Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kisicho kuwepo, Hakihitaji uthibitisho wa kutokuwepo kwake.Thibitisha
Kwa vile hakipo kwa namna yoyote ile ya kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika.
Angalau kitu kinaweza kuthibitishika kipo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika.
Mungu na Shetani Hawapo kwa namna yoyote ile ya kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika zaidi ni dhana za kufikirika tu na kusadikika, Imagination just an illusion.
Mungu na Shetani ni dhana za kufikirika, Imagination just an illusion...
Ndio maana Hamuwezi kuthibitisha uwepo wake.
Kama una uwezo huo, thibitisha uwepo wa huyo Mungu.