Dini ni moja ya kitu cha "KIPUUZI" kupata kuletwa

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Kati ya mambo ya kipuuzi kupata kubuniwa au kuletwa na watu duniani.

Dini ina ingia katika kundi hilo la vitu/mambo ya kipuuzi kuwepo duniani.

Maafa yaliyoletwa na huu upuuzi uitwao dini hayana idadi, ujinga ulioletwa na huu upuuzi uitwao dini haulezeki.

Dini ni kitu kinacho fanya mwenye akili kuwa mwendawazimu asiye jitambua.

Inahitajika miaka mingi sana huu upuuzi uitwao dini kuweza kupotea vichwani mwa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…