Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana nawewe katika hilo.Kwanza kabisa, hakuna mwanadamu.
Habari ya "mwanadamu" ni hadithi kwamba Adamu ndiyo mtu wa kwanza, na aliumbwa na Mungu, hii habari si ya ukweli ni hadithi ya kutungwa na watu tu.
Kwa hiyo Uislamu si chimbuko la mwanadamu.Nakubaliana nawewe katika hilo.
Ukianza kusema mwanadamu ... Means unakubaliana na porojo za abrahamic god&religions. Don't you see you are making selfcontradiction?Kwa hiyo Uislamu si chimbuko la mwanadamu.
Mwanadamu ni muhusika wa katika hadithi ya kutungwa ya Wayahudi.
Hapana.Ukianza kusema mwanadamu ... Means unakubaliana na porojo za abrahamic god&religions. Don't you see you are making selfcontradiction?
Define kuamini.Hapana.
Unaweza kusema mwanadamu katika muktadha wa hadithi za Abrahamic religions, bila kukubaliana nazo kuwa zinasimamia uhalisia nje ya hadithi tu.
Kama unavyoweza kuhadithia sinema ya James Bond katika muktadha wa sinema, bila kuamini kwamba James Bond yupo katika uhalisia nje ya sinema.
Tatizo si kutaja "mwanadamu", tatizo ni kuamini kwamba huyo mwanadamu yupo kweli.
Kila siku tunataja wahusika wa tamthiliya, dunia za kufikirika, katika muktadha wa kwamba hii ninsanaa ya kufikirika kidhahania tu, na si ulimwengu wenye uhalisi nje ya muktadha huo.
Kuamini ni kukubali kitu kuwa ni cha kweli.Define kuamini.
Lakini si kila kinachoaminiwa ni cha kweli,mfano naamini mtu A ndo kaniibia gari langu but it turnout kumbe ni uongo. Ukweli upo wapi hapo?Kuamini ni kukubali kitu kuwa ni cha kweli.
Swali la kuamini nimelimaliza na tumeelewana na sasa unahamia kwenye kutafuta ukweli?Lakini si kila kinachoaminiwa ni cha kweli,mfano naamini mtu A ndo kaniibia gari langu but it turnout kumbe ni uongo. Ukweli upo wapi hapo?
Gravity ni theory au fact? Demand n supply ni theory au fact?Scientific theory sio scientific fact, msichanganye.
No! Nje ya hadith za kiyahudi hakuna mwanadam.Swali la kuamini nimelimaliza na tumeelewana na sasa unahamia kwenye kutafuta ukweli?
Somo la ukweli ni refu nataka tukubaliane huko kwa awali kwanza.
Tumeelewana kwamba naweza kusema "mwanadamu" katika muktadha wa hadithi za Wayahudi bila kuamini kwamba mwanadamu yupo nje ya hadithi hizo?
Hizo ni facts cause ni definetly proved &analyzed.Gravity ni theory au fact? Demand n supply ni theory au fact?
Ongezea…..’bila kuwa na ushahidi [wa kutosha/ kuridhisha].Kuamini ni kukubali kitu kuwa ni cha kweli.
Unafikiri Kwanini mababu na mabibi zetu waliamini uwepo wa mungu, ni nani aliwaambia uwepo wa munguWaliozaliwa hawakuwaona baba au mama zao je waamini kipi walikuwepo au wapo?
Kutokumuona MUUNGU hakuondoi uwepo wake aidha alikuwepo au hakuwepo.
Hata hao yesu na muhamed walikuwepo japo leo hawapo na Waafrika wajinga walioloshwa historia ya maisha yao wanaamini walikuwepo.
Mababu na Mabibi wa Mababu na Mabibi zetu wanaamini kuwa Mungu alikuwepo au yupo ingawa hawakumuona kama vile na sisi tunavyoamini kuwa Mababu na Mabibi zetu wa kale walikuwepo ama wapo ndiyo maana tukawepo sisi hata kama hatukuwaona.
Mababu na mabibi zako pia waliamini jua huzunguka dunia, nyota ni ndogo kuliko mwezi, dunia ni flat na angani hapafikiki na mbinguni ni mawinguni. Hawakujua magonjwa husababishwa na vijidudu etc...so we na babu zako hampo sawa kifikra na usijaribu kulinganisha fikra zetu na zao...Unafikiri Kwanini mababu na mabibi zetu waliamini uwepo wa mungu, ni nani aliwaambia uwepo wa mungu
Tatizo ni kutokujielewa na kutambua kuwa nyota,jua,mwezi,dunia,nk navyo viliumbwa na huyohuyo aliyetuumba ambaye ni MUNGU.Mababu na mabibi zako pia waliamini jua huzunguka dunia, nyota ni ndogo kuliko mwezi, dunia ni flat na angani hapafikiki na mbinguni ni mawinguni. Hawakujua magonjwa husababishwa na vijidudu etc...so we na babu zako hampo sawa kifikra na usijaribu kulinganisha fikra zetu na zao...
Wazazi walio walioumbwa na MUNGU ndiyo walienda wakiambizana uwepo wa MUNGU kama wewe ulivyoambiwa uwepo wa MUNGU kupitia kwa WAZAZI wako walioambiwa na Babu na Bibi zako.Unafikiri Kwanini mababu na mabibi zetu waliamini uwepo wa mungu, ni nani aliwaambia uwepo wa mungu
Upo off point...elewa point yanguTatizo ni kutokujielewa na kutambua kuwa nyota,jua,mwezi,dunia,nk navyo viliumbwa na huyohuyo aliyetuumba ambaye ni MUNGU.
Kutambua kuwa dunia ni duara au jua ni kubwa,nyota ni kubwa hayo ni maendeleo ya kiuvumbuzi ambayo yangefikiwa tu na WAAFRIKA pale ambapo muda wake ungefika kwani tayari hata WAAFRIKA kunavitu tulivigundua uhalisia wake kabla hata ya WAKOLONI kifika AFRIKA na kutuambukiza huo ufunduzi wao juu ya jua,nyota,dunia,nk.
Hata wazungu hawakuzaliwa na kujua vyote bali vingine walivijua baada ya utaviti na ugunduzi.
Why does it have to be nani?Wazazi walio walioumbwa na MUNGU ndiyo walienda wakiambizana uwepo wa MUNGU kama wewe ulivyoambiwa uwepo wa MUNGU kupitia kwa WAZAZI wako walioambiwa na Babu na Bibi zako.
Tatizo ni kwa WAAFRIKA juu ya kutohifadhi historia yao na kuvurugwa na mapokeo ya historia waliuoambukizwa na wazungu kwa kuaminishwa kwa nguvu kuwa historia ya WAAFRIKA haikuwa ya kweli.
Kwa mtu anayefikiri kwa upeo wa juu ni kujiuliza tu je ni nani aliwezesha uwepo wa viumbe wa jinsia mbili na vikiwa tofauti kwa AINA na MAKUNDI mbalimbali.
Kuna watu ambao aina tofauti mcjina,mwafrika,mhindi,mwarabu,mjapani,n.k. na pia kuna wanyama tofauti mbwa,mbuzi,kondoo,bata,simba,n.k.
Je hivi vyote nani aliwezwsha?