SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Prophecy gani ya maana?Mkuu Mungu yupo
Why naamini hivyo?
biblia ambayo inasimulia uwepo wa Mungu imethibitika ni ya ukweli, why? imeelezea some prophetic events before zitokee na zikatokea
Biblia is not a book written by a single author, na pia haikuandikwa kwa wakati mmoja, iliandikwa vipindi tofauti , na utofauti wenyewe ni wa miaka mingi tofauti tofauti , waandishi wake hawakuishi kwa kipindi kimoja
but story(context) zao zinafanana.
Biblia inaeleza chanzo cha ulimwengu, pia inaeleza jinsi dhambi iliyoingia, na pia ukombozi uliotokea , na hata maandalizi yalivyofanyika kumkomboa mwanadamu hata kabla hajaumbwa
Biblia inaeleza binadamu atakufa na anakufa kweli, nadhani unaona
utata upo kidogo lakini sio wa kututoa kwenye reli
😂Ukisema Yesu kuzaliwa ni sawa na infinity war waseme Thanos atapigwa afu kwenye endgame apigwe
😅Ukisema mambo ya vita cjui magonjwa...u r dumber than a 6 year old coz tunajua hivyo vitu vilikuwepo na vitaendelea kuwepo
Naomba unitajie prophecy ya maana