EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Sihangaiki na mabishano yasiyo na tijaMaelezo marefu ila hukujibu swali, swali ni hili..... Ilivyo , niowe na kuzaa na mwanamke wa Kiyahudi mtoto wangu hatokuwa Myahudi bali wa kabila yangu , kwa maana WAYAHUDI WARABU NA MAKABILA MENGI DUNIANI uzao unafuata kwa baba na sio mama, je Yesu ni halali kujigamba kwa uzao wa Daudi na Sulemani ?
Hii mada fungua uzi wake sio hapaMaelezo marefu ila hukujibu swali, swali ni hili..... Ilivyo , niowe na kuzaa na mwanamke wa Kiyahudi mtoto wangu hatokuwa Myahudi bali wa kabila yangu , kwa maana WAYAHUDI WARABU NA MAKABILA MENGI DUNIANI uzao unafuata kwa baba na sio mama, je Yesu ni halali kujigamba kwa uzao wa Daudi na Sulemani ?
Wewe endelea mkuu atakaye nuna shauri yake .. watu hatuwezi kukaa nakujifungia katika chumba kimoja cha kufikiriNdugu zanguni Samahani kama ninawakwaza mkisikia jina muhammad..lakini hapa sio msikitini na wote tupo kwa ajili ya kujifunza So napomtaja Muhammad(saw) Simtaji kama nabii au religional figure bali namtaja kama historical figure..na ndiyo muktadha wa hii mada.
Nashangaa mnakasirika kusikia Muhammad alikuwa trader kuliko kusikia alivamia traders.
Furthermore kama hamjui Hata mke wake wa kwanza Bi Khadija(aliyemzidi miaka 15) alikuwa boss wake kwenye biashara ya trade.Bi khadija alimuajiri Muhammad kwasababu alisikia story zake kuwa ni muaminifu na alipewa nickname "Al-amin" baadae Muhammad akaongeza ukaribu akamuoa.
Muhammad alisafiri nchi mbalimbali(Syria,Yemen etc.) na ngamia akiuza na kununua bidhaa(ikiwemo watumwa).
Anko wake Muhammad,Abu Talib ndio alimuingiza kwenye biashara akiwa na umri mdogo kabisa(12yrs) na maisha yake mengi alikuwa trader kuliko nabii.Kwani nyie huwa mnadhani kabla hajawa nabii akiwa na miaka 40 alikuwa anafanya kazi gani?
Muhammad years as a trader-25 years
Muhammad as a prophet-23years
For references Check this article
For further reading
Afriza Hanifa,27 April 2013,Prophet(Rasulullah SAW) A True Entrepreneur[online]
Available at http://warwir.com/forumj/printthread.php?tid=1376
Ryan Novrian,31 January 2009,Concept Of Islamic Business Ethics[online]
Available at
The Concept of Islamic Business Ethics
Islam is a source of value and ethics in everything human life aspect wholly, including discourse of business. Business and trading includin...ryanpicsestsest.blogspot.com
Dr. Muzammil H. Siddiqi,17 December 2004,Religion[online]
Available at Religion
Sidmskhan,20 May 2012,Summary of Seerah[online]
Available at
Amanullah,15 January 2012,Manhood of Prophet Muhammad PBUH[online]
Available at
Majelis Ilm, 27 July 2011, 11 Principles for Islamic Living (4) Sunnah. Follow the Model of
Prophet Muhammad (PBUH)[online]
Available at
sunnath-follow-the-model-of-prophet-muhammad-pbuh11 PRINCIPLES FOR SUCCESSFULL ISLAMIC LIVING ~ (4) SUNNATH : Follow the Model of Prophet Muhammad (PBUH)
The Prophet Mohammed (PBUH), is the final Messenger of God sent to deliver His Message to the entire humanity. He was a model for all humanity. Human beings try to imitate the model of someone whom…deenoverduniya.wordpress.com
Ahmad Afiq Al-Kelantani,20 Januari 2013,Contohilah Akhlak Rasulullah S.A.W Ketika
Berniaga[online]
Available at
CONTOHILAH AKHLAK RASULULLAH S.A.W KETIKA BERNIAGA (1)
1. Keuntungan Adalah Sasaran yang kedua Seseorang peniaga muslim itu, sewajarnya tidak menjadikan keuntungan sebagai sasaran utama per...tintasufi313.blogspot.com
Dr. Sabahuddin Azmi,2010,An Islamic Approach To Business Ethics[online]
Available at http://www.renaissance.com.pk/Mayviewpoint2y5.htm
Rosli Baharuddin,2012,3 Akhlak Menjual Cara Rasulullah[online]
Available at http://www.majalahniaga.com/3-akhlak-menjual-cara-rasulullah.html
Zahid Isa (2010), TPR - Tips Pemasaran Rasulullah Sesuai Untuk Peniaga Online &
Offline.[online]
Available at http://www.wangcyber.com/forum/archive/t-36252.html
[emoji38][emoji38]sasa kama alikuwa mpokonyaji isisemwe ... Tatizo la watu wengi ambao ni followers wa public figures huwa wanapenda kusikia 1side story ambayo unahusu mazuri tu ya hao watu .. pindi unapotaja mapungufu yao wanaanza kununa ... Mtu ukipata nafasi ya kuelimika nakujitambua vyema yakupasa uwe mdadisi mpekuzi usiridhike tu nayale yote uliyokuwa una karilishwa utotoni na wazazi/walezi / walimu kuwa in deep tafuta uhalisia wajambo kwa motisha yako mwenyewe ...Wee acha tu bro. Chanzo ni huyo jamaa anayejiita Citizen B kuanza kumuita mtume eti "Mpokonyaji". Soma hapo chini uone mkuu
Mbona Kila siku tunaulizana maswali mengi tu Kwan hatujui kuwa kuna google na vitabu vingi vilivyoandika umecomment kama unajua sana.kumbuka kama ungeleta majibu watu wangenufaika sio unajaza comment zimejaa upuuziPole naona umepatwa na gadhabu.
Quora ni worldwide platform go learn there.
Msamehe bure tu huyo mkuuMbona Kila siku tunaulizana maswali mengi tu Kwan hatujui kuwa kuna google na vitabu vingi vilivyoandika umecomment kama unajua sana.kumbuka kama ungeleta majibu watu wangenufaika sio unajaza comment zimejaa upuuzi
Sasa mbona wewe huo ambao sio uzushi hauuweki unaruka ruka tu?Wewe nini bana! Hebu punguza ujuha basi! Tatizo lako wewe ni zoa zoa kila uzushi unaona ni sawa tu! Acha uzushi.
Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Ni maoni yangu unanipangia cha kuandika?Mbona Kila siku tunaulizana maswali mengi tu Kwan hatujui kuwa kuna google na vitabu vingi vilivyoandika
Sasa unatakaje najua ndioumecomment kama unajua sana.
Nakuhurumia sana kati ya vitu sifagilii ni ulichoandika hapo mwishoni.kumbuka kama ungeleta majibu watu wangenufaika sio unajaza comment zimejaa upuuzi
Rasmi nimemtupa kwenye ignore listHuyu jamaa ndivyo alivyo.
Lofa wewe.Alaah!!! Kumbe tunaongea na Chizi Maarifa? yee! elewi!!!. pili! Ban siyo sifa kwa mtu mwenye akili timamu! sawa nakupata sifuri drsani ukaitangaza!!
Kumjibu huyu ni sawa na Chizi akikwapua nguo zako wakati unaoga, akakimbia nazo, in turn wewe pia ukatoka mbio kumfukuza akurejeshee nguo zake!!!
nani ataonekana chizi zaidi?
Infantry nakutahadharia one more time have some respect!Mzee baba huyo dogo bado hajielewi ndio maana anakaa kutukana wenzie tu humu JF. Hana hoja ana kazi ya kurukaruka tu hapa na pale.
Sawa boss. Ninaomba unisamehe. Usije ukanipiga risasi bure. Ninakuogopa sana boss.Infantry nakutahadharia one more time have some respect!
Maoni yangu ndivyo yalivyo na hayawezi kubadilika ulipaswa kuyapuuza kama hayana maana.
Nimemaliza.
Unauliza uhusiano tena!!!, kaaa pemben hauna ujualoNani amekuukiza haya yote? Yana uhusiano gani na hii mada?
Lete hapa unionyeshe nilimaanisha nini ?Nani amesema Sauli ni mmoja? Hata ambaye alipambana na Daudi ni Sauli, ila wewe kwny maelezo yako hukummaanisha huyo.
Mbona umemtukana sasa?Lofa wewe.
Mohammad HAKUWA mtume...he's a self proclaimed Prophet.Ni kweli
kuna yale ma caravan routes and trades.
Hata mtume Muhammad alikuwa trader wa Caravan kabla hajawa mtume..Although alipokuwa mtume na kupata wafuasi alianza kuvizia hawa traders na kuwapokonya mali.
Hutaki aseme ukweli au? Hapa kakosea nini sasa? Usipende kuficha ukweli kijana.Yaani we jamaa, kichefuchefu kweli! Kila sehemu lazima uchefue tu kwa kuingiza udini!
Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
We dada wewe, nakuheshimu sana!! Ni bora uendelee kuamini unachoamini, na wenzio waendelee kuamini wanachoamini, usichafue upande mwengine ili na wa upande mwengine wasichafue upande wako.
Thibitisha udini wake kwenye hiyo commentYaani we jamaa, kichefuchefu kweli! Kila sehemu lazima uchefue tu kwa kuingiza udini!
Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Haki ya kuuwa wasio waislam?Kwasababu waliwahi kuitambua haki tofauti na watu wa kusini mwa jangwa la Sahara.