Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Bila shaka sayansi yako pamoja na kutibu magonjwa haijawahi kufufua mfu yeyote
Ndiyo, it is a process....tafiti zitatoa majibu tu, kama sio leo in days n years to come!
 
Mimi binafsi nimekuelewa sana mkuu and yu make sens,,, unajua kuna watu wanaamini sana kusu dini mpaka awakumbuki Mungu tena,

binafsi mimi pia siamini dini yoyote ila naamini Mungu yupo. na huwenda aya mabaya mengi mazuri machache ni huenda Mungu ametuacha maana atujui kuongea nae tena

jambo lakujiuliza sana ni hili.....!!

kwanini kabla ya kuibuka kwa utawala wakirumi (roman empire) watu walikua wanaongea na Mungu vizuri na walikua very sencitive kiasi kwamba binadam alikua anauweo wakuitambua hatari au chuki kwa kuangaliana tu na adui yake

ukweli ni kwamba roman empire imeleta giza sana kwenye akili za wanadamu wengi ila roman empire ndio chanzo cha kuibuka kwa mkanganyiko wa dini na kusababisha kutokea kwa madhehebu mengi ambayo ayajui nini maana ya Mungu.
Nadhani haujaisoma vzr Roman Empire au tuseme empires mbali mbali na ukazihusianisha na dini.

Roman empire has nothing to blame. Kitu ukikiona hakina mantiki, busara inakutaka kuachana nacho na ku-focus kwa vinavyoleta mantiki.

Dini ni Scam haijalishi kaileta nani. Be there if u are making life with no altenative!
 
Mungu yupi?

Zeus?
Jesus?
Jehova?
Allah?
Krishna
Kuna Miungu zaidi ya milioni dunia nzima na kila mmoja anaamini Mungu wake ndio sahihi [emoji15]
Ndo tunawauliza, kwa Nini Mungu muweza yote asiamue watu wote wakamuamini Yeye na kusiwe na mikanganyiko?

Kama wote wanasema wapo sahihi, nani yupo sahihi ya sahihi??
 
Mungu yupi?

Zeus?
Jesus?
Jehova?
Allah?
Krishna
Kuna Miungu zaidi ya milioni dunia nzima na kila mmoja anaamini Mungu wake ndio sahihi [emoji15]
Na wewe unaijua miungu yote?

Ila wanye kupinga Mungu ajabu yao wao hupinga miungu yote hakuna hata mungu mmoja ambaye wanakubali uwepo wake ila wanapotoa sababu za kupinga uwepo wa mungu huwa wanamchambua Allah na Yehova tu.
 
Hauna jibu la kunipa, unapaniki unatukana, halafu unaniuliza, means bado unataka mjadala na mie.

Unachokijibu hapa kinarefrect dini unayoamini na malezi ulopata nyumbani pole sana!

Next time jifunze walau kuwa mstaarabu. Kutokuelewana haimaanishi unichukie.

Pole
Unasema sina jibu la kukupa au unataka majibu yako mwenyewe ? Maana tangu mwanzo unasema naongeza maneno yangu ambayo kwenye biblie hayajaandikwa, Una uhakika na ulichokua umesema ? Au unajiropokea ?

Si nlikujibu kuwa Adamu na hawa walikua na watoto wengi,

Na nlikwambia uwe unasoma vitabu vya marejeo nenda kaombe maktaba ya kanisa, hayo yote yameandikwa.

Wewe bado unauliza maswali ya kitoto toto.

Haya nakusaidia tena usipoelewa hapa ntakuweka kwenye kundi la watu wenye matatizo ya akili,

Ulisema unataka reference kama Adamu na Eva walikua na watoto wengine ? kasome Mwanzo 5.1
 
Na wewe unaijua miungu yote?

Ila wanye kupinga Mungu ajabu yao wao hupinga miungu yote hakuna hata mungu mmoja ambaye wanakubali uwepo wake ila wanapotoa sababu za kupinga uwepo wa mungu huwa wanamchambua Allah na Yehova tu.
Mkuu mimi simjui Mungu yeyote zaidi ya kusoma na kusikia kwa watu

Tatizo ni kwamba kumuamini Mungu fulani ndio sahihi imekua ni matokeo ya Jiografia, Historia na makuzi....... kwa asilimia kubwa hivi ndio vitaamua umuamini Mungu yupi

Mtoto wa kibudha kule Gezaulole ya Japan hadi anatakapo kufa hatapata nafasi ya kumjua Mungu Yesu wala Zeus wala Tamil, kama vile mwanao mkristo au muislam hata pata nafasi ya kumjua Mungu wa hindu au mingu wa kigiri...... Atamjua Mungu wanao muamini wazazi wake au jamii yake inayomzunguka (ndio maana unaona hapa JF tunajadili Jehova au Allah) na sio Thor wala Mungu jua

Na hawa ni Miungu tofauti kabisa kinadharia ila wanashabihiana kitu kimoja..... NDIO WAMEUMBA NA KUCONTROL DUNIA NA KILA KITU

Sasa kama kuna Miungu zaidi ya milioni dunia nzima na unamuamini mmoja tu kutokana na jiografia na makuzi yako..... utajuaje Miungu wengine?
Utaanza kuwapinga kwanza uliokuzwa ukiaminishwa ndio mungu wakati huoni uhalisia
 
Geuza hoja yako kwa wenye kupinga Mungu, wao nao vp? Mfano Mtanzania anayepinga uwepo wa Mungu huwa anakusudia Allah na Yehova tu au miungu yote anayoijua na asiyoijua?
 
Unasema sina jibu la kukupa au unataka majibu yako mwenyewe ? Maana tangu mwanzo unasema naongeza maneno yangu ambayo kwenye biblie hayajaandikwa, Una uhakika na ulichokua umesema ? Au unajiropokea ?

Si nlikujibu kuwa Adamu na hawa walikua na watoto wengi,

Na nlikwambia uwe unasoma vitabu vya marejeo nenda kaombe maktaba ya kanisa, hayo yote yameandikwa.

Wewe bado unauliza maswali ya kitoto toto.

Haya nakusaidia tena usipoelewa hapa ntakuweka kwenye kundi la watu wenye matatizo ya akili,

Ulisema unataka reference kama Adamu na Eva walikua na watoto wengine ? kasome Mwanzo 5.1
Ngoja nikuache!
 
Dhana ipi hiyo na na dhana hiyo inahusika kwa miungu yote ulimwenguni wanayoamini watu?
Ndio dhana hiyo inahusika Kwa miungu yote inayosadikika kuwepo ulimwenguni, dhana ya kusema kwamba Kuna Mungu mmoja muumba wa Kila kitu mwenye upendo na huruma zote, muweza wa yote anayeishi mbinguni au kokote kule
 
Jibu hili hapa [emoji116][emoji116][emoji116]

Ndio dhana hiyo inahusika Kwa miungu yote inayosadikika kuwepo ulimwenguni, dhana ya kusema kwamba Kuna Mungu mmoja muumba wa Kila kitu mwenye upendo na huruma zote, muweza wa yote anayeishi mbinguni au kokote kule
 
Ndio dhana hiyo inahusika Kwa miungu yote inayosadikika kuwepo ulimwenguni, dhana ya kusema kwamba Kuna Mungu mmoja muumba wa Kila kitu mwenye upendo na huruma zote, muweza wa yote anayeishi mbinguni au kokote kule
Hapana mkuu miungu inayoaminiwa ipo mingi sana na kwa dhana tofauti tofauti kuna hadi miungu ya vita, kuna hadi miungu ya kike na kiume.
 
Waziri mkuu wa India Narendrah Modi kajenga bonge la hekalu la mungu Budha, sehemu kulikobomolewa msikiti...so India na Budha huwaambii kitu!

Sasa Mungu wa kweli ni yupi asiyeondoa hii mikanganyiko kwa uweza wake?
 
Back
Top Bottom