Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huko? Ni biashara pekee ama kuna njia nyingine?

Nonsense!
Endeleeni kudanganyana hivyo hivyo! Eti tunawahurumia! Unamhurumia nani? Hizo huruma zimeanza lini? Endeleeni na upotovu wenu, mkutano mbele ya safari!
Walikudanganya Madrasa hilo neno manake wala siyo ''nosense''
 
Nacheka sana, hili hakuna aliyewahi kulithibitisha, mimi nakupa miaka kumi ulete ushahidi wa kweli kabisa ya kuwa mama Khadija alimzidi mtume miaka 15.
Kuna mwenzako huko juu Aliuliza hili nikaweka reference kama 20 hivi kwahyo Cheka huku unazipitia.
Haya labda nikugeuzie wewe unasema alizidiwa mingapi?
 
Dah huo ndo uthibitisho yakhe?Umesema Usilam umekataza kutawala mtu bila ruhusa yake(kama vile kuna mtu atakuruhusu umtawale😅) Mimi nikategemea utaweka ushahid wa hadith na Quran.

Anyways Hakuna muislam aliyewahi kwenda Mars Je uislam unakataza watu kwenda mars?
Ottoman empire alitawala hakutawala?
Unajua kuwa Iran haikuwa nchi ya kiislam ilipinduliwaje?Na kwanini wazoroastra mpaka leo wanauliwa huko kwahyo wanaishi kwa kujificha
 
Asante ndugu yangu.

Hii ndio JF "where we dare to talk openly" bila kujali hicho kinachozungumziwa kama kinaendana na maudhui ya mada husika. Ngoja niendelee kuona mwisho wake utafika wapi mkuu.
Mimi tu ndo nimestick na mada.So sad
 
Dah
 
Kuna mwenzako huko juu Aliuliza hili nikaweka reference kama 20 hivi kwahyo Cheka huku unazipitia.
Haya labda nikugeuzie wewe unasema alizidiwa mingapi?
Unauliza tena, fanya kama ulivyofanya kwa huyi uliyemuwekea hayo marejeo 20.

Kitu kingine nilichokiona ni kwamba hamjui hata kurejea katika vyanzo. Hapo unaweza kusema umeweka marejeo kama uliyo weka marejeo ya aljazeera.

Okoa muda "paste" hapa nisome hayo marejeo 20.
 
Uislamu ulikuta watu wanabet, mtoto aliekuwa tumboni ni mke au mume, wakikubaliana wanamkamata mwanamke wanampasua wanafurahi nani kashinda, Uislamu ukafuta tabia hii kwanini watu wasiukubali?
[emoji23] [emoji23] [emoji23].
duh
 
Natumia freebasic saivi kuangalia hizo page za juu ni kazi..Cha kufanya wewe fatilia ulipoquote kuuliza swali Chini yake kulikuwa na majibu.
Kuhusu Aljazeera pale tulikuwa tunaongelea vitu Current hatuwezi kuquote reference za mika 1000 iliyopita kwa mambo current
 
Hapo Lesotho kuna demu alinielewa, akanitambulisha hadi kwa ndugu zake..
kitumbua kiliingia mchanga baada ya ex wangu kunisiginia kwa demu kuwa mi JAMBAZI, Vandalism ndo kazi yangu.

Aiseeee hii dunia unaweza kata mtu shingo haki ya nani.
 
Unapoteza muda kijinga sana.
 
Wazanzibari walimwita Mwarabu awalinde na Wareno,ambao walikuwa Wakristo..

Uislam haukatazi,kwenda popote pale..

Uislam unaamini kuwa kila Binaadamu anapotembea na kutafuta ndio anapopata kujua na kuona uwezo wake Mungu
 
Wazanzibari walimwita Mwarabu awalinde na Wareno,ambao walikuwa Wakristo..

Uislam haukatazi,kwenda popote pale..

Uislam unaamini kuwa kila Binaadamu anapotembea na kutafuta ndio anapopata kujua na kuona uwezo wake Mungu
Seen
 
Dah kwani nimeharibu nini mwishoni?
Au ukweli ni kitu negative?
Nimesoma post nyingi dhidi yako ila mpaka sasa sijaona post hata moja ambayo mtu amekwambia kosa lako. Kosa lako ni kumwita Nabii (swa) kwamba yeye allikua ni highway robber.

You seem to be a well learned person. Kama hivyo vitabu ulivyo viorodhesha umevisoma basi unajua kwamba huo ni uonga.

Napenda jinsi ulivyo mdadisi. Ila unabidi uwefair kwenye kutafuta ukweli, kama ni kwa hili au jambo jingine lolote. Huwezi kwenda kutafuta ukweli wakati uko biased tayari. Badilisha your learning attitude.

Other than that keep up the good work.
 
Much obliged.
Lakini mkuu watu wameniattack kwa Various reasons ambazo nyingi ni nonsensical na zingine nishawajibu.
wewe umeona hiyo ya highway robber mwingine kaona nabii hakuwahi kuwa trader mwingine kaona nabii hakuzidiwa umri na mke wake wa kwanza etc. etc.

Anyways kuhusu doubt yako niliweka reference moja ya ibn ishaq na ibn Kathir kuhusu why Quran 2:217 ilishuka
huyapa ibn kathir https://quran.com/2:217/tafsirs/en-tafisr-ibn-kathir

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazanzibari walimwita Mwarabu awalinde na Wareno,ambao walikuwa Wakristo..

Uislam haukatazi,kwenda popote pale..

Uislam unaamini kuwa kila Binaadamu anapotembea na kutafuta ndio anapopata kujua na kuona uwezo wake Mungu
Angalia tamthilia ya Sultan utaona vipi Ottoman Empire walitawala..

Katika utawala wa Ottoman Empire Wayahudi na wengine Waliokuwa
sio Waislamm waliishi na dini yao

Uislam unakataza kumlazimisha mtu aingie kwenye dini ya Kiislamu kwa nguvu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…