Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So na wew unaamin Kuna Jehanamu?,,,haki ya nan wajinga waliwaoNimesoma comment yako vzur Sasa, nimegundua unanialika kwa yesu kwa vitisho vya baada ya kufa.
Acha vitisho mwaga hoja, we ni kikutisha na uislamu unavyoelezea kuhusu kafiri baada ya kifo utasimama wew kweli?,😆
Na ww thibitisha kama una akili..Habari Al-habiib
Kwanini unataka Kujua Dini yangu?
Jibu nililotaka au ulilotaka Kunipa Linahusiana na Dini?
Kwanini Unaogopa Mjadala kwa kisingizio cha Dini?
Nikikwambia Mimi Muislam, Then what?, nikikwambia Mkristo ,Then what?
Nikikwambia Myahudi, Then what?
kama utataka kujibu Hoja Plz jibu usijifiche kwenye Kivuli cha Dini
Well kama Ndyo, Niko Familia na Dini karibu zote Christian, Hinduism, Islam ,Judaism, Agnostic, Ignostics , Atheism, Sumerian mystery or any You name it..
Hakuna sehemu Nimeomba Kuthibitishiwa Kuwa Mungu Yupo (unachanganya Mafaili).
Nilichoomba ni kitu kidogo tu ushahidi Usio na shaka Kuwa Gharika Ilitokea na Waliopona Ni wachache Dunia nzima..
Kwa Mujibu wa Biblia Waliopona Hawakuzidi 8..
Na najua kwenye Quran Suratul Hud (11:36-48) na Suratul Mu'minun (23:23-29), Zinasema walipona Watu wachache familia ya Nuhu na Watu wachache waliomuamini Nuhu..
Hiyo imeenda against Biblia ambayo ilisema walipona Familia Ya Nuhu peke yake ambao ukiwajumlisha Unapata Nane..
Sasa swali lilo pale pale..
Thibitisha Tukio la Nuhu ni Tukio la kweli
Akili Hupimwa Na uthibitishwa Kwa Vitu Vingi sana akili ni multifaceted concept, Huwezi kuthibitisha kwa kitu kimoja..Na ww thibitisha kama una akili..
Kabla ya kuthibitisha kuwa Gharika ya Nuhu ni kweli.