Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

🤣🤣🤣🤣Unatoa false analogy....mi sijasema nione...kwani upepo unaonekana? ila si upo...sauti inaonekana? Ila si ipo...u can't prove god exist...hayo Mambo ya baba na mama kuwepo huwezi zaliwa kutoka kwa yai la kuku lazma utatoka tumboni kwa mwanamke na kutokana na sperm ya mwanaume na hili halipingwi coz hata wewe Leo hii na mke wako mnaweza tengeneza mtoto so hata asipowaona doesn't mean hawakuwepo...the problem with Mungu Sasa ni imani, haina ushahidi wa aina yoyote Ile na ukisema kila kitu kina mwanzo bac na huyo Mungu ana chanzo la sivyo unaforce ubishi ambao hauuwezi
Mungu ni energy kama ni energy means yupo
 
Hizo historical sites zimeundwa baadae ili kuvuta watalii...labda Muhammad ila za uyahudi nyingi ni fake ka unabisha fuatilia mtandaoni
Feki kivipi wakati hadi kwenye maandiko zipo.
Biblia Ina Zaid ya miaka elf 2 tangu kuwepo kwake Duniani
 
Kuiywa mwana-kondoo ni ishara ya UNYENYEKEVU WA KIJINGA wa Waafrika wasiojitambua.

Hivi kwenye biblia MWANAKONDOO ametafasiriwaje?

Naje ktk lugha ya kiingereza iliyotumika mwanzo kuingizia huu ujinga kwa Waafrikana inatafairiwaje?
Waje wakujibu wanakondoo
 
Bila kumsahau Ibrahim na Musa wote walimwona Mungu. Hao ni wale wanaobisha kwa mistari ya kusomewa na Mchungaji au Padri lakin infact wao hawaijui biblia.
 
Wewe unaweza kuthibitisha uwepo wa Babu yake wa Babu yake wa Babu yake Babu yako iwapo haukumuona?
Logical non sequitur.

Kutoweza kuthibitisha kitu kikichokuwepo hakuthibitishi kitu ambacho hakipo kipo.

Mungu anayesemwa kuwa wenye sifa za kuwa muweza yote, mwenye ujuzi wote na upendo wote, na muumba wa huu ulimwengu anathibitishikabkuwa hayupo, kimantiki.
 
Back
Top Bottom