SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Kama hayupoKama mungu yupo basi vyote mmiliki ni yeye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hayupoKama mungu yupo basi vyote mmiliki ni yeye
Wapo wanaokataa...wapo wanasayansi ambao hawaamini katika uumbaji na wapi wengi tu acha uwongo...Hakuna wanasayansi anakataa kuwa vitu vyote vimeumwa na nguvu ya asili ila wanasayanyi wanachosema ni kwamba hiyo nguvu aijitambui
Toa hoja mkuu sio keleleMimesoma andiko la mpumbavu mmoja hivi leo.
Nasikitika andiko hili kuandikwa na mtu wa viwango vya chini vya uwezo wa akili.Umeshindwa kujenga hoja kabisa ingawa inaonesha hujui vitu vingi kuhusiana na unayozungumza
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Mungu wa dini ipi?Hiyo quantum physics ni kithibitisho cha kuwepo mwenyezi mungu kwa wale wenye akili
Pole...we andika vitu vyenye mantiki kulipinga bandiko! the rest na wewe unakua ni wale wale!Mimesoma andiko la mpumbavu mmoja hivi leo.
Nasikitika andiko hili kuandikwa na mtu wa viwango vya chini vya uwezo wa akili.Umeshindwa kujenga hoja kabisa ingawa inaonesha hujui vitu vingi kuhusiana na unayozungumza
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Sipo hapa kushindana na mtu, bali nataka kuwaonyesha ni jinsi gani mlivyo vilaza, mbawasumbua watu na kuwapoteze muda hoja hamna mmekalia ujinga na uvivu wa kufanya utafiti.Skia mkuu tusipotezeane mda...yaishe umeshinda
Sawa mudiSipo hapa kushindana na mtu, bali nataka kuwaonyesha ni jinsi gani mlivyo vilaza, mbawasumbua watu na kuwapoteze muda hoja hamna mmekalia ujinga na uvivu wa kufanya utafiti.
HakunaKwanini kifo kiwe ending game? Do you believe that there is no chance of life after death?
Awezi asiwepo wakati wewe na mimi tupoKama hayupo
Wewe aujaelewa wao wanakataa kuwa vitu vimeumbwa na mungu ila awakatai kuwa vitu vimeumbwa ..ndiyo maana unasikia wakisema bigbang yaani mlipuko wa uumbajiWapo wanaokataa...wapo wanasayansi ambao hawaamini katika uumbaji na wapi wengi tu acha uwongo...
Sawa, Nakuuliza swaliHujakanusha mantiki niliyoiandika.
Kumuamini Mungu unaruhusiwa, hiyo ni haki yako ya kikatiba.
Katiba ya Tanzania ina kipengele cha uhuru wa kuabudu ama kuchagua kutoabudu. Siwezi na sitaki kukuingilia kwenye uhuru huu kama mimi nisivyotaka uniingilie.
Katika Universal Declaration of Human Rights ya UN, una haki ya kuamini Mungu utakavyo. Hili limepitishwa na Umoja wa Mataifa tangu December 10 1948.
Hili hata mimi nisiyeamini Mungu, nitatetea haki yako ya kuamini Mungu utakavyo.
Kuamini Mungu si issue hapa, after all kuamini Mungu ni issue personal wala sielewi kwa nini ifanyiwe mjadala hapa JF.
Jambo linalojadilika JF ni kutafuta facts, ukweli, si imani tu, je, Mungu yupo kweli?
Ukweli ni zaidi ya imani, kwa sababu, kwenye imani, unaweza kuamini hata uongo. Ukweli upo tu, ukiuamini, usipouamini, upo tu.
Naomba tutenganishe habari za imani tu, na habari za facts.
Hizi habari za Mungu kuwapo ni fact Mungu yupo? ni ukweli Mungu yupo? Au ni imani tu?
Mpaka sasa, hakuna aliyethibitisha Mungu yupo.
Hakuna aliyeweza kuiweka habari ya uwepo wa Mungu kwa misingi ya facts, kwa kuiondoa kwenye imani tupu, kwa kutumia mantiki ya kutafuta ukweli.
Na zaidi, ukizichambua habari za kuwepo kwa huyo Mungu, unaona contradictions na inconsistencies zinazoonesha Mungu huyo hayupo, Mungu huyo ni wa hadithi za kiimani tu zilizotungwa na watu.
Ndiyo maana mpaka leo hakuna mtu aliyethibitisha Mungu huyo yupo.
Hayupo, hivyo huwezi kuthibitisha kwamba yupo.
Ukibisha, thibitisha Mungu yupo.
Mkuu unajua maana ya uyahudi kweli?Yaani bado unaandika ujinga na uongo, ndio maana hata maswali madogo yanakushinda. Unakuja na ujinga mwingine kwamba Musa Myahudi mara Nuhu Myahudi. Hivi unaakili kweli kijana ?
Mpaka Musa anaondoka hapakuwepo Uyahudi, hivi huwa mnasoma na kufanya utafiti au mnaandika andika tu ilimradi ?
Ukijadiliana na Mimi hakikisha kila nukta unayo iandika unaijua na uweze kuitolea ushahidi. La Muhammad hujalimaliza unakuja na lingine tena ambalo huliwezi.
Nani alikwambia mitume na manabii wanatoea tokea tu, pasi na sababu ? Kwanza malizia hilo la kwanza, kisha tuje katika huu ujinga na uongo mpya uliouweka tena hapa.
Kwahyo Mkuu sitaki kukupinga Imani yako ila nilitaka kuuliza kitu...Awezi asiwepo wakati wewe na mimi tupo
Maisha ni mfumo wa kuendelea kwa viumbehai kufanya mambo kama kula, kufanya metaboli, kutoa uchafu, kupumua, kusogea, kukua, kuzaana na kuzijibu stimuli za kutoka nje.Sawa, Nakuuliza swali
Maisha ni nini ? Lipi lengo la uwepo wetu duniani kwa mujibu/mtizamo wako ?
Ngoja nikufundishe jambo. Uyahudi una maana nne. Katika maana hizo nne ni maana Moja pekee inayo rejea katika kabila.Mkuu unajua maana ya uyahudi kweli?
Au umeongea kwa sababu uliyemwambia pengine haelewi hicho ulichoongea?
Uyahudi imetokana na kabila la Yuda walipoungana na baadhi ya makabila ya Israel na yuda au Yehudah (Au mmezoea kuita Yuda)..
Sasa unasemaje musa hakuwa Myahudi.. Kati ya Musa na Yuda (Yehudah) nani ancestor wa mwenzake...
Mungu ni energy hata mimi na wewe ni energy ...even matter is the ENERGYKwahyo Mkuu sitaki kukupinga Imani yako ila nilitaka kuuliza kitu...
Kwahyo Uthibitisho wako kwamba Mungu Yupo ni Wewe Kuwepo?
Safi mpka hapa nafikiri Tuko sawa Ndo kwa upande mwingine wa Dini wanaita Mungu si ndiyoMungu ni energy hata mimi na wewe ni energy ...even matter is the ENERGY
Ndiyo maana yakeSafi mpka hapa nafikiri Tuko sawa Ndo kwa upande mwingine wa Dini wanaita Mungu si ndiyo
Hujathibitisha Quantum Physics ni kithibitisho cha kuwapo mwenyezi Mungu.Hiyo quantum physics ni kithibitisho cha kuwepo mwenyezi mungu kwa wale wenye akili