bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Hakuna tofaut na mababu zetu kutambika chini ya miti mikubwa au mapangoni kwa vitu wasivyovioonaAu huu ujinga hapa
Mababu zetu waliwabeba Wakoloni juu huku wakichapwa viboko, leo Watu wazima na akili zao wanabeba sanamu iliyotengenezwa kwa mbao na kupakwa rangi huku wakisema ni Mama wa Mungu
View attachment 2787351
mi nimenukuu mitazamo ya wenye diniKama huo ndiyo uelewa wako wa neno "dini" endelea kumtafuta, ukimpata nijulishe.
Ni sawa ila hauwezi kukua kwa kitu ambacho hakina uhalisia ni mambo ya tamaduni na mifumo ya maisha ya wenzetu mbaya zaidi ya kwako umeipa jina la ushetani .Shinto,cultism, Kabal,vodoo, scientology, luciferism, Buddhism nk Huwezi kukua kwa kujifungia kwenye bible na Quran
Kwa sababu ni dhaifu imeshindwa kucompete na iliyo strong.Ni sawa ila hauwezi kukua kwa kitu ambacho hakina uhalisia ni mambo ya tamaduni na mifumo ya maisha ya wenzetu mbaya zaidi ya kwako umeipa jina la ushetani .
Tena Matambiko ya kiafrika ndio yalikuwa ujinga zaidi kwsbb yalikuwa yanaamisiha watu vitu visivyo na faida kabisaHakuna tofaut na mababu zetu kutambika chini ya miti mikubwa au mapangoni kwa vitu wasivyovioona
Sema kweli 🤣 🤣 🤣Kwani huoni ulaya na arabuni ustaarabu na maendeleo yote yameletwa na dini
hakuna mtoto wa shetani kama ndo ivo ata dini uko uko kuna mashetani kama weWatoto wa shetani mnaitazama Dini kwa mabaya
wewe horo wwe nenda kasaliKinachoniacha hoi ni kupiga magoti mbele ya sanamu na kuomba, sanamu inaongea? Ni utumwa uliokubuhu!
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Mbona wamtusi mkuu?aloo embu acha shobu tulio fanya mambo yakuView attachment 2787185
Don't you believe in religion mom?Kabisa ila basi tu[emoji19]
Una hoja Ya Msingi...Kati ya mambo ya kipuuzi kupata kubuniwa au kuletwa na watu duniani.
Dini ina ingia katika kundi hilo la vitu/mambo ya kipuuzi kuwepo duniani.
Maafa yaliyoletwa na huu upuuzi uitwao dini hayana idadi, ujinga ulioletwa na huu upuuzi uitwao dini haulezeki.
Dini ni kitu kinacho fanya mwenye akili kuwa mwendawazimu asiye jitambua.
Inahitajika miaka mingi sana huu upuuzi uitwao dini kuweza kupotea vichwani mwa watu.
hana adabu uyoMbona wamtusi mkuu?
Chronology ya wazungu kuja katika bara la Afrika inaeleza vizuri sana. Walianza traders kuja kufanya biashara, wakaja explorers kuja kulipeleleza bara, wakaja missionaries ili kuleta dini na injili. Kisha wakaja wakoloni kuja kututawala. Na sasa wameondoka ila mifumo yao na vibaraka wamebaki kuendela kutawala.Kati ya mambo ya kipuuzi kupata kubuniwa au kuletwa na watu duniani.
Dini ina ingia katika kundi hilo la vitu/mambo ya kipuuzi kuwepo duniani.
Maafa yaliyoletwa na huu upuuzi uitwao dini hayana idadi, ujinga ulioletwa na huu upuuzi uitwao dini haulezeki.
Dini ni kitu kinacho fanya mwenye akili kuwa mwendawazimu asiye jitambua.
Inahitajika miaka mingi sana huu upuuzi uitwao dini kuweza kupotea vichwani mwa watu.
Kuna mzungu alikuja bongo, ye ni mroma...nlivomwambia Mimi Atheist alishangaa sanaTukiikataa hii mambo hawa ngozi nyeupe wataanza kutuheshimu mdogo mdogo.
As if wavaa kobazi na wagalatia hawana shauki ya watu kufata mkondo wao.Dalili moja wapo ni kutapatapa na kuwa na shauku watu wafuate mkondo wao.
FactTukiikataa hii mambo hawa ngozi nyeupe wataanza kutuheshimu mdogo mdogo.