Dini siyo mila za Kizungu wala Kiarabu

Nimesoma comment yako vzur Sasa, nimegundua unanialika kwa yesu kwa vitisho vya baada ya kufa.
Acha vitisho mwaga hoja, we ni kikutisha na uislamu unavyoelezea kuhusu kafiri baada ya kifo utasimama wew kweli?,😆
So na wew unaamin Kuna Jehanamu?,,,haki ya nan wajinga waliwao
 
Na ww thibitisha kama una akili..
Kabla ya kuthibitisha kuwa Gharika ya Nuhu ni kweli.
 
Na ww thibitisha kama una akili..
Kabla ya kuthibitisha kuwa Gharika ya Nuhu ni kweli.
Akili Hupimwa Na uthibitishwa Kwa Vitu Vingi sana akili ni multifaceted concept, Huwezi kuthibitisha kwa kitu kimoja..

Naweza Kuthibitisha Nina Akili kwa Uwezo wangu wa cognitive abilities (Kwani ninaweza Kutambua baya na zuri na Pia Kujua Vitu), Usomi nilionao, IQ niliyonayo, EQ, Creativity, na vitu vingi tu..

Kumbuka Unauliza Swali hilo kwa Daktari ambaye pia Huwa napima watu Na kutoa jibu kuwa wana Akili au hawana akilj Timamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…