Dini ni moja ya kitu cha "KIPUUZI" kupata kuletwa

Kati ya mambo ya kipuuzi kupata kubuniwa au kuletwa na watu duniani.

Dini ina ingia katika kundi hilo la vitu/mambo ya kipuuzi kuwepo duniani.

Maafa yaliyoletwa na huu upuuzi uitwao dini hayana idadi, ujinga ulioletwa na huu upuuzi uitwao dini haulezeki.

Dini ni kitu kinacho fanya mwenye akili kuwa mwendawazimu asiye jitambua.

Inahitajika miaka mingi sana huu upuuzi uitwao dini kuweza kupotea vichwani mwa watu.
Naamini kabisa kama Duniani hakungekuwa na hizi Dini basi, Dunia ingekua ni uwanja wa maovu zaidi kuliko haya tunayo yashuhudia, Kuna watu wakifikiria neno kiama au jehanamu basi wanakuwa na uoga wakufanya maovu, binafsi nachukizwa na baadhi ya mambo yanayotokea kwasababu ya Dini ila naamini uwepo wa Dini, umesaidia kwakiasi kupunguza matatizo kwenye Dunia
 
Israel na Palestine pote Pana Wakristo, waislam na wayahudi.
Pale ni ishu ya utaifa kugombea ardhi.
Sawa na Somalia wote dini moja lakini wanauwana kugombea madaraka
Daa,maisha haya jamani😔
 
Naamini kabisa kama Duniani hakungekuwa na hizi Dini basi, Dunia ingekua ni uwanja wa maovu zaidi kuliko haya tunayo yashuhudia, Kuna watu wakifikiria neno kiama au jehanamu basi wanakuwa na uoga wakufanya maovu, binafsi nachukizwa na baadhi ya mambo yanayotokea kwasababu ya Dini ila naamini uwepo wa Dini, umesaidia kwakiasi kupunguza matatizo kwenye Dunia
Uwepo wa dini umechangia vifo vingi kuliko kitu chochote duniani , sasa sijui unazungumzia nini apo.
 
Imagine dini isingekuwepo pia watu tungekuwa Ruthless kiasi gani
Dini ndio imechangia mauaji, vita na maasi mengi duniani.

Dini isinge kuwepo tungeishi kwa Amani.

Dini imetengeneza makundi ya waasi kama Boko Haram, Al Shabaab, Islamic state.

Nchi za kidini ndio zina ukandamizaji mkubwa wa haki za binadamu kama Afghanistan ya wataliban, Iran, Iraq, Yemen n.k

Nchi nyingi zisizo religious ndizo zenye uhuru, furaha na Amani kwa raia mfano Finland, Sweden, Norway, Switzerland na nyingine nyingi za Europe...
 
Waafrika ndio waliotaka wenyewe kwenda utumwani hata Leo we uoni dream za vijana wa kiafrika ni kuzamia utumwani kwa kuacha fursa tele
Fursa zipi unazozungumzia , umeme unakatika siku nzima , maji hakuna sisiemi kila sku wanawambia amieni Burundi, mkuu kwa hilo ebu fikir vizuri.
 
Naamini kabisa kama Duniani hakungekuwa na hizi Dini basi, Dunia ingekua ni uwanja wa maovu zaidi kuliko haya tunayo yashuhudia, Kuna watu wakifikiria neno kiama au jehanamu basi wanakuwa na uoga wakufanya maovu, binafsi nachukizwa na baadhi ya mambo yanayotokea kwasababu ya Dini ila naamini uwepo wa Dini, umesaidia kwakiasi kupunguza matatizo kwenye Dunia
Dini ndio imechangia mauaji makubwa sana duniani kuliko kitu chochote kile...

Makundi ya waasi kama Boko Haram, Al Shabaab, Islamic state, Al-Qeida yote yanatumia Dini kama kichaka cha kufanya uhalifu wao.

Wachungaji uchwara wanaua maelfu ya waumini wao kwa ibada za kipumbavu. Mfano mauaji ya wakenya kule msituni shakahola, mauaji ya kibwetere Uganda n.k

Uovu haudhibitiwi kwa Dini, Bali kwa Sheria kali za kudhibiti uhalifu.

Mataifa mengi kama USA,Canada na nchi nyingi za Europe watu hawana Dini lakini nchi zao zina sheria kali kudhibiti matendo yeyote ya kihalifu.

Dini ni KICHAKA cha uhalifu....
 
Kati ya mambo ya kipuuzi kupata kubuniwa au kuletwa na watu duniani.

Dini ina ingia katika kundi hilo la vitu/mambo ya kipuuzi kuwepo duniani.

Maafa yaliyoletwa na huu upuuzi uitwao dini hayana idadi, ujinga ulioletwa na huu upuuzi uitwao dini haulezeki.

Dini ni kitu kinacho fanya mwenye akili kuwa mwendawazimu asiye jitambua.

Inahitajika miaka mingi sana huu upuuzi uitwao dini kuweza kupotea vichwani mwa watu.
labda dini ya uislam, umeishawahi kusikia vikundi vya kikristo vikishambulia watu na kuwateka? Ukiona hivyo ujue wamechoshwa hivyo wanajihami. Fahamu kuwa kuna jamii ya wakristo dini hawazitaki wao wanachojali ni maisha matakatifu ya wokovu walioupata kwa mwokozi wao Yesu Kristo. Habari za dini hawazipendi kuzisikia wala kuzifia wanaona dini ni utopolo tu. Wenye dini ni waislam na wengine wa aina hiyo. Yesu mwenyewe alikuja duniani alizikuta dini zipo na hakuwa na mpango nazo kiasi cha watu wa dini kumsagia kunguni kwa herode
 
Una uhakika gani yesu alikuja kwel na sio story za kukopa tu kwenye story za kale za kigiriki?
 
Dini ndio imechangia mauaji makubwa sana duniani kuliko kitu chochote kile...

Makundi ya waasi kama Boko Haram, Al Shabaab, Islamic state, Al-Qeida yote yanatumia Dini kama kichaka cha kufanya uhalifu wao.

Wachungaji uchwara wanaua maelfu ya waumini wao kwa ibada za kipumbavu. Mfano mauaji ya wakenya kule msituni shakahola, mauaji ya kibwetere Uganda n.k

Uovu haudhibitiwi kwa Dini, Bali kwa Sheria kali za kudhibiti uhalifu.

Mataifa mengi kama USA,Canada na nchi nyingi za Europe watu hawana Dini lakini nchi zao zina sheria kali kudhibiti matendo yeyote ya kihalifu.

Dini ni KICHAKA cha uhalifu....
Hayo ni makundi ya wahuni hayana uhusiano na dini kama ,kama ni dini mbona matendo yao pingana na din.
N makundi yanayofadhilia na kiranja wa dunia kuleta political instability
 
Back
Top Bottom