Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huko? Ni biashara pekee ama kuna njia nyingine?

Afadhali umechana. Jamaa anakera sana.
 
We kunguni umeanza kuwashwawashwa eeh,

Tawadha kwanza ujikaushe kisha urudi
Ulisikia habari ya Padri wenu Katoliki kubaka mtoto mdogo huko Kilimanjaro? Tafuta hiyo habari ipo humu, hata ITV waliisoma juzi.
 
Ulisikia habari ya Padri wenu Katoliki kubaka mtoto mdogo huko Kilimanjaro? Tafuta hiyo habari ipo humu, hata ITV waliisoma juzi.
Sijasikia, inawezekana IPO...ila Mbakaji wa kwanza aliyembaka mtoto mdogo wa miaka 9 ni Mtume wenu Muhammad (SAW) rehma zimfikie

Mbali na lottering pia alimbaka Mtoto Aysha, unataka kujua ukafiri mwingine wa Bwn Muddy?
 
Ni kweli
kuna yale ma caravan routes and trades.

Hata mtume Muhammad alikuwa trader wa Caravan kabla hajawa mtume..Although alipokuwa mtume na kupata wafuasi alianza kuvizia hawa traders na kuwapokonya mali.
Upokonyaji na Ubakaji ulikuwa sehemu ya maisha ya Mwamedi

Muhammad alikufa akiwa na ngeu

Bisha
 
Ulisikia habari ya Padri wenu Katoliki kubaka mtoto mdogo huko Kilimanjaro? Tafuta hiyo habari ipo humu, hata ITV waliisoma juzi.
Role model wake wa ubakaji ni Muhammad aliyeweza kumbaka mtoto Aysha (9)
 
Furthermore kama hamjui Hata mke wake wa kwanza Bi Khadija(aliyemzidi miaka 15) alikuwa boss wake kwenye biashara ya
Hivi kwanini hamsomi vijana ? Nani alikwambia mtume alizidiwa miaka 15 na mkewe mama Khadija ?

Sira ya mtume ya mtume umeisoma wapi ?
Bi khadija alimuajiri Muhammad kwasababu alisikia story zake kuwa ni muaminifu na alipewa nickname "Al-amin" baadae Muhammad akaongeza ukaribu akamuoa.
Tuwekee ushahidi unao onyesha ya kuwa mtume aliajiriwa na mama Khadija kabla hajamuoa.

Isiwe hizi habari nazo unazichukua kwa wajinga wenzako wa BBC, CNN na vyombo vingine vya habari visivyokuwa na weledi wa kisomi na insafu.
(ikiwemo watumwa).
Mtumwa gani alinunulowa na Mtume ?

Huwa nacheka sana napojadiliana na nyinyi, mnaandika Uongo mpaka najiuliza hivi hamsomeshwi hata adabu za kufanya utafiti na kuujua Ukweli ?
Muhammad as a prophet-23years
 
Role model wake wa ubakaji ni Muhammad aliyeweza kumbaka mtoto Aysha (9)
Naomba ushahidi wa mtume kumbaka mama Aisha. Aisee ukinipa huo ushahidi, mimi naacha leo kutumia hii jf, tena nitaomba uongozi wa jf wanipige ban ya maisha, au nitakupa kazi ya kukuruhusu kuniombea hilo, kupitia agizo langu.

Mnakuwa wajinga mpaka mnachupa mipaka.
 
Usiseme mama, sema mtoto Hazrat Ayeesha

Muhammad (SAW) aliweza kuoga na mtoto Aysha, kulala naye na kisha baadae akamruhusu acheze na wadoli chumbani kwake, kitu ambacho wakeze walithibitisha

However, baadae Muhammad akaruhusu mtoto yeyote wakike akivunja ungo tu anaweza kuolewa

Unachobisha ni nini, unataka uthibitisho wa hizo quran/Hadith verses au?

Bukhari 7:62,88

Unataka mistari mingine kustify hilo?

Sema suu
 
Umeelewa swali langu kwa munasaba wa uongo uliaounandika ?

Nataka ushahidi unao onyesha ya kuwa Mtume alimbaka mama Aisha. Naandika Kiswahili chepesi sana, na sisi Waswahili tunajua maana ya tamko "KUBAKA".

sasa usipoteze muda kuandika yasiyo kuwepo.

Yaani haoa siyo tu mistaru, bali mpaka unakufa huwezi kuweka ushahidi wa kuonyesha Mtume alimbaka mama Aisha.

Labda utupe maana yako mpya ya kubaka ambayo si ya kweli.

Pili, sharti mwanamke kuolewa ni lipi ?
 
Acha woga

Hata vitabu vya dini havijasema kua watu wanaotumia jf kuwakejeli mitume watahukumiwa
 
Nadhani hukumuelewa.

Alimaanisha a girl with 6 yrs old she is too young to consent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…