Dini siyo mila za Kizungu wala Kiarabu

Hakuna Uthibitisho wa Kutokea Kwa gharika anza kwanza kuthibitisha Hilo
 
Unazungumziaje Waislamu wanaochanganya UISLAMU na mila za waarabu, nazungumzia wale ambao wanaona uarabu ndio UISLAMU, na kila jambo la waarabu ndio UISLAMU.

Unazungumziaje Waislamu wanaoabudu Waarabu na kuona kana kwamba kuutetea uarabu ndio kuutetea UISLAMU na kupelekea kuwathamini waarabu zaidi kuliko waAfrica wenzao.

Je ni sahihi kwenye dini kumthamini Muarabu MUISLAM na kuacha kumthamini Mwafrica mwenzio asiye na dini?
 
Hvyo Ni vijitaasisi vdog tu vyenye lengo la kuchafua uislamu tu,
Halafu MASGD siyo kitaasisi, ni moja ya taasisi kubwa kabisa ya kiislamu inayohudumia LGBTQ wa hiyo dini duniani kote..

 
Naomba kujua dini yako kwanza mkuu,
Kama Ni atheist itabid tuanzie kweny kuthibitisha mungu kwanza.
Atheist nitawaandalia Uzi wenu mzuri kabisaa wa kuthibitisha mungu kwanza.
Habari Al-habiib
Kwanini unataka Kujua Dini yangu?
Jibu nililotaka au ulilotaka Kunipa Linahusiana na Dini?

Kwanini Unaogopa Mjadala kwa kisingizio cha Dini?
Nikikwambia Mimi Muislam, Then what?, nikikwambia Mkristo ,Then what?
Nikikwambia Myahudi, Then what?

kama utataka kujibu Hoja Plz jibu usijifiche kwenye Kivuli cha Dini

Well kama Ndyo, Niko Familia na Dini karibu zote Christian, Hinduism, Islam ,Judaism, Agnostic, Ignostics , Atheism, Sumerian mystery or any You name it..

Hakuna sehemu Nimeomba Kuthibitishiwa Kuwa Mungu Yupo (unachanganya Mafaili).

Nilichoomba ni kitu kidogo tu ushahidi Usio na shaka Kuwa Gharika Ilitokea na Waliopona Ni wachache Dunia nzima..

Kwa Mujibu wa Biblia Waliopona Hawakuzidi 8..

Na najua kwenye Quran Suratul Hud (11:36-48) na Suratul Mu'minun (23:23-29), Zinasema walipona Watu wachache familia ya Nuhu na Watu wachache waliomuamini Nuhu..

Hiyo imeenda against Biblia ambayo ilisema walipona Familia Ya Nuhu peke yake ambao ukiwajumlisha Unapata Nane..

Sasa swali lilo pale pale..
Thibitisha Tukio la Nuhu ni Tukio la kweli
 
Unazungumziaje Waislamu wanaochanganya UISLAMU na mila za waarabu, nazungumzia wale ambao wanaona uarabu ndio UISLAMU, na kila jambo la waarabu ndio UISLAMU.
Kwanza mkuu Kuna ktu kimoja unatakiwa ukijue kwamba, uislamu umevunja mila nyingi za kiarabu. hta hayo mavazi upande wa wanawake ule Ni uislamu so uarabu, sababu Aya zilishuka kuwa Shurutisha wanawake kuvaa vile ,lakni mfano upande wa wanaume hakukuwa na sharti la kuvaa kanzu, Ila kwa sababu ndio vazi ambalo mtume alikuwa akivaa hta wafuasi lazma waathirike na yeye.
kwahyo utakuta mambo mengi waliyonayo waarabu ni ya kiislamu .
labda kujua Sasa Hili Ni la kiarabu na huu uislamu lazma uwe muislamu ,
na machache Sana walonayo waarabu so ya kiislamu sababu dini imeshuka kwao so lazma athari iwe kubwa kwao.
Uislamu unamtaka mtu amkubali Allah na aachane na Mila zote isiyo kuwa uislamu,
Sasa kuhusu mambo ya utaifa,ukabila hayazingatiwi kweny uislamu kabisa yani watu wote Ni sawa .
Kweny Quran suratul-hujuuraat Allah anasema Aya 13 ,
"Enyi watu!Hakika sisi Tumekuumbeni kutokana na mwanaume na mwanamke na tumekujaalieni kuwa mataifa na makabila ili mpate kujuana hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa allah Ni huyo aliye mchamungu zaidi katika nyinyi.Hakika ya Allah Ni mwenye kujua, mwenye khabari."
Ndo Mana utaona muislamu anaishi popote na waislamu wenzie na hta huko makka watu wanachanganyikana bila kujali race zao maskini ,tajiri,mweusi ,mweup n.k.
Kwahyo uislamu haukubali kuchukukiana kwa sababu hzo Ila Sasa, kuchukukia na kupenda kunatakiwa kuwe kwa ajili ya Allah mfano unampenda mtu sababu Ni muislamu na anfanya matendo mazuri. Na kuchukia nako Ni hvy hvy Yani mfano unamchukia mtu sababu anapiga Vita uislamu kwa wazi labda anawasema vibaya waislamu na kuwadhihaki dini yao.
HITIMISHO:1.uislamu unakubali kumthamini muarabu au mzungu kwa sababu ya uislamu wake ,lakni so kisa Ni muarabu au mzungu, na kumthamini mwafrica au mtu mweusi sababu Ni muislamu lakni so kisa uafrica wake ,Ila haimaanishi uishi ukimchukia asiye muislamu Kama hakupigi Vita katika uislamu wako ,Bali tuishi kwa wema tu.
Hzo mambo za ugaidi na Vita Ni mipango ya wanaochafua uislamu kupitia fikra potofu au katika dini Kuna watu pia huwa wanapotosha maandiko kwa jazba na mihemko yao tu.
2.uislamu unazinagatia udugu wa Aina mbili tuuuu a)kiimani Yani muislamu kwa muislamu kupendana b)udugu wa damu ,na huu huwa haufi na uislamu una sisitiza kuunga udugu hta Kama ndugu so muislamu.
 
Jina lako tu linasharabu uarabu/uislam. Acha upotoshaji uislam ni tamaduni za kiarabu na na ukristo uliletwa na wazungu toka ulaya. Cha ajabu zaidi leo waturuki/waislam wanachinja mifugo balaa kana kwamba wako kwao kufanya tamaduni za ibada ya dini yao ya kiislam. Wanatuona waafrika hatuna dini, wao ndio wana dini na mungu wao. Karne hii upuuzi wa dini zao hatuutaki
 
Kwahiyo umesimamisha mishiba ya shingo kutetea dini ya pedoophile mudi mbakaji na shetani wake alla,kimsingi dini ni utapeli kila jamii zilikua na miungu yao na nja yao za kuabudu,uislamu na ukristo uliletwa kutawala wajinga sasa ujinga umetutoka hatuzitaki kwanza zinatuleta utengano baina yetu wenyewe,

Achaneni na ujinga wa dini za kuletwa.
 
Halafu unaambiwa fuvu la binadamu wa kwanza limepatikana oldu vai gorge,,,,,,,,....akili kumkichwa kila mtu aamini anachotaka kuamini
Oldvai ni ishu za freemason kuichallege dini.
Eti binadamu wa kwanza alitokea Africa mashariki.
 
Huko ulaya still Ukristo upo kwa wajinga gani
 
Una kaza fuvu Sana mkuu ,Soma Uzi tena
 

Umeeleza maelezo mengi. Nitamalizia kusoma. Ila ukweli ni kuwa dini zote zilizoletwa Afrika ni desturi za watu fulani. Mfano hata dini ya RC wamekuwa na mapokeo mengibambayo nyingi ni desturi na mapokeo ya waroma. Vitu vingi havipo kwenye biblia, lakini vipo kwenye misale ya waumini. Au desturi ya waroma. Hiyo ikapelekea kanisa la RC wakaanza kuwa na program za utamadunisho wa ibada na dini yao. Sijui likifanikiwq kwa kiasi gani, lakini hilo lilikuja baada ya kuona kuna gap kubwa kati ya tamaduni za kanisa na tamaduni za waumini.

Tuendelee kutafakari hilo.
 
sawa mfia dini
 
Tukio la nuhu wanaoamini Jew, Muslim and Christian tu sababu limetajwa katka vitabu, vyao Sasa Kama unataka uthibitisho lazima uwe unaamini kitabu mojawapo katka hzo dni tatu ,ndo maana nkasema nataka kujua dini yako .
Watu wa dini hzo tatu hawezi KUTAKA uthibitisho tofauti na ktabu chake ma atakuwa anapinga maandiko yake mwenyew.
Ndo nkahisi itakuwa atheist unataka mambo ya kuona ,kuskia mwenyew au experimentation,
This is faith-based thing man ,I was not around when Noah's people got drowned.its the matter of believing in God. If it's still puzzling stop brainstorming me.
 
Kashfa na dhihaka huna fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…