Ngoja Nikuambia Kitu..Tukio la nuhu wanaoamini Jew, Muslim and Christian tu sababu limetajwa katka vitabu, vyao Sasa Kama unataka uthibitisho lazima uwe unaamini kitabu mojawapo katka hzo dni tatu ,ndo maana nkasema nataka kujua dini yako .
Watu wa dini hzo tatu hawezi KUTAKA uthibitisho tofauti na ktabu chake ma atakuwa anapinga maandiko yake mwenyew.
Ndo nkahisi itakuwa atheist unataka mambo ya kuona ,kuskia mwenyew au experimentation,
This is faith-based thing man ,I was not around when Noah's people got drowned.its the matter of believing in God. If it's still puzzling stop brainstorming me.
Na wew una-akisi uarabu Mana unatumia maneno ya kiarabu;Jina lako tu linasharabu uarabu/uislam. Acha upotoshaji uislam ni tamaduni za kiarabu na na ukristo uliletwa na wazungu toka ulaya. Cha ajabu zaidi leo waturuki/waislam wanachinja mifugo balaa kana kwamba wako kwao kufanya tamaduni za ibada ya dini yao ya kiislam. Wanatuona waafrika hatuna dini, wao ndio wana dini na mungu wao. Karne hii upuuzi wa dini zao hatuutaki
Hyo story siijui Ila hyo story kuwepo kabla haimaniishi,eti kwamba maandiko yame-copy kwao .huenda hao waloandika waliifahamu story ya nuhu kupitia mababu zao ndo maana wakaandika sababu story ya nuhu imetokea kabla yao na maandiko yamekuja baadae kwa watu ambao hawakuwepo.Ngoja Nikuambia Kitu..
Its Not matter of Faith here Its matter of Hope!
How can you have Faith where there is No Hope?
Naamini Vitabu vyote ulivyotaja Kwa sababu vyote Nimevisoma!
Do you know The Story of Atreahasis and Flood or the Story of the flood from atreahasis...au wanaita Epic of atrahasis au Wengine The Grest Gilgamesh au The Great flood au Epic of Gilgamesh???
Ni story Iliyoandikwa Kuhusu Hadithi inayofanana na Ya Nuhu Miaka 2000BC kabla hata Ya kuandikwa Biblia..
Hadithi hiyo imeandikwa Kabla ya BaniIsrael kukamatwa mateka Na Wasamaria Pale babilon..
Na Story hiyo Imeandikwa na Samerian...
So U a uhakika kwamba Hadithi Hiyo hailuchukuliwa Kutoka Huko...
Swala la dini Nimekuambia Zote nazijua so You better Answer ukimaliza happ kujibu tutaingia kwenye Vipimo vya Jahazi au Safina kama biblia ilivyosema halafu yatafuata maswali mengine
Hakuna Mahali Nimesema Nimeiamini Story hiyo kama umesoma nilichoandka Nimekuuliza unaifahamu Hadithi hiyo..Hyo story siijui Ila hyo story kuwepo kabla haimaniishi,eti kwamba maandiko yame-copy kwao .huenda hao waloandika waliifahamu story ya nuhu kupitia mababu zao ndo maana wakaandika sababu story ya nuhu imetokea kabla yao na maandiko yamekuja baadae kwa watu ambao hawakuwepo.
Mwishoo, umewezaje kuamini hyo story kweny ktabu hcho halafu umeshindwa kuamini ya nuhu, unachekesha kweli. Huko uliposoma hyo story umepewa vivid evidence gani,em re-quote evidence ya story yako haf tuooanisha na ya nuhu ili tumalize mjadala.pia lete vigezo ulivyotumia kuamini huko halafu ukashindwa kuamini maandiko.
Lakni pia swali lako pia linaonyesha huamini kuwa maandiko yanatoka kwa mungu ndo Mana mwanzo kabisa nkasema unahitaji kupewa proof of God na proof ya kwamba maandiko yanatoka kwa mungu.
Hii haifanyi uislamu kuwa kweli mana ni kama mmeacha dhambi hii mkakimbilia ile ya kuuwa 🤣🤣🐷Hvyo Ni vijitaasisi vdog tu vyenye lengo la kuchafua uislamu tu,
Em angalia nyiny papaa mwenyew ndo anapambania na Kuna makanisa magharib yanafungisha ndoa kabsa.
Em lete ushahidi wa viongozi wakubwa katika ulimwengu wa kiislamu wanaosapoti ushoga au nchi za kiislamu Kama nyie mnavyofanya.
Hakukuwa na watu tofauti na hao ndo maana nika-assumae dunia nzima.
Pyramids zina zaidi ya miaka 5000 na hao waarabu mashetan wameivamia hiyo ardhi ya misri hapo hawana hata miaka 2000, utasemaje ni wao walijenga? Pia hawana hata muunganiko na historia ya misri kivyovyote maana misri ilikaliwa na watu weusi na ndio waliovumbua hizo technologies zinazowahangaisha hao miungu wenu waarabu na wazungu kujua hizo pyramids zilijengwajeWamisri ambao ni waarabu
hapa umechanganya upumbavu na werevuDunia ina maelfu ya miaka maajabu dini zenu hazizidi hata miaka 7000. Je miaka 10000 iliyopita dini zenu zinatambua kulkuwa na matukio gani??.
Ukweli utabaki hivyo dini zote zimeletwa Afrika kwa njia haramu na ushenzi mkubwa wa kuifuta historia ya Afrika.
Huyo Allah na nduguze akina yesu hawana maana ktk jamii za waafrika, amkeni enyi wajinga
Umetisha kakaHabari wakuu,
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la kampeni kubwaa sana ya kupinga Vita dini na kusema dini ni vitu vya kuletwa na majahzi tu zisifuatwe, na maneno haya utakuta wanaoongea wala siyo atheists bali ni watu wanaoamini katika Mungu sema tu wanadai kuwa mfumo wa kumuabudu Mungu kwa kutumia uislamu au ukristo ni Mila za kuletwa na sahihi na mbadala wake watu warudi kwa mila za mababu haswaa mizimu na kuabudu mti.
Mimi ni Muslim na kwa upande wa dini yangu nitatetea dini kwa historia kupitia uislamu kwa munasaba wa sikukuu hii ya idd na ibada ya hijjah inayoendelea huko makka na historia yake kuonyessha kuwa uislamu so mila ya Kiarabu hata kidogo bali ni kitu tofauti kabisa na Uarabu ila tu umekuwa ikifungamana na uarabu sababu mtume MUHAMMAD صلى الله عليه وسلم Ni mwarabu na mafundisho yameshuka kwake.
HISTORIA KWA UCHACHE
GHARIKA LA WATU WA NUHU
Baada ya gharka la nuhu kutokea kulikuwa na watu wachache Sana waliobaki duniani, Nuhu aliwahubiria watu wake kwa Muda wa miaka 1000 ispokuwa 50 Yani miaka 950 akiwakataza ushirikina(shirk) lakini waliamini watu inakadiriwa Kama 80 tu na inasemwa watu walikuwa wanazaliwa na kufa lakni wanamkuta nuhu, na wazee walikuwa Wana WaPa wosia watoto wao wasimkubali nuhu sababu anataka kuharibu mila za mababu yao.
Yaani hawa watu walikuwa wanaabudu watu wema ambao walwajengea masanamu matatu na wakayapa majina yao Yani latta, uzza na Nasra.
Historia ni ndefu lakini kwa ufupi hawa watu walikuwa wanaabudu masanamu na Kuna sababu zlizopelekea wao wayaabudu hayo masanamu ya watu wema, hiyo nayo ni historia nyengne Ila waliangamizwaa wote ispokuwa wachache ambao waliingia kweny safina la Nuhu.
Hii ni historia inakublika kwa Christian, Jews na Muslims. Ndani ya vitabu vyao injili, Torah, Quran respectively.
SWALI: Naomba kujua kwa upande wa wakristo;
1. Je, nuhu alikuwa dini gani mnadhani? Christian? Jew? Mana mnasema bila yesu huwezi kuuona ufalme wa mbingu. Je hawa Nuhu, Lutu, Ibrahim wao watu wao inakuaje sababu yesu kaja baada na wao walikuwa wakimuabu Nani?
Jibu langu (Islam side): Nuhu alikuwa akiabudu mungu mmoja na aliabudu kwa namna mungu yeye alivyotaka, sababu waislamu tunaamini kila mtume alipewa maelekezo kivyake kulingana na umma wake jinsi ulivyo.
2. Je, Yesu ambaye mnadai ni Mungu alijitoa sadaka kwa ulimwengu mzima au baadhi ya watu tu, Mana Kuna watu wamepta adhabu kabla ya kuja yesu, pia watu wa luth waliadhibiwa kabla ya kuja Yesu?
3. Naomba kujua historia ukristo inavyosema kwanni watu wa nuhu waliiadhibiwa I'ma kwa kumkataa yesu au mungu mmoja. Kama Ni mungu mmoja kwanii wote tusimuabudu huyo mungu mmoja ambyae alikuwepo toka Adam na nuhu akiabudiwa (haya maswali ni nje ya mada Ila naomba majibu).
BAADA YA GHARKA LA WATU WA NUHU
baada ya gharka la watu wa Nuhu, miaka ilipita na Kuna historia hapo kati ilipita ya watu wa thamudi na Adi (giant people kuubwa toka dunia ianze ambao waliangamizwaa kwa kimbunga).
Baada ya hapo alikuja Ibrahim, sasa huyu mtume ndo tutajua uislamu Ni uarabu au sio.
Kipindi cha Ibrahim hakukuwa na mtu hta mmoja aliabudu Mungu bali waliabudu masanamu na mizimu, lakni wote walikuwa wanajua Kuna muumba lakni walikuwa hawataki kuabudu tu.
Kama hawa wa sasa wanavyosema mungu yupo lakni tuabudu mizimu na miti, sasa umejuaje kuwa Mungu anaridhia kuabudiwa kupitia mizimu? Na ukifanya hivyo unaabudu Mungu au mizimu?
Pia dini sisi tunaamini ndio njia ambayo inatuelezea mungu akubali Nini na hataki Nini, Sasa utafanyaje kitu kwa kubuni tu eti niabudu hivi wakati hujajua yule unayemfanyia anakubaliana nacho.
EID-AL-ADHWHA NI HISTORIA YA NABII IBRAHIM
Ukifuatlia historia utaona watu wengi kabla ya mitume walikuwa waliabudu masanamu. sasa alipokuja Ibrahim alipingana na watu wote, yeye na mke wake Sarah ndo walikua wanamuamini mungu mmoja tu.
Utakuta kwenye Hadith mtume anaelezea kwamba nabii Ibrahim alimwambia mke wake siku mmoja yani dunia nzima mi na wew ndio waumini tu, hapa utaona kumbe hta zamani huko arabuni kulikuwa na watu Wana mila zao na so uislamu kabisa.
Pia Ibrahim ametajwa kuwa ni mtu aliyepinga ushirikina akiwa peke yake na mkewe mpak jamaa zakee wakataka kumuua kwa kumchoma moto, hata kwenye Quran suratul nnahal inaelezwa Ibrahim alikuwa ni umma mmoja yaani Ni muumini peke yake na mkewe Hana hta mfuasi mmoja na Wala hakuwa ni mshirikiana.
Hivyo basi Eid hii iliyopo ni kuchinja, na kwenda Hijjah maanake waislamu waadhimisha mila ya nabii Ibrahim kwasababu kuchinja watu wanachinja kwa ajili ya Allah na kwenda hijjah makka Ni jengo alojenga Ibrahim, na Ibrahim alitaka kumchinja mwanae Kama sadaka kwa Allah lakni akatumiwa kondoo amchinje kama mbadala na ndo maana waislamu wanachinja.
Katika uislamu ni kwamba lau kama Ibrahim angemchinja mwanae siku ile, waislamu wangekuwa wanatakiwa kuchinja watoto wao Kama sadaka ili kumuenzi Ibrahim.
UISLAMU ULIVYOUFUNGAMANISHWA KWA IBRAHIM
Katika suratul baqara ,utakuta Allah anaamrisha waumini na mtume wafuate mila ya nabii Ibrahim sababu hakuwa mshirikiana.
Ushirikina maanake ni kupeleka ibada Kama kuomba, kutegemewa, wakati wa shda na majanga kwa asiye kuwa Allah Kama mizimu na miti.
HITIMISHO: Uislamu sio mila za mababu wa kiarabu Kama wanavyodai mapunguwani na mahayawani Bali Ni ufunuo kutoka kwa Allah sababu historia inaonyesha, mababu wa kiarabu walikuwa Wana mila zao kabla ya kuja mitume.
Na hata ukimuaangalia mtume MUHAMMADصل الله عليه وسلم alipopewa utume watu walitaka kumuua sana, maana alikuwa anapinga mila za mababu za kuabudu mizimu na masanamu, Waafrica msidhani kuabudu makaburi, mizimu, masanamu, miti ni dini yenu, ni desturi na innovation ya wanadamu waliopotea, mtu mzima na akili zako unauuomba mti kweli! Au mfu ambaye huenda mwenyew alipokufa alikuwa hohe hahe hta wew una afadhali duuh!
SABABU YA KUPINGA DINI
On our point of view, inasemekana dini zimeanza kudharauliwa huenda kwa sababu ya ukristo kuchezewa sana mfano utakuta viongozi wa kikristo duniani ndio wanashadidia ushoga na usagaji na ilihali kweny Torah na Bible Wanasoma kabsa namna watu wa lutu walivyoangamizwa sababu ya ushoga, sasa wakaona wawapumbaze na upande wa pili Mana kwenye uislamu kidog misimamo Ni mikali huwa hatulegezi kamba kweny sheria.
Waseme DINI NI UTAPELI ILI tuwe sawa tu maana wengi katika wapinga dini ni watu wanamuonekano wa kikristo nje lakni mioyoni ni wapinga dini.
Maana hapa Africa kuwa atheist ni ngumu, itabaki tu atheist kimoyo lakini matendo hamna. Maana ukicheza kidogo misiba unatakiwa ushiriki kwa utaratbu wa kidini, au ndoa na hata serikali Ina sehemu imetoa nguvu kwenye dini, mfano; vitabu vya dini mahakamani na kuapisha maraisi.
EID MUBAARAK
تقبل الله منا ومنكم
Habari wakuu,

Usipende ku assume vitu na usituandikie vitu. Ulivyo assume tuHakukuwa na watu tofauti na hao ndo maana nika-assumae dunia .nzima.
Leo hao weusi mbona hawavumbui,hizo idea za uvumbuzi zilifia wapi?Pyramids zina zaidi ya miaka 5000 na hao waarabu mashetan wameivamia hiyo ardhi ya misri hapo hawana hata miaka 2000, utasemaje ni wao walijenga? Pia hawana hata muunganiko na historia ya misri kivyovyote maana misri ilikaliwa na watu weusi na ndio waliovumbua hizo technologies zinazowahangaisha hao miungu wenu waarabu na wazungu kujua hizo pyramids zilijengwaje
Vilaza mjitahidi kuisoma historia