Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani haujaisoma vzr Roman Empire au tuseme empires mbali mbali na ukazihusianisha na dini.Mimi binafsi nimekuelewa sana mkuu and yu make sens,,, unajua kuna watu wanaamini sana kusu dini mpaka awakumbuki Mungu tena,
binafsi mimi pia siamini dini yoyote ila naamini Mungu yupo. na huwenda aya mabaya mengi mazuri machache ni huenda Mungu ametuacha maana atujui kuongea nae tena
jambo lakujiuliza sana ni hili.....!!
kwanini kabla ya kuibuka kwa utawala wakirumi (roman empire) watu walikua wanaongea na Mungu vizuri na walikua very sencitive kiasi kwamba binadam alikua anauweo wakuitambua hatari au chuki kwa kuangaliana tu na adui yake
ukweli ni kwamba roman empire imeleta giza sana kwenye akili za wanadamu wengi ila roman empire ndio chanzo cha kuibuka kwa mkanganyiko wa dini na kusababisha kutokea kwa madhehebu mengi ambayo ayajui nini maana ya Mungu.
Ndo tunawauliza, kwa Nini Mungu muweza yote asiamue watu wote wakamuamini Yeye na kusiwe na mikanganyiko?Mungu yupi?
Zeus?
Jesus?
Jehova?
Allah?
Krishna
Kuna Miungu zaidi ya milioni dunia nzima na kila mmoja anaamini Mungu wake ndio sahihi [emoji15]
Basi watu wote tungekuwa vilema sasa hivi maana genetics zingeoverlap hatareKwa kumsaidia kidogo asome hii [emoji116]View attachment 2870153
Na wewe unaijua miungu yote?Mungu yupi?
Zeus?
Jesus?
Jehova?
Allah?
Krishna
Kuna Miungu zaidi ya milioni dunia nzima na kila mmoja anaamini Mungu wake ndio sahihi [emoji15]
Unasema sina jibu la kukupa au unataka majibu yako mwenyewe ? Maana tangu mwanzo unasema naongeza maneno yangu ambayo kwenye biblie hayajaandikwa, Una uhakika na ulichokua umesema ? Au unajiropokea ?Hauna jibu la kunipa, unapaniki unatukana, halafu unaniuliza, means bado unataka mjadala na mie.
Unachokijibu hapa kinarefrect dini unayoamini na malezi ulopata nyumbani pole sana!
Next time jifunze walau kuwa mstaarabu. Kutokuelewana haimaanishi unichukie.
Pole
Kwahiyo hapo unahitimisha vp?Mkuu nyoka hata kama anauma, haimaanishi kuwa hana faida.
Ushoga kila mpenda maadili ataupinga na ni ujinga of highest level!
Mkuu mimi simjui Mungu yeyote zaidi ya kusoma na kusikia kwa watuNa wewe unaijua miungu yote?
Ila wanye kupinga Mungu ajabu yao wao hupinga miungu yote hakuna hata mungu mmoja ambaye wanakubali uwepo wake ila wanapotoa sababu za kupinga uwepo wa mungu huwa wanamchambua Allah na Yehova tu.
Geuza hoja yako kwa wenye kupinga Mungu, wao nao vp? Mfano Mtanzania anayepinga uwepo wa Mungu huwa anakusudia Allah na Yehova tu au miungu yote anayoijua na asiyoijua?Mkuu mimi simjui Mungu yeyote zaidi ya kusoma na kusikia kwa watu
Tatizo ni kwamba kumuamini Mungu fulani ndio sahihi imekua ni matokeo ya Jiografia, Historia na makuzi....... kwa asilimia kubwa hivi ndio vitaamua umuamini Mungu yupi
Mtoto wa kibudha kule Gezaulole ya Japan hadi anatakapo kufa hatapata nafasi ya kumjua Mungu Yesu wala Zeus wala Tamil, kama vile mwanao mkristo au muislam hata pata nafasi ya kumjua Mungu wa hindu au mingu wa kigiri...... Atamjua Mungu wanao muamini wazazi wake au jamii yake inayomzunguka (ndio maana unaona hapa JF tunajadili Jehova au Allah) na sio Thor wala Mungu jua
Na hawa ni Miungu tofauti kabisa kinadharia ila wanashabihiana kitu kimoja..... NDIO WAMEUMBA NA KUCONTROL DUNIA NA KILA KITU
Sasa kama kuna Miungu zaidi ya milioni dunia nzima na unamuamini mmoja tu kutokana na jiografia na makuzi yako..... utajuaje Miungu wengine?
Utaanza kuwapinga kwanza uliokuzwa ukiaminishwa ndio mungu wakati huoni uhalisia
Huwa tunakusudia kwamba HAKUNA MUNGU yeyoteGeuza hoja yako kwa wenye kupinga Mungu, wao nao vp? Mfano Mtanzania anayepinga uwepo wa Mungu huwa anakusudia Allah na Yehova tu au miungu yote anayoijua na asiyoijua?
Ngoja nikuache!Unasema sina jibu la kukupa au unataka majibu yako mwenyewe ? Maana tangu mwanzo unasema naongeza maneno yangu ambayo kwenye biblie hayajaandikwa, Una uhakika na ulichokua umesema ? Au unajiropokea ?
Si nlikujibu kuwa Adamu na hawa walikua na watoto wengi,
Na nlikwambia uwe unasoma vitabu vya marejeo nenda kaombe maktaba ya kanisa, hayo yote yameandikwa.
Wewe bado unauliza maswali ya kitoto toto.
Haya nakusaidia tena usipoelewa hapa ntakuweka kwenye kundi la watu wenye matatizo ya akili,
Ulisema unataka reference kama Adamu na Eva walikua na watoto wengine ? kasome Mwanzo 5.1
Dhana ipi hiyo na na dhana hiyo inahusika kwa miungu yote ulimwenguni wanayoamini watu?Huwa tunakusudia kwamba HAKUNA MUNGU yeyote
Dhana nzima ya uwepo wa Mungu haina MASHIKO
Ndio dhana hiyo inahusika Kwa miungu yote inayosadikika kuwepo ulimwenguni, dhana ya kusema kwamba Kuna Mungu mmoja muumba wa Kila kitu mwenye upendo na huruma zote, muweza wa yote anayeishi mbinguni au kokote kuleDhana ipi hiyo na na dhana hiyo inahusika kwa miungu yote ulimwenguni wanayoamini watu?
Dhana ipi hiyo na na dhana hiyo inahusika kwa miungu yote ulimwenguni wanayoamini watu?
Ndio dhana hiyo inahusika Kwa miungu yote inayosadikika kuwepo ulimwenguni, dhana ya kusema kwamba Kuna Mungu mmoja muumba wa Kila kitu mwenye upendo na huruma zote, muweza wa yote anayeishi mbinguni au kokote kule
Hapana mkuu miungu inayoaminiwa ipo mingi sana na kwa dhana tofauti tofauti kuna hadi miungu ya vita, kuna hadi miungu ya kike na kiume.Ndio dhana hiyo inahusika Kwa miungu yote inayosadikika kuwepo ulimwenguni, dhana ya kusema kwamba Kuna Mungu mmoja muumba wa Kila kitu mwenye upendo na huruma zote, muweza wa yote anayeishi mbinguni au kokote kule
Kwani ukiwa na akili ndio kila kitu unaweza?Hii kauli "namuachia Mungu " ni kwa watu wenye upeo mdogo wa kufikiri. Hawajui kwamba Mungu anawasanifu? Alishakupa akili, sasa unamuachia nini?
Wahindi na ile dini yao wana mingu ya kila aina wanachagua tu wamuombe mungu gani kutokana na shida gani.Jibu hili hapa [emoji116][emoji116][emoji116]
Waziri mkuu wa India Narendrah Modi kajenga bonge la hekalu la mungu Budha, sehemu kulikobomolewa msikiti...so India na Budha huwaambii kitu!Hapana mkuu miungu inayoaminiwa ipo mingi sana na kwa dhana tofauti tofauti kuna hadi miungu ya vita, kuna hadi miungu ya kike na kiume.