Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Mkuu Mungu yupo
Why naamini hivyo?
biblia ambayo inasimulia uwepo wa Mungu imethibitika ni ya ukweli, why? imeelezea some prophetic events before zitokee na zikatokea
Biblia is not a book written by a single author, na pia haikuandikwa kwa wakati mmoja, iliandikwa vipindi tofauti , na utofauti wenyewe ni wa miaka mingi tofauti tofauti , waandishi wake hawakuishi kwa kipindi kimoja
but story(context) zao zinafanana.
Biblia inaeleza chanzo cha ulimwengu, pia inaeleza jinsi dhambi iliyoingia, na pia ukombozi uliotokea , na hata maandalizi yalivyofanyika kumkomboa mwanadamu hata kabla hajaumbwa
Biblia inaeleza binadamu atakufa na anakufa kweli, nadhani unaona
utata upo kidogo lakini sio wa kututoa kwenye reli
Prophecy gani ya maana?
😂Ukisema Yesu kuzaliwa ni sawa na infinity war waseme Thanos atapigwa afu kwenye endgame apigwe
😅Ukisema mambo ya vita cjui magonjwa...u r dumber than a 6 year old coz tunajua hivyo vitu vilikuwepo na vitaendelea kuwepo
Naomba unitajie prophecy ya maana
 
Hayo uliyo sema ...mbona kasema hatayafanya na kila jicho litaona na kila goti litapigwa .
Mkuu Lwiva huu kuhusu Hichi ulichosema the bible contradict itself...

Lk 17:20-21​

Na alipoulizwa na Mafarisayo, Ufalme wa Mungu utakuja lini? Aliwajibu akawaambia, ufalme wa Mungu hauji kwa kuuona; wala hawatasema, Tazama, upo huku, au, kule, kwa maana, tazama, ufalme wa Mungu umo ndani yenu.

sasa Mkuu huo unaozumguzmia Ambao unasema kila mtu atauona Unapingana na Maagizo ya Yesu mwenywe

Sometimes inahitaji Ujasiri sana Kutetea Biblia
 
Akili hauna kwa hiyo wewe zuzu unadhani dhana ya big bang maana yake ni nini kisayansi .... maana wanasema kabla ya big bang hakukuwa na "time" tumia akili achakutumia kijambio au una undugu na sa100
Kama unamcheka anayeamini kulkuwa na bing bang kwa uthibitisho..

Kwanini usijicheke wewe kwanza unayeamini kuwa "Hapo mwanzo kulikuwa na Neno naye neno alikuwa kwa Mungu kabla ya vitu vyote"

na kingine unayeamini "Pumzi ya Mungu (Roho) ilikuwa ndani na kina cha maji (Vilindi) wakati huo yeye akiwa nje ys Hayo Maji"..
 
Sasa hata kama Bible isingesema , watu Bado wangeendelea kufa, pia Bible imechelewa imekuta watu wanakufa tayar, Sasa huo ni utabir Gani,
🤣🤣
Na Mimi natabiri Morocco Wataishinda Tanzania goal mbili na Tanzania wakiwa nyumbani mechi ya kufuzu Kombe la Dunia na Hiyo imetokana na kutokutii agizo la Bwana 🤣🤣🤣
ila kuamini hivi vitu yataka ujasiri.
Siku 6 ya 7 akapumzika. Siku 1 Kwa mungu duniani ni 1000.
Na bado kuna Sehemu inasema kuwa ni Mwka mmoja..
Ukienda kwa waislamu wanasema miaka..

Sasa tuchukue lipi kwamba siku moja kwa Mungu ni Miaka mingapi..
Je ni mwaka mmoja (Biblia)
Miaka 1000 (biblia)
Miaka 50,000 (Quran)

Ni tatizo kwakweli
 
Sasa hata kama Bible isingesema , watu Bado wangeendelea kufa, pia Bible imechelewa imekuta watu wanakufa tayar, Sasa huo ni utabir Gani,

Siku 6 ya 7 akapumzika. Siku 1 Kwa mungu duniani ni 1000.
😂😂😂Hata ukifanya siku moja kuwa miaka buku bado bible imekosea so we jikoshe tu na upuuzi wako...maana naona Yesu alivyokufa na kufufuka zilikuwa siku elfu tatu zile au sio
 
Mkuu Lwiva huu kuhusu Hichi ulichosema the bible contradict itself...

Lk 17:20-21​

Na alipoulizwa na Mafarisayo, Ufalme wa Mungu utakuja lini? Aliwajibu akawaambia, ufalme wa Mungu hauji kwa kuuona; wala hawatasema, Tazama, upo huku, au, kule, kwa maana, tazama, ufalme wa Mungu umo ndani yenu.

sasa Mkuu huo unaozumguzmia Ambao unasema kila mtu atauona Unapingana na Maagizo ya Yesu mwenywe

Sometimes inahitaji Ujasiri sana Kutetea Biblia
😂Aah bible imejicontradict Hadi hapa... jamani waliotuletea bible si wangeichuja tu
 
Sio hapo tu mkuu ngoja nikae sawa nyakuonyesha contradiction moja moja zaidi ya 20
Nazijua nyingi tu...usijali...hata gospels 4 kila mmoja ana lake kuhusu Yesu...the Pentateuch Ina contradictions kibao..😂so naelewa ila sikutegemea Hadi hilo
 
Prophecy gani ya maana?
😂Ukisema Yesu kuzaliwa ni sawa na infinity war waseme Thanos atapigwa afu kwenye endgame apigwe
😅Ukisema mambo ya vita cjui magonjwa...u r dumber than a 6 year old coz tunajua hivyo vitu vilikuwepo na vitaendelea kuwepo
Naomba unitajie prophecy ya maana
Mwambie akutajie prophecy iliyotokea miaka ya 1900 na kuendelea ambayo bible ilitabiri ukiacha hiyo ambayo imejitabiri na kujijibu yenyewe
 
Nazijua nyingi tu...usijali...hata gospels 4 kila mmoja ana lake kuhusu Yesu...the Pentateuch Ina contradictions kibao..😂so naelewa ila sikutegemea Hadi hilo
Mkuu unajua hata ukoo wake yesu pia ni contradictory ...watu waliotajwa kama babu wa yesu Wengine hawakuwahi kuwepo kabisa duniani 😅😅
 
Kifupi hakuna hata mmoja ataniambia kwamba aliumbwa ....Hakuna mtu hufunyanga udongo Tumboni kwa mama yako Hata Mara moja vyote vinavyofanyika ni cells Generation inayopelekea Embryology mpaka unakuwa na unazaliwa...
Mimi nimeumbwa na Allah aliye juu, kadhalika wewe na viumbe wengine.

Hoja yako Iko wapi ?
 
Mimi nimeumbwa na Allah aliye juu, kadhalika wewe na viumbe wengine.

Hoja yako Iko wapi ?
Mkuu mimi sijaumbwa nimezaliwa na process yote mpaka nazaliwa kila mtu anaifahamu hata kitoto cha Nursery..
Hoja yangu nimeiwasilisha kwenye Hiyo post uliyoquote Labda kama unaupofu wa kutoona kitu ulichokireply..
 
Sahihisha namba 2, hakukuwa na haja ya kujibu ikiwa hoja zangu zimekulemea.

Umba Jani lenye uhai sio mtu unaanza KUONGEA mambo ya demu wangu!

Dogo acha undezi...
Hawa vijana naelekea kuwapuuza Sasa, shida yao wanaleta mambo ambayo hawana elimu nayo, na maswali huwa hawajibu.
 
Mkuu mimi sijaumbwa nimezaliwa na process yote mpaka nazaliwa kila mtu anaifahamu hata kitoto cha Nursery..
Hoja yangu nimeiwasilisha kwenye Hiyo post uliyoquote Labda kama unaupofu wa kutoona kitu ulichokireply..
Nani alikwambia kuumbwa sio mchakato ? Au kwako wewe kuumbwa ni mpaka ufinyangwe udongo ?

Shida niliyo Iona kwako ni kuwa hujui maana ya tamko kuumbwa. Kilicho kilicho hai kimeumbwa.

Allah ana namna tofauti za uumbaji, wapo alio waumba Mikono yake ambao ni Adamu na Hawa, na wapo alio waumba kwa kauli tu, kuwa kitu kikawa, na tupo sisi alio tuumba kutokana na mbegu za baba zetu tukaishi tumboni kwe mama zetu tukapuliziwa pumzi na kuzaliwa angalia tuko hai, bali wapo walio fia tumboni wapi Ile amezaliwa tu akafa.

Huu ndio uumbaji, hasemi yoyote kwamba hajaumbwa ila ni mtu mjinga na kipofu wa moyo na akili.
 
Kuumbwa ni sawa na kusema kutengenezwa....
Huwezi kuumbwa na Kuzaliwa kwa wakati mmoja lazma kilifanyika kimoja...

Kwa mfano kwa imani ya Ibrahimic zote..
Adam aliumbwa na hakuzaliwa, Hawa aliumbwa na hakuzaliwa..
Huwezi kusema Adam alizaliwa na Mungu..
Ila utasema Adam aliumbwa na Mungu...

So its either ujieleze kwa kimoja kati ya hivyo maybe utaamua kuwa mgumu wa kutaka kutoeleweka..
Una ufahamu mdogo sana kuhusu uumbaji, na hii ndio changamoto tunayo kutana nayo siku hizi, tunajadiliana na vijana ambao hata hawajui maana za maneno wanayo yatumia. Inatupa muda mrefu kwanza kuwaelezea maana ya maneno husika, utimilifu wake na kadhalika mipataka na udhaifu wa maana hizo. Kabla hamjaingia katika mjadala hii muhakikishe mna elimu ya hivi vitu na mnajua maana za haya maneno.
 
Sasa mbona unajichanganya Mwnyew..
Maana hakuna kilichoumbwa halafu kikazaliwa labda nikufahamishe kuwa...
Vyote hivyo ni vyanzo vya uhai wa kitu...
Shida yenu kwenu nyinyi Sayansi ndio kila kitu, hapa ndipo mlipo angukia pua na kuwa wajinga kupindukia.

Sayansi ni nyenzo tu kama nyenzo nyingine, inategemea nyenzo hiyo utaitumia kwa namna gani kama ilivyo bunduki, jembe na mfano hivyo ila sio ukweli wenyewe.
 
Back
Top Bottom