SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Why Mungu aliyeumba billions of galaxies ajali we unakojolea wapi ukiwa chumbani kwako?lo ni tatizo la kukosa kiasi na ubinafsi na uchu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why Mungu aliyeumba billions of galaxies ajali we unakojolea wapi ukiwa chumbani kwako?lo ni tatizo la kukosa kiasi na ubinafsi na uchu
😂😂😂😂😂Una siasa we jamaa...so Hinduism na ukristo na uislamu ni sawa... 😂😂😂😂 Na Buddha nao...kina Thor...Zeus..Dini maana yake ni njia ya haki impendezayo mungu..... dini ni moja tu ukristo ni ufuasi nilishaeleza neno wakristo ni sawa na neno waisrael ni sawa na neno wamuhamadi ni majina ya wafuasi wa mungu ....hivyo dini ya kweli ni moja tu ila ina mitume mbalimbali na wafuasi wao
Hivi wewe logic yako ya uelewa ipo sawa kweli sasa hapo kilogic yesu yupo sahihi yani maana yake wasifanane na mafarisayo ...pia hapo umeona maana halisi ya NENO DINI KUWA NI HAKI HIVYO MTU AKISEMA DINI NI UPUMBAVU HATA KAMA INAELEKEZA HAKI BASI UJUE HUYO NI MTU MWENYE AKILI DUNI SANA ...DINI YA KWELI LAZIMA IWE YENYE KUSIMAMA PAMOJA NA HAKILakini unakumbuka yesu alivyosema kuwa.."Haki yenu isipozidi haki ya mafarisayo hamtauona ufalme wa mbinguni" ....na hao walioambiwa wanachuja mbu ni mafarisayo....usisahau..
Mt 5:20
"Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni."
Sawa kivipi ? Hata ukristo wenyewe unegawanyika kutokana na kukataa haki ...kumezuka ukristo usio wa haki wa kila namna na kusababisha madhebebu ambayo ni uhuni ulio dhahili....dini ni moja ila zipo dini za uongo na za uovu ...dini ya kweli ni moja daima milele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una siasa we jamaa...so Hinduism na ukristo na uislamu ni sawa... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Na Buddha nao...kina Thor...Zeus..
Ajali unakojolea wapi bali anakupima utihi wako kwake ...mbona wanyama pori wana zini hadi na watoto wao ila awahesabiwi hatia....wanyama pori wanauana na kuua hadi binadamu ila awahesabiwi hatia...myngu kaweka sheria kutupima kama tunamtiiWhy Mungu aliyeumba billions of galaxies ajali we unakojolea wapi ukiwa chumbani kwako?
Dhambi umetenda mwenyewe kwa utashi wako ....mtoto mdogo ni mtakatifu ila hana thawabu ila mtu mzima unayo fulsa ya kuwa na yote mawili utakatifu na thawabu hivyo daraja ya mtoto mdogo ni ya chini peponi tofauti na mtakatifu mwenye thawabu ...kinacho mfanya mtu kuwa na daraja ya juu peponi siyo utakatifu ni thawabu ila utakatifu ni kibali cha kuwa peponi ila daraja za juu utegemea kiwango cha thawabu ulizo nazo hiyo kitu cha kwanza unachotakiwa kuwa nacho ni utakatifu kitu cha pili ni thawabu.....ndiyo maana mtoto mdogo anaweza kulogwa na wachawi ila mtakatifu mwenye thawabu usikiwa na mungu zaidi ....ndiyo maana mitume usikiwa na mungu zaidi ya watoto wadogo wakiomba jambo ...mtume akiomba mvua na mtoto wa miaka 3 akiomba mvua kwa mungu basi mtume anaweza kusikiwa na mungu wala siyo huyo mtoto ndiyo maana watoto wadogo ni watakatifu ila awawezi kutenda miujiza yoyote maana hawana thawabu ila mtume ni mtakatifu mwenye thawabu nyingi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si ndo kuhukumiwa sawa...yaani not by matokeo...by criteria...yaani kwa Nini maisha ya mtoto mwenye miaka 2 ambayo Accord to u unasema Hana dhambi yawekwe pamoja na Mimi mwenye 70 plus ambayo nimepitia maisha afu mi niende motoni afu ye peponi wakati labda angekua angekuwa ka Mimi tu...na ukisema Mungu tayari anajua, why aniumbe asa Kama atanichoma...so aumbe watu wake wema sisi wabaya tusizaliwe..no matter how yu twist it...it's still bullshit justice system...
Wewe unaongea nini wewe ?.....mimi siendagi kanisani wala msikitini wanaofuata mikumbo ya wazazi wanaenda kanisani na misikitini ...kuhusu ufalme wa yesu nilivyo elezea ndivyo ilivyo hata niliye mpa jibu alitosheka kabisa ....kama kuna kitu unapinga njoo ukiseme kama ujakimbia mada.Hivi unajua ufalme wa yesu au umelishwa na kukalilishwa habari za ufalme wa yesu?
Hiyo ni historia uliyorithi kwa wazazi wako na kukaririshwa,tafuta ukweli wake kwa gharama siyo kupewa bure
Huyu Kisai hanaga hoja yeyote zaidi ya Quran aliyo aminishwa.Unajua kuna wakati sasa nashindwa kubishana na wewe maana unaonekana unachanganya vitu Yahudi ilikuwa kabila kabla halijawa taifa na bada ya kuwa taifa likawa itikadi na Baadae kuwa njia ya maishaa...
Nakupa summary usipoelewa sasa dah
Unamjua hata Yuda au unamjua Eber..
Wa YUDA (YEHUDA) {kabila} kuungana na wa Benyamini >>>JUDEANS FALME YA YUDA>>>>JUDAISM IMANI
Energy imewezaje kuwepo from Nothing?Kumbe umejua nilichokuwa nineelewesha hapa[emoji1787][emoji1787] kuwa kuwapo hakutegemei haya maisha hapo umethibitisha kuwa mungu yupo tena milele ...vitu vyote ni energy kwa hiyo vilikuwako na vitakuwako milele kwa kuwa ni energy sasa kama energy inaweza ikawa mwanadamu mwenye ufahamu vipi tunasema hakuna mungu mwenye ufahamu .....ukweli ni kwamba mtu akijijua vizuri kuwa yeye ni nani ? awezi kusema mungu hayupo
Kwa nini unadhani binadamu na viumbe vilitokea?nielezee binadamu na viumbe vilitokanaje weka fact maana mm nmesoma hizo theory za evolution sijaonafact yoyote ambayo unaweza kuprove mindi u nmesoma hyo koz chuo kikuu nieleweshe hapo Kiranga alitokana na nyani au cynobacteria?? ilikuwaje kuwaje
Energy ndiyo kitu cha milele ...na vitu vyote ni vyamilele kwa kuwa vyote ni energy ila vinabadilika tu from one form to anotherEnergy imewezaje kuwepo from Nothing?
How did energy come to existence?
Hivyo basi hata Dunia ni ya milele haina mwanzo wala mwisho.Energy ndiyo kitu cha milele ...na vitu vyote ni vyamilele kwa kuwaxvyote ni energy ila vinabadilika tu from one form to another
Dunia na vyote ni energy pia ....mungu ndiye aliyeumba kila kitu ....ndiye mtawala wa ulimwengu wa energyHivyo basi hata Dunia ni ya milele haina mwanzo wala mwisho.
Kusema Mungu ndio muumbaji wa dunia ni Uongo na propaganda za kidini.
Wewe ulisema Energy ni ya milele, Hapa tena unasema Mungu ndiye aliye umba energy.Dunia na vyote ni energy pia ....mungu ndiye aliyeumba kila kitu ....ndiye mtawala wa ulimwengu wa energy
Wapi nimesema mungu kaumba energy? Mungu mwenyewe ni energy pia ...pasipo energy hakuna mungu ....mungu anachofanya ni art of energy tu siyo kuumba enegy yaani kuibadili energy kutoka form moja kuwa form nyingineWewe ulisema Energy ni ya milele, Hapa tena unasema Mungu ndiye aliye umba energy.
Tayari unaji Contradict mwenyewe.
If energy cannot be created or destroyed but can be transformed from one form to another, Utasemaje kwamba Mungu ndio kaumba energy?
Mungu huyo kabla ya kuumba Dunia alikuwa wapi?
Na huko alikokuwa kulitoka wapi?
Ulisema hivi naku nukuu hapaWapi nimesema mungu kaumba energy?
Kama Mungu mwenyewe ni energy pia, Na dunia pia ni energy.Mungu mwenyewe ni energy pia .
Kwani dunia haiwezi kufanya art of energy?.pasipo energy hakuna mungu ....mungu anachofanya ni art of energy tu siyo kuumba enegy yaani kuibadili energy kutoka form moja kuwa form nyingine
E =MC² ila hiyo ni ART OF ENERGY =MC² ambayo kwa kifupi ni AE=MC² mungu ameumba dunia kwa kutumia energy siyo kwamba kaumba energy.....ndiyo maana nikasema energy inabadilika from one form to another.....VITU VYOTE ANAVYO UMBA MUNGU NI (ART OF ENERGY ) hivyo mungu akisema ataiangamiza dunia ujue maana yake ataiangamiza art duniaUlisema hivi naku nukuu hapa
"Dunia na vyote ni energy"
Sasa kama Dunia na vyote ni energy, Utasemaje kwamba Dunia iliumbwa na Mungu?
Kama Mungu mwenyewe ni energy pia, Na dunia pia ni energy.
Sasa utasemaje Mungu ndio kaumba Dunia?
Kwa nini Dunia isiumbe Mungu maana na yenyewe ni energy?
Kwani dunia haiwezi kufanya art of energy?
Mbona hata sisi binadamu tunaweza kufanya art of energy.
Huyo Mungu hayupo, unachofanya ni unajaribu kumpachika chika sifa ambazo hata sisi tunaweza kufanya.
Mimi sio muumini sana wa dini, Ila je Kipi hakikuja na meli Africa hii ?? Kila kitu kililetwa na hao...Mavazi, Elimu, teknolojia. Kipindi hiko babu yako anakula matunda porini na nyama pori wala hana anachokijuaSasa uislam na ukristo zote c dini zilizokuja na meli? wote ni wale wale tu, mie hapa ctetei dini, ninachotetea ni watu kuachana na upuuzi wa dini....
Science inasema kuna chanzo cha binadamu, Watu wa imani pamoja na Dini zote wanasema binadamu ana chanzoKwa nini unadhani binadamu na viumbe vilitokea?
Binadamu na viumbe havina mwanzo wala mwisho.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na mwanzo, Hata "mwanzo" lazima uwe na mwanzo wake na "mwanzo wake" uwe na mwanzo wake to endless huko
Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe pasipo chanzo maana kitavuruga muundo mzima wa ulazima wa kuwepo mwanzo.
Hata huyo Mungu lazima awe na mwanzo wake.
Huwezi kusema Mungu hana mwanzo halafu anataka kulazimisha Binadamu na viumbe viwe na mwanzo.