Dini ni moja ya kitu cha "KIPUUZI" kupata kuletwa

Dini ni moja ya kitu cha "KIPUUZI" kupata kuletwa

Au huu ujinga hapa

Mababu zetu waliwabeba Wakoloni juu huku wakichapwa viboko, leo Watu wazima na akili zao wanabeba sanamu iliyotengenezwa kwa mbao na kupakwa rangi huku wakisema ni Mama wa Mungu

View attachment 2787351
Hakuna tofaut na mababu zetu kutambika chini ya miti mikubwa au mapangoni kwa vitu wasivyovioona
 
Shinto,cultism, Kabal,vodoo, scientology, luciferism, Buddhism nk Huwezi kukua kwa kujifungia kwenye bible na Quran
Ni sawa ila hauwezi kukua kwa kitu ambacho hakina uhalisia ni mambo ya tamaduni na mifumo ya maisha ya wenzetu mbaya zaidi ya kwako umeipa jina la ushetani .
 
Ni sawa ila hauwezi kukua kwa kitu ambacho hakina uhalisia ni mambo ya tamaduni na mifumo ya maisha ya wenzetu mbaya zaidi ya kwako umeipa jina la ushetani .
Kwa sababu ni dhaifu imeshindwa kucompete na iliyo strong.
Mfano yetu haitaki maendeleo ikiwemo mizimu na maendeleo wapi na wapi, mizimu uendana na ufukara kwann usiamini kilicho Bora
 
Dini sio upuuzi.
Kumbuka watu wakimchoka nabii mmoja,Mungu anamleta nabii mwingine.
Soma purana 18,uone dini inavyoanza duniani. Kwa sababu dini ya kweli imeanza India.
 
Hakuna tofaut na mababu zetu kutambika chini ya miti mikubwa au mapangoni kwa vitu wasivyovioona
Tena Matambiko ya kiafrika ndio yalikuwa ujinga zaidi kwsbb yalikuwa yanaamisiha watu vitu visivyo na faida kabisa

- Albino wauawe sio watu

- Kunyima Wajawazito mayai na vyakula vizuri

- Tohara kwa Wanawake

- Kurithi Wajane

DINI ya wazungu ikafuta haya, wakatuletea na shule, Hospitali na Nguo
 
Kati ya mambo ya kipuuzi kupata kubuniwa au kuletwa na watu duniani.

Dini ina ingia katika kundi hilo la vitu/mambo ya kipuuzi kuwepo duniani.

Maafa yaliyoletwa na huu upuuzi uitwao dini hayana idadi, ujinga ulioletwa na huu upuuzi uitwao dini haulezeki.

Dini ni kitu kinacho fanya mwenye akili kuwa mwendawazimu asiye jitambua.

Inahitajika miaka mingi sana huu upuuzi uitwao dini kuweza kupotea vichwani mwa watu.
Una hoja Ya Msingi...
 
Chronology ya wazungu kuja katika bara la Afrika inaeleza vizuri sana. Walianza traders kuja kufanya biashara, wakaja explorers kuja kulipeleleza bara, wakaja missionaries ili kuleta dini na injili. Kisha wakaja wakoloni kuja kututawala. Na sasa wameondoka ila mifumo yao na vibaraka wamebaki kuendela kutawala.
 
Upuuzi uliokubuhu!! Ukatoliki!! Kumpigia mtu magoti na kuungama dhambi ni uuuuuuungwana??
 
Back
Top Bottom