Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huko? Ni biashara pekee ama kuna njia nyingine?

Kiongozi uislam haupatikani google wala mafundisho yake hayafundishwi google
 
Ndio nakwambia ewe muuminin Aysha wakati anabakwa na Mtume Mwamedi hakuwa mama, alikuwa mtoto

Kubikiri mtoto wa miaka 9 hata ukiamua kumuoa bado umebaka....wahed

Najua ninyi wana muddy kuoa mtoto baada tu ya kubalehe ni rukhsa, yeye alibaka.

View attachment 1641305
 
Thibitisha udini wake kwenye hiyo comment

Thibitisha kinagaubaga sheikh,
"Ni kweli
kuna yale ma caravan routes and trades.

Hata mtume Muhammad alikuwa trader wa Caravan kabla hajawa mtume..Although alipokuwa mtume na kupata wafuasi alianza kuvizia hawa traders na kuwapokonya mali"
[emoji115][emoji115][emoji115]
Kwahiyo hii unaona ni sawa kabisa kwa vile aliyeongea hivyo ni mtu wa mrengo wako au kwa vile unaona sawa kwa sababu mnashirikiana kuuchafua Uislam??

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani hukumuelewa.

Alimaanisha a girl with 6 yrs old she is too young to consent
Hakuelewa swali yeye sababu mama Aisha alienda kuishi kwa mtume akiwa na miaka 9, maana yake alikuwa amesaholewa tayari.

Utamaduni wa zamabi ilikuwa unaoa binti kisha unamsubiria akishabeleghe unamchukua unaenda kuishi nae.

Sasa hoja yangu iko pale pale, onyesheni mtume wapi alibaka ?
 
Hiki nalijua tangu awali ya kuwa huwa hamna hija na hiki bdicho huwa kinafata,jenga hija na jibu hoja.

Kamusi ganu imekupa maana ya kubaka ni hiyo unayo egemea kwayo ?

Sisi tunaandika elimu nyinyi mnawasilisha hisia zenu.

Hii kazi huiwezi. Kazi yangu nimemaliza.

Nacheka sana....
 
Kwa hio umekubali kama Yesu alikua anapakuliwa
Hahaha, hata kudanganya wala kusingizia huwezi maskini kijana wa muddy, Mimi nimekuletea facts hapa wewe unatunga uongo ambao hata mtoto akikusikia atakucheka sana
 
Hija ni nini?

bdicho ni nini?

Ganu ni nini?

Umeandika kwa lugha gani yakhee?
 
Uislam unapokuwa na ugaidi unaongezeka duniani. So Uislam ulikuwa kwa sababu ugaidi uliongezeka.
 
Hahaha, hata kudanganya wala kusingizia huwezi maskini kijana wa muddy, Mimi nimekuletea facts hapa wewe unatunga uongo ambao hata mtoto akikusikia atakucheka sana
Mi sihangaiki kutafuta picha kwa maana kuna mapicha kibao mitandaoni mapadre wanaolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…