Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huko? Ni biashara pekee ama kuna njia nyingine?

Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huko? Ni biashara pekee ama kuna njia nyingine?

Nonsense!
Endeleeni kudanganyana hivyo hivyo! Eti tunawahurumia! Unamhurumia nani? Hizo huruma zimeanza lini? Endeleeni na upotovu wenu, mkutano mbele ya safari!
Walikudanganya Madrasa hilo neno manake wala siyo ''nosense''
 
Nacheka sana, hili hakuna aliyewahi kulithibitisha, mimi nakupa miaka kumi ulete ushahidi wa kweli kabisa ya kuwa mama Khadija alimzidi mtume miaka 15.
Kuna mwenzako huko juu Aliuliza hili nikaweka reference kama 20 hivi kwahyo Cheka huku unazipitia.
Haya labda nikugeuzie wewe unasema alizidiwa mingapi?
 
Tafakari mwenyewe,Waisalam ndio wa mwanzo kufika Afrika lakini hawakutawala nchi yoyote Afrika

Waislam ndio wa kwanza kufika mashariki ya mbali lakini hawakutawala

Waislam ndio wa Mwanzo kufika Afrika Mashariki lakini hawalitawala..

Waislam walikuwa na kazi ya kufanya Biashara na kutangaza dini, lakini sio kutawala..

Tafakari
Dah huo ndo uthibitisho yakhe?Umesema Usilam umekataza kutawala mtu bila ruhusa yake(kama vile kuna mtu atakuruhusu umtawale😅) Mimi nikategemea utaweka ushahid wa hadith na Quran.

Anyways Hakuna muislam aliyewahi kwenda Mars Je uislam unakataza watu kwenda mars?
Ottoman empire alitawala hakutawala?
Unajua kuwa Iran haikuwa nchi ya kiislam ilipinduliwaje?Na kwanini wazoroastra mpaka leo wanauliwa huko kwahyo wanaishi kwa kujificha
 
Asante ndugu yangu.

Hii ndio JF "where we dare to talk openly" bila kujali hicho kinachozungumziwa kama kinaendana na maudhui ya mada husika. Ngoja niendelee kuona mwisho wake utafika wapi mkuu.
Mimi tu ndo nimestick na mada.So sad
 
Self defence ya kuwavizia watu na mambo yao?Maana kuna siku muhammad alituma watu wakavamie Caravan ya waQuraysh na ilikuwa mwezi mtakatifu...Wale watu wakavamia Caravan wakaua watu wakachukua mateka pamoja na ngamia na mali wakaenda kumpa mtume 1/5 ya mali walizopata(Hii ilikuwa kabla ya amri kuwa kila mali za vitani mtume apewe 1/5).

Wale mateka wakacriticize hicho kitendo kuwa wamevamiwa mwezi mtukufu wakati hairuhusiwi,,Na wale wafuasi wa Muhamad wakawa very Sad kuwa wamekosea.

Then Allah the wise,sublime and all knowing akashusha Verse Quran 2:217
inayosema
kwamba kuua mwezi mtukufu ni dhambi sawa lakini kukataza watu kwenda kuswali mecca(kipindi hiki wale waQuraysh walimfukuza Muhammad na waislam Mecca)Ni dhambi kubwa zaidi kwa Allah kuliko kuua.

Kwahiyo wale mujahids(wauaji) wakafurahi sana kusikia hivo tena wakamfuata Muhammad wakamuomba kitendo walichofanya kihesabiwe kama Jihad ili wapate zawadi Akhera...

Allah akashusha Verse;
"Verily, those who have believed, and those who have emigrated (for Allah's religion) and have striven hard in the way of Allah, all these hope for Allah's mercy. And Allah is Oft-Forgiving, Most Merciful)"

Kwahiyo wale jamaa wakafurahi sana wamehesabiwa kama Mujahid na mabikra wameshaanza kuandaliwa.

Sio Maneno yangu....ibn ishaq anakuambia.
They said, "O Messenger of Allah! We wish that this incident be considered a battle for us, so that we gain the rewards of the Mujahidin.'' Then, Allah revealed:

إِنَّ الَّذِينَ ءَامَنُواْ وَالَّذِينَ هَاجَرُواْ وَجَـهَدُواْ فِي سَبِيلِ اللَّهِ أُوْلـئِكَ يَرْجُونَ رَحْمَةَ اللَّهِ وَاللَّهُ غَفُورٌ رَّحِيمٌ
(Verily, those who have believed, and those who have emigrated (for Allah's religion) and have striven hard in the way of Allah, all these hope for Allah's mercy. And Allah is Oft-Forgiving, Most Merciful.)

Other References:Tafsir ibn Kathir(Quran 2:217)
Dah
 
Kuna mwenzako huko juu Aliuliza hili nikaweka reference kama 20 hivi kwahyo Cheka huku unazipitia.
Haya labda nikugeuzie wewe unasema alizidiwa mingapi?
Unauliza tena, fanya kama ulivyofanya kwa huyi uliyemuwekea hayo marejeo 20.

Kitu kingine nilichokiona ni kwamba hamjui hata kurejea katika vyanzo. Hapo unaweza kusema umeweka marejeo kama uliyo weka marejeo ya aljazeera.

Okoa muda "paste" hapa nisome hayo marejeo 20.
 
Uislamu ulikuta watu wanabet, mtoto aliekuwa tumboni ni mke au mume, wakikubaliana wanamkamata mwanamke wanampasua wanafurahi nani kashinda, Uislamu ukafuta tabia hii kwanini watu wasiukubali?
[emoji23] [emoji23] [emoji23].
duh
 
Unauliza tena, fanya kama ulivyofanya kwa huyi uliyemuwekea hayo marejeo 20.

Kitu kingine nilichokiona ni kwamba hamjui hata kurejea katika vyanzo. Hapo unaweza kusema umeweka marejeo kama uliyo weka marejeo ya aljazeera.

Okoa muda "paste" hapa nisome hayo marejeo 20.
Natumia freebasic saivi kuangalia hizo page za juu ni kazi..Cha kufanya wewe fatilia ulipoquote kuuliza swali Chini yake kulikuwa na majibu.
Kuhusu Aljazeera pale tulikuwa tunaongelea vitu Current hatuwezi kuquote reference za mika 1000 iliyopita kwa mambo current
 
Ubabe na vitisho vya Dola maarufu ya kiislamu, ili uwe muungwana mbali na utumwa basi uwe Muislamu, Kimsingi haya yote asili yake ni Vatican. Kumbuka waarabu wa leo ni masalia ya Wagiriki na Waafrica watumwa. waliamua kujitenga na asili yao ya Kigiriki. sababu ya kiburi cha kujiona ni Dola kubwa lililotawala Dunia hawawezi kuwa simple Wagiriki.

Dola la kiislamu lilitawala hadi Africa kwa ukaribu mno, kuliko Dola lolote lililowahi kutawala hapa Duniani. ni wa pili kwa biashara ya watumwa baada ya waafrica wenyewe, Harlem za wafalme wa kiarabu ni kambi maarufu ya watu weusi hasa wanawake, hawa walibadilishwa kirahisi sana.

Lesotho, Swaziland, Botswana, Zimbabwe Nk, Waislamu ni wachache mno ni km hkn kabisa, nimekaa Lesotho miaka 7 sikuwahi kusikia Adhana, km Bongo darisalama!! kdri umbali unavozidi kutoka A.kaskazini Uislamu pia unapungua ivoivo!

Uislamu umeenea sana maeneo ya Pwani ya Africa mashariki zaidi. lkn Mikoani waislamu ni wa kuhesabu tena mjini tu. ukristo Umesambaa zaidi mpaka vijijini huko mbwinde kuna Mission centres. mfano Kibumaye SDA Mission. huko Tarime ndani kabisa!

Nne Ushindani wa maksudi ulioanzishwa na Wazungu kueneza tamaduni zao Duniani kupitia ukristo, Uislamu ukagutuka nao wakaanza kwa kasi, wakaja na neno Eti Lugha ya Quran ni lugha ya Kiarabu tu!

isitafsiliwe kivingine kupitia Madrasa watu alianza kujifunza, na kuona ukristo ni adui yao wa kisiasa na kidini, hawafai kuishi wakapewa Majina mabaya km Kafir, Goyim,watu wa Dunia nk, waue ukibisha utakufa kwa Albadili.
Hapo Lesotho kuna demu alinielewa, akanitambulisha hadi kwa ndugu zake..
kitumbua kiliingia mchanga baada ya ex wangu kunisiginia kwa demu kuwa mi JAMBAZI, Vandalism ndo kazi yangu.

Aiseeee hii dunia unaweza kata mtu shingo haki ya nani.
 
Natumia freebasic saivi kuangalia hizo page za juu ni kazi..Cha kufanya wewe fatilia ulipoquote kuuliza swali Chini yake kulikuwa na majibu.
Kuhusu Aljazeera pale tulikuwa tunaongelea vitu Current hatuwezi kuquote reference za mika 1000 iliyopita kwa mambo current
Unapoteza muda kijinga sana.
 
Dah huo ndo uthibitisho yakhe?Umesema Usilam umekataza kutawala mtu bila ruhusa yake(kama vile kuna mtu atakuruhusu umtawale😅) Mimi nikategemea utaweka ushahid wa hadith na Quran.

Anyways Hakuna muislam aliyewahi kwenda Mars Je uislam unakataza watu kwenda mars?
Ottoman empire alitawala hakutawala?
Unajua kuwa Iran haikuwa nchi ya kiislam ilipinduliwaje?Na kwanini wazoroastra mpaka leo wanauliwa huko kwahyo wanaishi kwa kujificha
Wazanzibari walimwita Mwarabu awalinde na Wareno,ambao walikuwa Wakristo..

Uislam haukatazi,kwenda popote pale..

Uislam unaamini kuwa kila Binaadamu anapotembea na kutafuta ndio anapopata kujua na kuona uwezo wake Mungu
 
Seen
 
Dah kwani nimeharibu nini mwishoni?
Au ukweli ni kitu negative?
Nimesoma post nyingi dhidi yako ila mpaka sasa sijaona post hata moja ambayo mtu amekwambia kosa lako. Kosa lako ni kumwita Nabii (swa) kwamba yeye allikua ni highway robber.

You seem to be a well learned person. Kama hivyo vitabu ulivyo viorodhesha umevisoma basi unajua kwamba huo ni uonga.

Napenda jinsi ulivyo mdadisi. Ila unabidi uwefair kwenye kutafuta ukweli, kama ni kwa hili au jambo jingine lolote. Huwezi kwenda kutafuta ukweli wakati uko biased tayari. Badilisha your learning attitude.

Other than that keep up the good work.
 
Much obliged.
Lakini mkuu watu wameniattack kwa Various reasons ambazo nyingi ni nonsensical na zingine nishawajibu.
wewe umeona hiyo ya highway robber mwingine kaona nabii hakuwahi kuwa trader mwingine kaona nabii hakuzidiwa umri na mke wake wa kwanza etc. etc.

Anyways kuhusu doubt yako niliweka reference moja ya ibn ishaq na ibn Kathir kuhusu why Quran 2:217 ilishuka
huyapa ibn kathir https://quran.com/2:217/tafsirs/en-tafisr-ibn-kathir

Sent using Jamii Forums mobile app
 
c48931b47ee88fa0b6ad431c8812a241.jpg

Kamuulize huyu[emoji115][emoji115][emoji115]
 
Wazanzibari walimwita Mwarabu awalinde na Wareno,ambao walikuwa Wakristo..

Uislam haukatazi,kwenda popote pale..

Uislam unaamini kuwa kila Binaadamu anapotembea na kutafuta ndio anapopata kujua na kuona uwezo wake Mungu
Angalia tamthilia ya Sultan utaona vipi Ottoman Empire walitawala..

Katika utawala wa Ottoman Empire Wayahudi na wengine Waliokuwa
sio Waislamm waliishi na dini yao

Uislam unakataza kumlazimisha mtu aingie kwenye dini ya Kiislamu kwa nguvu..
 
Back
Top Bottom