bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Imani ni kitu chenye nguvu kwa anaeamini kama yeye anaona wese linatatatua shida zake za kiroho poa tu sawa na mtu atambiae mizimu akaona anatatulika shida zakePalestina na Israel haziuani sababu ya dini , nyakati ngumu kwenye maisha zipo ili kuleta maana ya maisha , kuhisi ni yesu kakupigania sio vibaya , ila sitegemei ukakanyage wese kwa posa boy🤗