Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huko? Ni biashara pekee ama kuna njia nyingine?

Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huko? Ni biashara pekee ama kuna njia nyingine?

Maelezo marefu ila hukujibu swali, swali ni hili..... Ilivyo , niowe na kuzaa na mwanamke wa Kiyahudi mtoto wangu hatokuwa Myahudi bali wa kabila yangu , kwa maana WAYAHUDI WARABU NA MAKABILA MENGI DUNIANI uzao unafuata kwa baba na sio mama, je Yesu ni halali kujigamba kwa uzao wa Daudi na Sulemani ?
Sihangaiki na mabishano yasiyo na tija
 
Maelezo marefu ila hukujibu swali, swali ni hili..... Ilivyo , niowe na kuzaa na mwanamke wa Kiyahudi mtoto wangu hatokuwa Myahudi bali wa kabila yangu , kwa maana WAYAHUDI WARABU NA MAKABILA MENGI DUNIANI uzao unafuata kwa baba na sio mama, je Yesu ni halali kujigamba kwa uzao wa Daudi na Sulemani ?
Hii mada fungua uzi wake sio hapa
 
Ndugu zanguni Samahani kama ninawakwaza mkisikia jina muhammad..lakini hapa sio msikitini na wote tupo kwa ajili ya kujifunza So napomtaja Muhammad(saw) Simtaji kama nabii au religional figure bali namtaja kama historical figure..na ndiyo muktadha wa hii mada.

Nashangaa mnakasirika kusikia Muhammad alikuwa trader kuliko kusikia alivamia traders.

Furthermore kama hamjui Hata mke wake wa kwanza Bi Khadija(aliyemzidi miaka 15) alikuwa boss wake kwenye biashara ya trade.Bi khadija alimuajiri Muhammad kwasababu alisikia story zake kuwa ni muaminifu na alipewa nickname "Al-amin" baadae Muhammad akaongeza ukaribu akamuoa.
Muhammad alisafiri nchi mbalimbali(Syria,Yemen etc.) na ngamia akiuza na kununua bidhaa(ikiwemo watumwa).
Anko wake Muhammad,Abu Talib ndio alimuingiza kwenye biashara akiwa na umri mdogo kabisa(12yrs) na maisha yake mengi alikuwa trader kuliko nabii.Kwani nyie huwa mnadhani kabla hajawa nabii akiwa na miaka 40 alikuwa anafanya kazi gani?

Muhammad years as a trader-25 years
Muhammad as a prophet-23years

For references Check this article


For further reading
Afriza Hanifa,27 April 2013,Prophet(Rasulullah SAW) A True Entrepreneur[online]
Available at http://warwir.com/forumj/printthread.php?tid=1376

Ryan Novrian,31 January 2009,Concept Of Islamic Business Ethics[online]
Available at

Dr. Muzammil H. Siddiqi,17 December 2004,Religion[online]
Available at Religion

Sidmskhan,20 May 2012,Summary of Seerah[online]
Available at

Amanullah,15 January 2012,Manhood of Prophet Muhammad PBUH[online]
Available at

Majelis Ilm, 27 July 2011, 11 Principles for Islamic Living (4) Sunnah. Follow the Model of
Prophet Muhammad (PBUH)[online]
Available at
sunnath-follow-the-model-of-prophet-muhammad-pbuh
Ahmad Afiq Al-Kelantani,20 Januari 2013,Contohilah Akhlak Rasulullah S.A.W Ketika
Berniaga[online]
Available at

Dr. Sabahuddin Azmi,2010,An Islamic Approach To Business Ethics[online]
Available at http://www.renaissance.com.pk/Mayviewpoint2y5.htm

Rosli Baharuddin,2012,3 Akhlak Menjual Cara Rasulullah[online]
Available at http://www.majalahniaga.com/3-akhlak-menjual-cara-rasulullah.html

Zahid Isa (2010), TPR - Tips Pemasaran Rasulullah Sesuai Untuk Peniaga Online &
Offline.[online]
Available at http://www.wangcyber.com/forum/archive/t-36252.html
Wewe endelea mkuu atakaye nuna shauri yake .. watu hatuwezi kukaa nakujifungia katika chumba kimoja cha kufikiri
 
Wee acha tu bro. Chanzo ni huyo jamaa anayejiita Citizen B kuanza kumuita mtume eti "Mpokonyaji". Soma hapo chini uone mkuu
[emoji38][emoji38]sasa kama alikuwa mpokonyaji isisemwe ... Tatizo la watu wengi ambao ni followers wa public figures huwa wanapenda kusikia 1side story ambayo unahusu mazuri tu ya hao watu .. pindi unapotaja mapungufu yao wanaanza kununa ... Mtu ukipata nafasi ya kuelimika nakujitambua vyema yakupasa uwe mdadisi mpekuzi usiridhike tu nayale yote uliyokuwa una karilishwa utotoni na wazazi/walezi / walimu kuwa in deep tafuta uhalisia wajambo kwa motisha yako mwenyewe ...

Muhhamad alikuwa ni kiongozi mwenye power happy kale kwa namna yoyote ile ni lazima history yoyote iliyokuwa imeandikwa kumuhusu nilazima iandikwe chini ya mamlaka yake ni lazima waipake rangi hiyo history ili waweze kumfurahisha kiongozi wao kwa wakati huo "

Hivi marekani Leo hii inaweza kuandika history mbaya inayo muhusu George bush !? Au Barack Obama !? Lakini ukitaka kuujua ubaya wa George bush kawaulize raia wa Iraq na Afghanistan .it's the same kwa Obama pia ukitaka kuujua ubaya wa Obama kawaulize watu wa Libya .. history nyingi tunazo/tulizokuwa tuna fundishwa mashuleni na katika majumba ya ibada ni Hoax ..uongo mtupu ''

By the way history huandikwa na washindi wao ndio huamua kipi kiandikwe kipi kisiandikwe ..Tuache kutiana ujinga hapa[emoji38]
 
Pole naona umepatwa na gadhabu.
Quora ni worldwide platform go learn there.
Mbona Kila siku tunaulizana maswali mengi tu Kwan hatujui kuwa kuna google na vitabu vingi vilivyoandika umecomment kama unajua sana.kumbuka kama ungeleta majibu watu wangenufaika sio unajaza comment zimejaa upuuzi
 
Alaah!!! Kumbe tunaongea na Chizi Maarifa? yee! elewi!!!. pili! Ban siyo sifa kwa mtu mwenye akili timamu! sawa nakupata sifuri drsani ukaitangaza!!

Kumjibu huyu ni sawa na Chizi akikwapua nguo zako wakati unaoga, akakimbia nazo, in turn wewe pia ukatoka mbio kumfukuza akurejeshee nguo zake!!!

nani ataonekana chizi zaidi?
Lofa wewe.
 
Mzee baba huyo dogo bado hajielewi ndio maana anakaa kutukana wenzie tu humu JF. Hana hoja ana kazi ya kurukaruka tu hapa na pale.
Infantry nakutahadharia one more time have some respect!
Maoni yangu ndivyo yalivyo na hayawezi kubadilika ulipaswa kuyapuuza kama hayana maana.

Nimemaliza.
 
Infantry nakutahadharia one more time have some respect!
Maoni yangu ndivyo yalivyo na hayawezi kubadilika ulipaswa kuyapuuza kama hayana maana.

Nimemaliza.
Sawa boss. Ninaomba unisamehe. Usije ukanipiga risasi bure. Ninakuogopa sana boss.
 
Ni kweli
kuna yale ma caravan routes and trades.

Hata mtume Muhammad alikuwa trader wa Caravan kabla hajawa mtume..Although alipokuwa mtume na kupata wafuasi alianza kuvizia hawa traders na kuwapokonya mali.
Mohammad HAKUWA mtume...he's a self proclaimed Prophet.
 
Back
Top Bottom