝑜𝑎𝑛𝑑𝑖𝑘𝑎. 𝑊𝑎𝑔𝑜𝑛𝑗𝑤𝑎 𝑤𝑎 𝑡𝑎𝑓𝑖𝑡𝑖 𝑤𝑎𝑝𝑜 𝑘𝑖𝑏𝑎𝑜. 𝑃𝑖𝑎 𝑠𝑖 𝑙𝑎𝑧𝑖𝑚𝑎 𝑚𝑔𝑜𝑛𝑗𝑤𝑎 𝑎𝑠 𝑤ℎ𝑜𝑙𝑒 𝑎𝑤𝑒𝑝𝑜, 𝑖𝑛𝑎𝑤𝑒𝑧𝑎𝑘𝑢𝑐ℎ𝑢𝑘𝑢𝑙𝑖𝑤𝑎 𝑠𝑎𝑚𝑝𝑢𝑙𝑖 𝑘𝑑𝑔 𝑡𝑢 𝑓𝑜𝑟 𝑠𝑡𝑢𝑑𝑦. 𝑃𝑖𝑎 𝑛𝑑𝑢𝑔𝑢 𝑤𝑎𝑡𝑎𝑝𝑒𝑤𝑎 ℎ𝑒𝑠ℎ𝑖𝑚𝑎 𝑦𝑎 𝑘𝑢𝑒𝑛𝑑𝑒𝑙𝑒𝑎 𝑛𝑎 𝑚𝑎𝑡𝑢𝑛𝑧𝑜 𝑦𝑎 𝑚𝑔𝑜𝑛𝑗𝑤𝑎 𝑏𝑎𝑎𝑑𝑎 𝑦𝑎 𝑡𝑖𝑏𝑎...
 
Mbona makanisani kuna watu wengi tu waliowazidi nyinyi uchumi na akili na elimu na maarifa ya kila aina. Mwiguru Nchemba Moshi kule alichangia ujenzi zaidi ya milion 25 cash kama sikosei na ni waziri wa fedha mpaka sasa na yuko wizarani muda mrefu kwanini hafirisiki na anaendelea kula vyeo?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
𝑚𝑡𝑢 𝑎𝑘𝑖𝑤𝑎 𝑛𝑑𝑎𝑛𝑖 𝑦𝑎 𝑘𝑎𝑛𝑖𝑠𝑎 𝑓𝑢𝑙𝑎𝑛 𝑎𝑘𝑎𝑘𝑢𝑧𝑖𝑑𝑖 𝑢𝑐ℎ𝑢𝑚𝑖 𝑛𝑑𝑜 𝑝𝑟𝑜𝑜𝑓 𝑦𝑎 𝑢𝑤𝑒𝑝𝑜 𝑤𝑎 𝑀𝑢𝑛𝑔𝑢? 𝑈𝑛𝑎𝑓𝑎ℎ𝑎𝑚𝑢 𝑘𝑎𝑚𝑎 𝑑𝑟𝑢𝑔 𝑑𝑒𝑎𝑙𝑒𝑟𝑠 𝑛𝑐ℎ𝑖 𝑧𝑎 𝐶𝑜𝑙𝑜𝑚𝑏𝑖𝑎, 𝑀𝑒𝑥𝑖𝑐𝑜 ℎ𝑎𝑡𝑎 ℎ𝑢𝑚𝑢 𝐴𝑓𝑟𝑖𝑐𝑎 ℎ𝑢𝑤𝑎 𝑤𝑎𝑛𝑎𝑗𝑒𝑛𝑔𝑎 𝑘𝑎𝑏𝑖𝑠𝑎 𝐶𝑎𝑡ℎ𝑒𝑑𝑟𝑎𝑙𝑠 𝑘𝑢𝑡𝑜𝑘𝑎𝑛𝑎 𝑛𝑎 𝑝𝑒𝑠𝑎 𝑧𝑎 𝑢𝑛𝑔𝑎?

𝑈𝑛𝑎𝑓𝑎ℎ𝑎𝑚𝑢 𝐻𝑢𝑦𝑜 𝑀𝑤𝑖𝑔𝑢𝑙𝑢 ℎ𝑖𝑦𝑜 𝑝𝑒𝑠𝑎 𝑎𝑙𝑖𝑖-𝑏𝑎𝑙𝑎𝑛𝑐𝑒 𝑤𝑎𝑝𝑖?
 
Acha kuruka ruka bwana mkubwa. Uyahudi ni dini na wanatumia biblia yao ambayo ni muunganiko wa agano la kale na tafsiri za marabbi. Huwezi utenganisha uyahudi na dini ya kiyahudi ndo maan sio wayahudi wote ni watu wa Israel pekee.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
𝐻𝑖𝑣𝑖 𝑘𝑢𝑛𝑎 𝐵𝑖𝑏𝑙𝑖𝑎 𝑏𝑖𝑙𝑎 𝐴𝑔𝑎𝑛𝑜 𝑗𝑖𝑝𝑦𝑎??
 
Hata mtu kuwa demonically possessed ni Sayansi,..ila Kwa kuwa huelewi inavyotokea au wale unaowaamini hawajakuambia kuwa hiyo ni sayansi ndiyo maana unasema sio sayansi.


Kwakuwa wewe umeisoma anatomy of the brain in deep,..tuelezee according to brain anatomy,. how mtu anakuwa kwenye hali ambayo watu wanaiita demonic possession kimakosa kama unavyodai....
𝐼 𝑠𝑎𝑖𝑑 𝑏𝑒𝑓𝑜𝑟𝑒, ℎ𝑎𝑘𝑢𝑛𝑎 𝑘𝑖𝑡𝑢 𝑘𝑖𝑛𝑎𝑖𝑡𝑤𝑎 𝐷𝑒𝑚𝑜𝑛𝑖𝑐 𝑝𝑜𝑠𝑠𝑒𝑠𝑖𝑜𝑛, 𝑠𝑜 𝑛𝑖𝑡𝑎𝑒𝑙𝑒𝑧𝑒𝑎𝑗𝑒 𝑘𝑖𝑡𝑢 𝑘𝑖𝑠𝑖𝑐ℎ𝑜𝑘𝑢𝑤𝑒𝑝𝑜?
 
Hahahahahaaaaaah pole sana.

Hujui hata hiyo 1 plus 1 ni 2 ni imani ulochagua kuamini kwamba mambo yapo hivyo!? Bahati nzuri wapo wengi wanaoamini kwamba hiyo ndiyo jibu la msingi la swali hilo

Mfano mimi hapa nina imani kwamba 1 plus 1 ni 3😆😂😂. Na nimejionea mara kadhaa.

Ona H plus O is H20 a third thing is formed whenever two unique things are added together.
Man 1. plus woman 1. three people man, woman and a child. 3

Hivi unafahamu kwamba dunia inaweza kuopeerate chini ya imani kwamba 1 plus 1 kimsingi ni 3 na isionekane cha ajabu? Kwa sasa tu tumekubaliana hivyo ndio maana unaona kama ni unshackable fact kwamba one plus one ni 2 tu hata iweje. Think again.

Imani haziepukiki
Aisee, hii comment naiwekea lamination. Umepiga kwenye Mshono kabisa
 
Kama alifahamika na wengi, Kwa nini injili hiyo ianze kusambazwa kutoka huko Israel?

Kama yesu huyo alifahamika kila mahali kwa nini habari zake zili sambazwa kwa Mataifa mengine?

Yani uletewe habari za yesu unaye mfahamu tayari?

Kama watu waliokuwa wanasali walikuwa dunia nzima, Kwa nini uanze kueleza habari za huko Israel?
Msingi wa bible ni watu haijalishi wanaishi wapi mataifa yamekuja juzi tu hapa ndo maan hata Israel huko huko kuna dhambi pia. Mbona wametajwa watu kama akina Mussa walioishi Misri. Mbona mitume wengi kama Paul walikuwa wakiishi ulaya. Israel ni jina la mtu kaa ukijua so ni mtu aliempendeza Mungu ndo maan ukoo wake ukachaguliwa Yesu kuzaliwa sababu babu yake Ibrahim alipewa ahadi so hata wewe ukimtumikia Mungu utapewa ahadi vile vile na itakuwa njema acha wivu na zawadi aliopewa mwenzio kwa kujinyenyekeza kwa Mungu.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
𝐾𝑢𝑛𝑎 𝑚𝑎𝑚𝑎 𝑀𝑤𝑎𝑛𝑧𝑎 𝑘𝑎𝑝𝑒𝑙𝑒𝑘𝑎 𝑏𝑎𝑡𝑖 100 𝑘𝑤𝑎 𝑚𝑐ℎ𝑢𝑛𝑔𝑎𝑗𝑖 𝑎𝑚𝑏𝑎𝑧𝑜 𝑚𝑢𝑚𝑒𝑤𝑒 𝑛𝑖 𝑚𝑣𝑢𝑣𝑖 𝑘𝑎𝑧𝑖𝑑𝑢𝑛𝑑𝑢𝑙𝑖𝑧𝑎 𝑓𝑜𝑟 𝑎𝑏𝑜𝑢𝑡 2 𝑦𝑟𝑠. 𝑀𝑐ℎ𝑢𝑛𝑔𝑎𝑗𝑖 𝑘𝑎𝑠𝑒𝑚𝑎 𝑒𝑡𝑖 𝑤𝑎𝑡𝑎𝑜𝑛𝑔𝑒𝑧𝑒𝑤𝑎 𝑛𝑎 𝐵𝑤𝑎𝑛𝑎....ℎ𝑎𝑝𝑜 𝑠𝑖 𝑘𝑢𝑡𝑖𝑎𝑛𝑎 𝑢𝑚𝑎𝑠𝑖𝑘𝑖𝑛𝑖???? 𝐾𝑎𝑜𝑘𝑜𝑒 ℎ𝑖𝑦𝑜 𝑛𝑑𝑜𝑎, 𝑚𝑎𝑧𝑎 𝑎𝑛𝑎𝑡𝑒𝑚𝑒𝑠ℎ𝑤𝑎 𝑏𝑢𝑛𝑔𝑜!
Sasa hilo sio tatizo la dini sababu hakuna sehemu mkristo anaagizwa atoe kitu kumpa mchungaji sababu hata Yesu alikuwa hana nyumba binafsi ya kuishi wala gari pamoja na wanafunzi wake japo alikuwa anaweza kuwa navyo. Mbona kwenye sayansi huko huko kuna mtu katengeneza pombe ,madawa ya kulevya na watu wanafirisika sababu ya hivyo vitu ila hatuoni mkikemea hiyo sayansi. So hapa emu uzungumzie mfumo na sio watu binafsi maana kuna watu wamefirisiwa na waganga wa kienyeji je huo nao ni ukristo? Yesu alisema uzeni mali zenu muawagawie masikini hakusema wapeni makuhani au viongozi wa dini.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
𝑢𝑘𝑖𝑠ℎ𝑎𝑡𝑎𝑗𝑎 𝑘𝑖𝑡𝑢 𝑚𝑢𝑢𝑗𝑖𝑧𝑎 𝑢𝑠ℎ𝑎ℎ𝑎𝑚𝑎 𝑛𝑗𝑒 𝑦𝑎 𝑠𝑎𝑦𝑎𝑛𝑠𝑖...𝑈𝑔𝑢𝑛𝑑𝑢𝑧𝑖 𝑢𝑡𝑎𝑒𝑛𝑑𝑒𝑙𝑒𝑎 𝑛𝑎 𝑚𝑡𝑎𝑒𝑛𝑑𝑒𝑙𝑒𝑎 𝑘𝑢𝑖𝑡𝑎 𝑚𝑖𝑢𝑗𝑖𝑧𝑎, 𝑖𝑙𝑎 𝑛𝑖 𝑠𝑐𝑖𝑒𝑛𝑡𝑖𝑓𝑖𝑐 𝑓𝑖𝑛𝑑𝑖𝑛𝑔𝑠 𝑡𝑢 𝑛𝑎 𝑏𝑎𝑑𝑜 ℎ𝑎𝑡𝑎 𝑚𝑎𝑘𝑎𝑛𝑖𝑠𝑎 𝑤𝑎𝑡𝑎𝑡𝑢𝑚𝑖𝑎...𝑎𝑚𝑘𝑒𝑛𝑖
Hiyo tafsiri ya muujiza uko nje ya sayansi ni nani kakupa hiyo tafsiri? Mbona zamani kulikuwa kuna muujiza wa kunena kwa lugha ya watu wa jamii nyingine mbona leo hii Mungu kaleta google translate je huu si muujiza uliogunduliwa? We unadhan kipindi cha Yesu hakukua na sayansi kabisa ni miujiza tu mwanzo mwisho? Mbona kuna muujiza wa Nuhu kujenga safina na baadae Yesu akaja kupanda mashua na hakushangaa.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Kwenye swali langu sijataja neno "super natural power" Wala sijautaja uchawi
Ila nmetaka ufafanuzi, Hayo maelezo yako yote yanatoka wapi ?

Mimi nmeuliza swali moja kuwa huwa science wanafail wapi hadi wanakubali ndugu kuondoka na mgonjwa wao bila kuondoa tatizo ?

Sawa kuna majibu umenipa mwishoni kwamba science sio kwamba inafahamu kila kitu,

Nna maswali mawili moja ni ndani ya hii hoja na lingine ni nje ya hii hoja
1; Ni kwanini wasimuache huyo mgonjwa kwajili ya tafiti ili waufahamu ugonjwa huo mpya ambao hauonekani kwenye vipimo na badala yake wanaruhusu tu mgonjwa aondolewe bila wao kuambulia chochote kile ?

2; Umesema science haifahamu kila kitu, Swali, Ni kwanini mmeshahitimisha kuwa Mungu hayupo na mnajua science haifahamu kila kitu na haijavumbua vitu vingi bado ?
1. Kuna mambo mengi ya ethics, consent, economy etc yanayoweza kuzuia utafiti. Utafiti wa kiutabibu haufanyiki ovyo ovyo tu. Pia, kuna sehemu nyingi wanafanya tafiti. Hospitali moja au mbili za India hazi represent "science". Unahitaji kuelewa science ni nini kwanza. Science ni nini?

Science si hospitali fulani iliyopo India!

2. Nimekwambis kwamba, unaweza kuwa hujui jibu sahihi, lakini ukajua jibu fulani si sahihi.

Vivyo hivyo, huhitaji kujua kila kitu ili kujua jibu fulani si sahihi. Wewe hujui kila kitu, lakini, hilo halikuzuii kujua majibu fulani si sahihi.

Ni muhimu sana uelewe dhana hii, kwamba, ukiambiwa "tafuta square root ya 2". Halafu ukajua kuwa, square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2, huhitaji kuhesabu namba zote ili kujua kuwa 10 si square root ya 2. In fact, katika step ya kwanza ya "elimination method", unaziondoa namba zote zilizo kubwa kuliko 2 na kusema "jibu langu haliwezi kupatikana huko, jibu ni lazima liwe dogo kuliko 2".

Huhitaji kujua namba zote ili kujua kuwa 10 si square root ya 2.

Swali lako ni kama unaniuliza mimi hivi "Wewe umesema hujui namba zote, unajuaje kuwa 10 si square root ya 2?".

Naweza kujua kuwa 10 si square root ya 2 bila kujua namba zote, tena bila kujua square root ya 2 ni nini. Kwa kujua tu kwamba square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2. Namba yoyote kubwa zaidi ya 2 haiwezi kuwa square root ya 2. Kwa sababu ita contradict kanuni muhimu kwamba square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2.

Niilitoa mfano, mwanamme wa miaka 30 leo, Juma, ambaye hamjui mama yake mzazi, hajui kila kitu, hamjui hata mama yake mzazi, lakini, akiletewa binti mchanga wa miezi 6 leo, Suzy, na kuambiwa kuwa huyo Suzy ni mama yake mzazi Juma mwenye miaka 30, anaweza kujua kuwa huyo Suzy si mama yake mzazi, bila kujua kila kitu, bila hata ya kumjua mama yake mzazi.

Juma mwanamme mwenye miaka 30 leo hahitaji kujua kila kitu ili kujua kuwa Suzy, binti mchanga mwenye miezi 6 leo, si mama yake mzazi, hawezi kuwa mama yake mzazi, kwa sababu Juma kamzidi Suzy kwa miaka 29.5.

Sasa, swali unaloniuliza hapo, la kwamba sayansi inajuaje Mungu hayupo kama haijui kila kitu, ni sawa na kuniuliza, Juma anajuaje Suzy si mama yake mzazi wakati hajui kila kitu?

Huhitaji kujua kila kitu, wala huhitaji kujua jibu sahihi, ili kujua jibu fulani si sahihi.

Juma kajuaje Suzy si mama yake mzazi bila Juma kumjua mama yake mzazi wala kujua kila kitu?

Simple, kwa sababu jibu la Suzy kama mama mzazi wa Juma lina violate kanuni ya logical consistency. Ili Suzy awe mama mzazi wa Juma, inabidi kwanza Suzy atimize sharti la kuwa mkubwa kumpita Juma kwa miaka ya kuweza kumzaa. Suzy si tu hajampita Juma kwa umri huo, bali ni mdogo kuliko Juma kwa miaka 29.5. Hivyo tunajua Suzy hawezi kuwa mama mzazi wa Juma.

Suzy kumzaa Juma ni contradiction ya timeline ya maisha yao. Contradictiin hii inaonesha Suzy hawezi kuwa mama mzazi wa Juma.

Vivyo hivyo, kujua Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, aliyeumba ulimwengu huu ambao unaweza kuwa na mabaya hayupo, tunatumia mantiki hiyo hiyo ya proof by contradiction.

1. Mungu ni mjuzi wa yote
2. Mungu ni mwenye uwezo wote
3. Mungu ni mwenye upendo wote
4.Mungu kaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kuwepo.

1,2,3 na 4 zote haziwezi kuwa kweli bila ya contradiction, Mungu mwenye sifa za 1, 2 na 3 kuumba ulimwengu wa 4 ni contradiction.

Contradiction hii inatuonesha Mungu huyo hayupo na hawezi kuwepo, huyo Mungu ni hadithi za watu tu katika siasa zao.

Tunaweza kujua Mungu huyo hayupo bila kujua kila kitu, kwa proof by contradiction, kama tunavyoweza kujua kuwa Suzy, binti mchanga mwenye umri wa miezi 6 leo, hawezi kuwa mama mzazi wa mwanamme Juma mwenye miaka 30 leo.

Kwa kuangalia mantiki na contradiction.

Tatizo, wangapi wana uwezo wa kuielewa hiyo contradiction, kuikubali, kuondoka saikolojia ya "cognitive dissonance", kuondoa majadiliano yanayoongozwa na hisia badala ya kuongozwa na logic na fact?
 
Back
Top Bottom