bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Matendo yetu na yao ni tofaut sababu ya tofaut za maleziTabia ndio zina zaa matendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matendo yetu na yao ni tofaut sababu ya tofaut za maleziTabia ndio zina zaa matendo
Hawauwani sababu ya dini na Wala hawapiganii dini.Hapana,tatizo kuna nyakati nimepitia tangu mdogo huyu Yesu kanipigania sana.....hiyo bas tu ni vile watu wanauana huko Israel napalestine sababu ya dini😭😭😭😭
Kabisa kwa kukuletea wewe ili wakuibie then wakuambie ukipigwa kofi geuza shavu jingne upigwe tena.Kwani huoni ulaya na arabuni ustaarabu na maendeleo yote yameletwa na dini
Nilidhani unazungumzia UKRISTO kama ni DINI upo sahihi lakini kama hautojali unaweza kupunguza ukali wa maneno[emoji120]Kati ya mambo ya kipuuzi kupata kubuniwa au kuletwa na watu duniani
Dini ina ingia katika kundi hilo la vitu/mambo ya kipuuzi kuwepo duniani.
Maafa yaliyoletwa na huu upuuzi uitwao dini hayana idadi, ujinga ulioletwa na huu upuuzi uitwao dini haulezeki.
Inahitajika miaka mingi sana huu upuuzi uitwao dini kuweza kupotea vichwani mwa watu.
Ni kwel lakini dini ina mchango mkubwa sana wa udumavu wa akili.Matendo yetu na yao ni tofaut sababu ya tofaut za malezi
Mbaya zaidi aliyeleta dini akasema hakuna mtume mwingine tena zaidi ya Yesu na Mohamed, akijitokeza mwingine ni wauongo. Yaani ni wao tu milele. Yaani Mungu ameishiwa uwezo wa kuumba na kuleta tena mitume wengine duniani. Mungu amezeeka? amekuwa punguani? amechoka sana? au amepatwa na nini hadi mitume iwe hiyohiyo milele na anaesema wasije wengine ni hawahawa wanaofaidika na mitume walioko sasa.Kati ya mambo ya kipuuzi kupata kubuniwa au kuletwa na watu duniani
Dini ina ingia katika kundi hilo la vitu/mambo ya kipuuzi kuwepo duniani.
Maafa yaliyoletwa na huu upuuzi uitwao dini hayana idadi, ujinga ulioletwa na huu upuuzi uitwao dini haulezeki.
Inahitajika miaka mingi sana huu upuuzi uitwao dini kuweza kupotea vichwani mwa watu.
Ni dini hizo...kitendo cha kusema palestina ni yangu Muslims hatakiwi hiyo ni nini boss? UdiniHawauwani sababu ya dini na Wala hawapiganii dini.
Dini hazikuanzia ulaya Wala uarabuni wao waliozipokea kwao waliibiwa nini.Kabisa kwa kukuletea wewe ili wakuibie then wakuambie ukipigwa kofi geuza shavu jingne upigwe tena.
Mungu yupo ila Hana dini , dini ni biashara za watuKati ya mambo ya kipuuzi kupata kubuniwa au kuletwa na watu duniani
Dini ina ingia katika kundi hilo la vitu/mambo ya kipuuzi kuwepo duniani.
Maafa yaliyoletwa na huu upuuzi uitwao dini hayana idadi, ujinga ulioletwa na huu upuuzi uitwao dini haulezeki.
Inahitajika miaka mingi sana huu upuuzi uitwao dini kuweza kupotea vichwani mwa watu.
Dini imekuwepo hata kabla ya biasharaMungu yupo ila Hana dini , dini ni biashara za watu
Mbona ulaya na uarabuni hawana huo udumavu.Ni kwel lakini dini ina mchango mkubwa sana wa udumavu wa akili.
Kati ya mambo ya kipuuzi kupata kubuniwa au kuletwa na watu duniani
Dini ina ingia katika kundi hilo la vitu/mambo ya kipuuzi kuwepo duniani.
Maafa yaliyoletwa na huu upuuzi uitwao dini hayana idadi, ujinga ulioletwa na huu upuuzi uitwao dini haulezeki.
Inahitajika miaka mingi sana huu upuuzi uitwao dini kuweza kupotea vichwani mwa watu.
Palestina na Israel haziuani sababu ya dini , nyakati ngumu kwenye maisha zipo ili kuleta maana ya maisha , kuhisi ni yesu kakupigania sio vibaya , ila sitegemei ukakanyage wese kwa posa boy🤗Hapana,tatizo kuna nyakati nimepitia tangu mdogo huyu Yesu kanipigania sana.....hiyo bas tu ni vile watu wanauana huko Israel napalestine sababu ya dini😭😭😭😭
Itakuaje wakati hizo ni tamaduni zao na mifumo yao tangu zamani, uarabuni sio kote wapo vizuri kuna sehemu Syria 🇸🇾 na Oman wana maisha duni tz tunasingiziwaMbona ulaya na uarabuni hawana huo udumavu.
Israel na Palestine pote Pana Wakristo, waislam na wayahudi.Ni dini hizo...kitendo cha kusema palestina ni yangu Muslims hatakiwi hiyo ni nini boss? Udini
Walizipokea kutokea wap?Dini hazikuanzia ulaya Wala uarabuni wao waliozipokea kwao waliibiwa nini.
Kofi means usirudishe ubaya kwa ubaya hii hata African filosofia imekuwepo hata kabla ya dini.