Dini ni moja ya kitu cha "KIPUUZI" kupata kuletwa

Dini ni moja ya kitu cha "KIPUUZI" kupata kuletwa

Niache kwenda Ambono mapangoni nikaangalie historia za mababu zetu ni kadili na mizimu ya kipalestina na historia yao.
Amboni mapangoni ni kuzimu ndogo za Duniani kama makao ya shetani na watu wake sawa na Gamboshi,Ngende,au Nyumba nitu Njombe.
Kote ni makao ya shetani.
 
Ukiwa Atheist hatoishia kutapatapa wala kupata amani ya moyo.
 
Nani kakwambia uthibitisho wa jambo umefungwa only kwenye five sense pekee.
Sio nani kani ambia?

Kwani ni lazima uambiwe?

Nakwambia hivi, Mungu huyo yupo kwa namna gani?

Na si mawazo yako ya kufikirika tu.
 
Amboni mapangoni ni kuzimu ndogo za Duniani kama makao ya shetani na watu wake sawa na Gamboshi,Ngende,au Nyumba nitu Njombe.
Kote ni makao ya shetani.
Sio hivyo tu ata nguo nyeusi ni ya msiba nyeupe ni ya harusi, na ili ufike mbingu dhambi zako zinabidi ziwe nyeupe kama dheluji., pia kuzimu kuna giza ( weusi ) mbinguni kuna mwanga ( weupe) na yesu ana ng'aa kama sufi safi( nyeupe) sasa sijui wewe mwafrica mwenzangu mweusi tii kama chungu kuna kutoboa apo .
 
Huwa haturudii rudii
Hili swala bora tu ungesema limekaa kibinafsi kwa sababu hata hao wenzako wanaamini yupo ila ni Allah na sio jehova ,na wengine ni ishvara, amaterasu, yuhuang shagdi, shiva, ganesha, na nk na kila mmoja anaona mwenzake kapotea Mungu wake ndio wa kweli. Sasa ww huoni kuna kitu apo hakipo sawa?
Huwa haturudii rudii kuwaelewesha msiotaka kuele
 
kibinafsi kwa sababu hata hao wenzako wanaamini yupo ila ni Allah na sio jehova ,na wengine ni ishvara, amaterasu, yuhuang shagdi, shiva, ganesha, na nk na kila mmoja anaona mwenzake kapotea Mungu wake ndio wa kweli. Sasa ww huoni kuna kitu apo hakipo sawa?
Ni majina tu lakini wanamaana moja lugha ndio tofaut
 
Dalili moja wapo ni kutapatapa na kuwa na shauku watu wafuate mkondo wao.
Watu wa dini ndio wana shauku watu wafuate mkondo wao , wanatapatapa watu wa dini wengne kuua kabisa kama sio wa mkondo wao au ukiongea negative kuhusu dini yao.
 
Ni majina tu lakini wanamaana moja lugha ndio tofaut
Kama ni majina tu mbona tabia za hao Mungu ni tofauti na kila mmoja anadai jina lake ndio sahihi hana jingne tofauti na apo ni miungu tu?
 
Dalili moja wapo ni kutapatapa na kuwa na shauku watu wafuate mkondo wao.
Hakuna Atheist yeyote yule anaye andika nyuzi zake huku JF kutaka watu wafuate mkondo wake.

Wafia dini na watu wa dini ndio kutwa kucha kuandika mahubiri yao ya kidini hapa JF ya kumfuata yesu, Mara wengine kusilimu, mara wengine kupokea wokovu, mara wengine kuokoka..😄

Yani wanalazimisha kabisa kwamba imani na dini zao ndio za Mungu wa kweli kwamba watu wengine wawafuate wao.

Halafu wao wakiona Atheists tume komenti mahali, wanaanza matusi na mashambulizi..

Atheists ni watu wa Amani siku zote wenye upeo mkubwa sana wa kufikiri.

Wafia dini wengi ni hohehahe wala hawaelewi wanacho kiamini zaidi ya vitisho na hofu walizo aminishwa na dini zao.
 
Linganisha sifa zao Pana mmoja ana sifa kuu
Nikusadie kitu kimoja mkuu ,usijifungie kusoma Biblia tu soma Qur'an, Bhagavad-Gita , vedas, ramayana, kojiki, yijing, dao de jing, tanakh \ torah.
 
Dini zililetwa ili kupumbaza watu, Imagine mtu anatoka mwanza kuja Dar kupokea miujiza ya yesu kristo kutoka kwa mwamposa. Ukiwa na akili timamu huwezi fanya upuuzi huo
Au huu ujinga hapa

Mababu zetu waliwabeba Wakoloni juu huku wakichapwa viboko, leo Watu wazima na akili zao wanabeba sanamu iliyotengenezwa kwa mbao na kupakwa rangi huku wakisema ni Mama wa Mungu

images (43).jpg
 
Nikusadie kitu kimoja mkuu ,usijifungie kusoma Biblia tu soma Qur'an, Bhagavad-Gita , vedas, ramayana, kojiki, yijing, dao de jing, tanakh \ torah.
Shinto,cultism, Kabal,vodoo, scientology, luciferism, Buddhism nk Huwezi kukua kwa kujifungia kwenye bible na Quran
 
Kati ya mambo ya kipuuzi kupata kubuniwa au kuletwa na watu duniani.

Dini ina ingia katika kundi hilo la vitu/mambo ya kipuuzi kuwepo duniani.

Maafa yaliyoletwa na huu upuuzi uitwao dini hayana idadi, ujinga ulioletwa na huu upuuzi uitwao dini haulezeki.

Dini ni kitu kinacho fanya mwenye akili kuwa mwendawazimu asiye jitambua.

Inahitajika miaka mingi sana huu upuuzi uitwao dini kuweza kupotea vichwani mwa watu.
Mara unamkuta Baba yako anafanya huu ujinga

Kuna tofauti na uganga wa kienyeji?
images%20(45).jpg
 
Back
Top Bottom