Dini siyo mila za Kizungu wala Kiarabu

Dini siyo mila za Kizungu wala Kiarabu

Uislamu ni shambulio la akili kama vile bangi inavyoweza kushambulia akili na kuathiri utendaji mzuri wa akili

Hawa watu kukuuwa au kukubagua kisa tu wewe si dini hiyo ni jambo la kawaida

Wanataka wafundishe hiyo dini yao kila mahali lakini hawataki dini nyingine zifundishwe kila mahali.
 
Hao waharabu wanavyo wachukia watu weusi sasa na hao wazungu wenu. Mhhh Tena afadhali kidogo wazungu. Nenda Oman na Rangi yako black ukachumbie kwa mashekhe wenzio Kama ujakatwa kichwa.
 
Tukio la nuhu wanaoamini Jew, Muslim and Christian tu sababu limetajwa katka vitabu, vyao Sasa Kama unataka uthibitisho lazima uwe unaamini kitabu mojawapo katka hzo dni tatu ,ndo maana nkasema nataka kujua dini yako .
Watu wa dini hzo tatu hawezi KUTAKA uthibitisho tofauti na ktabu chake ma atakuwa anapinga maandiko yake mwenyew.
Ndo nkahisi itakuwa atheist unataka mambo ya kuona ,kuskia mwenyew au experimentation,
This is faith-based thing man ,I was not around when Noah's people got drowned.its the matter of believing in God. If it's still puzzling stop brainstorming me.
Ngoja Nikuambia Kitu..
Its Not matter of Faith here Its matter of Hope!
How can you have Faith where there is No Hope?

Naamini Vitabu vyote ulivyotaja Kwa sababu vyote Nimevisoma!

Do you know The Story of Atreahasis and Flood or the Story of the flood from atreahasis...au wanaita Epic of atrahasis au Wengine The Grest Gilgamesh au The Great flood au Epic of Gilgamesh???

Ni story Iliyoandikwa Kuhusu Hadithi inayofanana na Ya Nuhu Miaka 2000BC kabla hata Ya kuandikwa Biblia..

Hadithi hiyo imeandikwa Kabla ya BaniIsrael kukamatwa mateka Na Wasamaria Pale babilon..
Na Story hiyo Imeandikwa na Samerian...

So U a uhakika kwamba Hadithi Hiyo hailuchukuliwa Kutoka Huko...

Swala la dini Nimekuambia Zote nazijua so You better Answer ukimaliza happ kujibu tutaingia kwenye Vipimo vya Jahazi au Safina kama biblia ilivyosema halafu yatafuata maswali mengine
 
Jina lako tu linasharabu uarabu/uislam. Acha upotoshaji uislam ni tamaduni za kiarabu na na ukristo uliletwa na wazungu toka ulaya. Cha ajabu zaidi leo waturuki/waislam wanachinja mifugo balaa kana kwamba wako kwao kufanya tamaduni za ibada ya dini yao ya kiislam. Wanatuona waafrika hatuna dini, wao ndio wana dini na mungu wao. Karne hii upuuzi wa dini zao hatuutaki
Na wew una-akisi uarabu Mana unatumia maneno ya kiarabu;
Dini-. دين
Sharab - شراب
Karne-قرن
Ajabu-عجب.
Acha uarabu kuwa mbantu halisi.
 
Hizi dini zimekuja na Mashua na Miungu yao ambayo ni Imported kama Kikuu
 
Ngoja Nikuambia Kitu..
Its Not matter of Faith here Its matter of Hope!
How can you have Faith where there is No Hope?

Naamini Vitabu vyote ulivyotaja Kwa sababu vyote Nimevisoma!

Do you know The Story of Atreahasis and Flood or the Story of the flood from atreahasis...au wanaita Epic of atrahasis au Wengine The Grest Gilgamesh au The Great flood au Epic of Gilgamesh???

Ni story Iliyoandikwa Kuhusu Hadithi inayofanana na Ya Nuhu Miaka 2000BC kabla hata Ya kuandikwa Biblia..

Hadithi hiyo imeandikwa Kabla ya BaniIsrael kukamatwa mateka Na Wasamaria Pale babilon..
Na Story hiyo Imeandikwa na Samerian...

So U a uhakika kwamba Hadithi Hiyo hailuchukuliwa Kutoka Huko...

Swala la dini Nimekuambia Zote nazijua so You better Answer ukimaliza happ kujibu tutaingia kwenye Vipimo vya Jahazi au Safina kama biblia ilivyosema halafu yatafuata maswali mengine
Hyo story siijui Ila hyo story kuwepo kabla haimaniishi,eti kwamba maandiko yame-copy kwao .huenda hao waloandika waliifahamu story ya nuhu kupitia mababu zao ndo maana wakaandika sababu story ya nuhu imetokea kabla yao na maandiko yamekuja baadae kwa watu ambao hawakuwepo.
Mwishoo, umewezaje kuamini hyo story kweny ktabu hcho halafu umeshindwa kuamini ya nuhu, unachekesha kweli. Huko uliposoma hyo story umepewa vivid evidence gani,em re-quote evidence ya story yako haf tuooanisha na ya nuhu ili tumalize mjadala.pia lete vigezo ulivyotumia kuamini huko halafu ukashindwa kuamini maandiko.
Lakni pia swali lako pia linaonyesha huamini kuwa maandiko yanatoka kwa mungu ndo Mana mwanzo kabisa nkasema unahitaji kupewa proof of God na proof ya kwamba maandiko yanatoka kwa mungu.
 
Hakuna Mahali Nimesema Nimeiamini Story hiyo kama umesoma nilichoandka Nimekuuliza unaifahamu Hadithi hiyo..

Na nilichokisema Ni kuwa Naamini Vitabu vyote ulivyotaja (Unaweza ukarudi nyuma kusoma Nilichoandika tena)..

Unajua Nilichogundua Kuwa Huna gut wala Ilimu ya kujibu maswali yangu zaidi Unafanya Imposition ya maswali yako..

Hiyo ni Uskilled kabisa unLogical Arguments..
Jibu kwanza Swali ndiyo Uimpose Maswali mengine..

Hakuna mahali nimesema Naamini hadithi yoyote wala story yyte wala hakuna mahali nimesema Story yoyote Ni uongo au Si ya kweli..

Ila nimeuliza maswali kwa ajili ya Reasoning na umeshindwa Kureason...

Haya Sasa Twende kwenye Safina..
Na ukubwa Wake maana kuhusu Kujenge Hoja juh ya Hadithi hiyo umeshindwa..

Kulingana na Biblia..

Safina Ilikuwa na Ukubwa Ufuatao (Unaweza ukasoma Kupitia Mwanzo 6 kuanzia aya ya 9 mpaka 22)..

300 x 50 x 30 cubits..
au kwa vipimo vya sasa
dimensions-size-noahs-ark-20-5-inch-cubit-30x50x30-515x85x51-feet-draft26feet (1).jpg

chombo Chenye Ukubwa Huu ambacho hata Meli za Kisasa zinakizidi Ndo kiliingiza Species 7.7 Milion na Watu?

Wakati Titanic Ni kubwa Kuliko Hicho chombo ilikuwa ina Abiria 2,240?

Does it Make sense To you or you Refuse to update your head on reasoning?

I am a theologian na nakuhakikishia kuwa Hayo ni maswali ambayo ni magumu kuyajibu huenda leo nikapata majibu kutoka kwako
 
Mkuu nataka uthibitishe ushahidi pa si na shaka ..

Mkuu ikiwezekana huyo Allah aje hapa mana kwa ukuu mliompa ni kwamba anaweza kuja kama huwezi thibitisha. Basu hizo ni hadithi kama hadithi zingine
 
Hvyo Ni vijitaasisi vdog tu vyenye lengo la kuchafua uislamu tu,
Em angalia nyiny papaa mwenyew ndo anapambania na Kuna makanisa magharib yanafungisha ndoa kabsa.
Em lete ushahidi wa viongozi wakubwa katika ulimwengu wa kiislamu wanaosapoti ushoga au nchi za kiislamu Kama nyie mnavyofanya.
Hii haifanyi uislamu kuwa kweli mana ni kama mmeacha dhambi hii mkakimbilia ile ya kuuwa 🤣🤣🐷
 
Dunia ina maelfu ya miaka maajabu dini zenu hazizidi hata miaka 7000. Je miaka 10000 iliyopita dini zenu zinatambua kulkuwa na matukio gani??.

Ukweli utabaki hivyo dini zote zimeletwa Afrika kwa njia haramu na ushenzi mkubwa wa kuifuta historia ya Afrika.

Huyo Allah na nduguze akina yesu hawana maana ktk jamii za waafrika, amkeni enyi wajinga
 
Wamisri ambao ni waarabu
Pyramids zina zaidi ya miaka 5000 na hao waarabu mashetan wameivamia hiyo ardhi ya misri hapo hawana hata miaka 2000, utasemaje ni wao walijenga? Pia hawana hata muunganiko na historia ya misri kivyovyote maana misri ilikaliwa na watu weusi na ndio waliovumbua hizo technologies zinazowahangaisha hao miungu wenu waarabu na wazungu kujua hizo pyramids zilijengwaje

Vilaza mjitahidi kuisoma historia
 
hapa umechanganya upumbavu na werevu
 
Attack on Religion
Attack on Family
Attack on Education

The New World order is already here.
 
Habari wakuu,

Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la kampeni kubwaa sana ya kupinga Vita dini na kusema dini ni vitu vya kuletwa na majahzi tu zisifuatwe, na maneno haya utakuta wanaoongea wala siyo atheists bali ni watu wanaoamini katika Mungu sema tu wanadai kuwa mfumo wa kumuabudu Mungu kwa kutumia uislamu au ukristo ni Mila za kuletwa na sahihi na mbadala wake watu warudi kwa mila za mababu haswaa mizimu na kuabudu mti.

Mimi ni Muslim na kwa upande wa dini yangu nitatetea dini kwa historia kupitia uislamu kwa munasaba wa sikukuu hii ya idd na ibada ya hijjah inayoendelea huko makka na historia yake kuonyessha kuwa uislamu so mila ya Kiarabu hata kidogo bali ni kitu tofauti kabisa na Uarabu ila tu umekuwa ikifungamana na uarabu sababu mtume MUHAMMAD صلى الله عليه وسلم Ni mwarabu na mafundisho yameshuka kwake.

HISTORIA KWA UCHACHE

GHARIKA LA WATU WA NUHU

Baada ya gharka la nuhu kutokea kulikuwa na watu wachache Sana waliobaki duniani, Nuhu aliwahubiria watu wake kwa Muda wa miaka 1000 ispokuwa 50 Yani miaka 950 akiwakataza ushirikina(shirk) lakini waliamini watu inakadiriwa Kama 80 tu na inasemwa watu walikuwa wanazaliwa na kufa lakni wanamkuta nuhu, na wazee walikuwa Wana WaPa wosia watoto wao wasimkubali nuhu sababu anataka kuharibu mila za mababu yao.

Yaani hawa watu walikuwa wanaabudu watu wema ambao walwajengea masanamu matatu na wakayapa majina yao Yani latta, uzza na Nasra.

Historia ni ndefu lakini kwa ufupi hawa watu walikuwa wanaabudu masanamu na Kuna sababu zlizopelekea wao wayaabudu hayo masanamu ya watu wema, hiyo nayo ni historia nyengne Ila waliangamizwaa wote ispokuwa wachache ambao waliingia kweny safina la Nuhu.

Hii ni historia inakublika kwa Christian, Jews na Muslims. Ndani ya vitabu vyao injili, Torah, Quran respectively.

SWALI: Naomba kujua kwa upande wa wakristo;

1. Je, nuhu alikuwa dini gani mnadhani? Christian? Jew? Mana mnasema bila yesu huwezi kuuona ufalme wa mbingu. Je hawa Nuhu, Lutu, Ibrahim wao watu wao inakuaje sababu yesu kaja baada na wao walikuwa wakimuabu Nani?

Jibu langu (Islam side): Nuhu alikuwa akiabudu mungu mmoja na aliabudu kwa namna mungu yeye alivyotaka, sababu waislamu tunaamini kila mtume alipewa maelekezo kivyake kulingana na umma wake jinsi ulivyo.

2. Je, Yesu ambaye mnadai ni Mungu alijitoa sadaka kwa ulimwengu mzima au baadhi ya watu tu, Mana Kuna watu wamepta adhabu kabla ya kuja yesu, pia watu wa luth waliadhibiwa kabla ya kuja Yesu?

3. Naomba kujua historia ukristo inavyosema kwanni watu wa nuhu waliiadhibiwa I'ma kwa kumkataa yesu au mungu mmoja. Kama Ni mungu mmoja kwanii wote tusimuabudu huyo mungu mmoja ambyae alikuwepo toka Adam na nuhu akiabudiwa (haya maswali ni nje ya mada Ila naomba majibu).

BAADA YA GHARKA LA WATU WA NUHU

baada ya gharka la watu wa Nuhu, miaka ilipita na Kuna historia hapo kati ilipita ya watu wa thamudi na Adi (giant people kuubwa toka dunia ianze ambao waliangamizwaa kwa kimbunga).

Baada ya hapo alikuja Ibrahim, sasa huyu mtume ndo tutajua uislamu Ni uarabu au sio.

Kipindi cha Ibrahim hakukuwa na mtu hta mmoja aliabudu Mungu bali waliabudu masanamu na mizimu, lakni wote walikuwa wanajua Kuna muumba lakni walikuwa hawataki kuabudu tu.

Kama hawa wa sasa wanavyosema mungu yupo lakni tuabudu mizimu na miti, sasa umejuaje kuwa Mungu anaridhia kuabudiwa kupitia mizimu? Na ukifanya hivyo unaabudu Mungu au mizimu?

Pia dini sisi tunaamini ndio njia ambayo inatuelezea mungu akubali Nini na hataki Nini, Sasa utafanyaje kitu kwa kubuni tu eti niabudu hivi wakati hujajua yule unayemfanyia anakubaliana nacho.

EID-AL-ADHWHA NI HISTORIA YA NABII IBRAHIM

Ukifuatlia historia utaona watu wengi kabla ya mitume walikuwa waliabudu masanamu. sasa alipokuja Ibrahim alipingana na watu wote, yeye na mke wake Sarah ndo walikua wanamuamini mungu mmoja tu.

Utakuta kwenye Hadith mtume anaelezea kwamba nabii Ibrahim alimwambia mke wake siku mmoja yani dunia nzima mi na wew ndio waumini tu, hapa utaona kumbe hta zamani huko arabuni kulikuwa na watu Wana mila zao na so uislamu kabisa.

Pia Ibrahim ametajwa kuwa ni mtu aliyepinga ushirikina akiwa peke yake na mkewe mpak jamaa zakee wakataka kumuua kwa kumchoma moto, hata kwenye Quran suratul nnahal inaelezwa Ibrahim alikuwa ni umma mmoja yaani Ni muumini peke yake na mkewe Hana hta mfuasi mmoja na Wala hakuwa ni mshirikiana.

Hivyo basi Eid hii iliyopo ni kuchinja, na kwenda Hijjah maanake waislamu waadhimisha mila ya nabii Ibrahim kwasababu kuchinja watu wanachinja kwa ajili ya Allah na kwenda hijjah makka Ni jengo alojenga Ibrahim, na Ibrahim alitaka kumchinja mwanae Kama sadaka kwa Allah lakni akatumiwa kondoo amchinje kama mbadala na ndo maana waislamu wanachinja.

Katika uislamu ni kwamba lau kama Ibrahim angemchinja mwanae siku ile, waislamu wangekuwa wanatakiwa kuchinja watoto wao Kama sadaka ili kumuenzi Ibrahim.

UISLAMU ULIVYOUFUNGAMANISHWA KWA IBRAHIM

Katika suratul baqara ,utakuta Allah anaamrisha waumini na mtume wafuate mila ya nabii Ibrahim sababu hakuwa mshirikiana.

Ushirikina maanake ni kupeleka ibada Kama kuomba, kutegemewa, wakati wa shda na majanga kwa asiye kuwa Allah Kama mizimu na miti.

HITIMISHO: Uislamu sio mila za mababu wa kiarabu Kama wanavyodai mapunguwani na mahayawani Bali Ni ufunuo kutoka kwa Allah sababu historia inaonyesha, mababu wa kiarabu walikuwa Wana mila zao kabla ya kuja mitume.

Na hata ukimuaangalia mtume MUHAMMADصل الله عليه وسلم alipopewa utume watu walitaka kumuua sana, maana alikuwa anapinga mila za mababu za kuabudu mizimu na masanamu, Waafrica msidhani kuabudu makaburi, mizimu, masanamu, miti ni dini yenu, ni desturi na innovation ya wanadamu waliopotea, mtu mzima na akili zako unauuomba mti kweli! Au mfu ambaye huenda mwenyew alipokufa alikuwa hohe hahe hta wew una afadhali duuh!

SABABU YA KUPINGA DINI

On our point of view, inasemekana dini zimeanza kudharauliwa huenda kwa sababu ya ukristo kuchezewa sana mfano utakuta viongozi wa kikristo duniani ndio wanashadidia ushoga na usagaji na ilihali kweny Torah na Bible Wanasoma kabsa namna watu wa lutu walivyoangamizwa sababu ya ushoga, sasa wakaona wawapumbaze na upande wa pili Mana kwenye uislamu kidog misimamo Ni mikali huwa hatulegezi kamba kweny sheria.

Waseme DINI NI UTAPELI ILI tuwe sawa tu maana wengi katika wapinga dini ni watu wanamuonekano wa kikristo nje lakni mioyoni ni wapinga dini.

Maana hapa Africa kuwa atheist ni ngumu, itabaki tu atheist kimoyo lakini matendo hamna. Maana ukicheza kidogo misiba unatakiwa ushiriki kwa utaratbu wa kidini, au ndoa na hata serikali Ina sehemu imetoa nguvu kwenye dini, mfano; vitabu vya dini mahakamani na kuapisha maraisi.

EID MUBAARAK
تقبل الله منا ومنكم
Umetisha kaka
 
Nuhu aliishi miaka elfu moja? Unaamini kabisa? Mkuu acha utoto basi. Be serious even just for a second please.

Leo hao weusi mbona hawavumbui,hizo idea za uvumbuzi zilifia wapi?
 
Back
Top Bottom