Wewe huelewi nini nishasema hapo mapanga yalikuwa yanatembea kwenye shingo za watu kwa hiyo watu hawakuwa na namna ya kujitetea zaidi ya kukubali kuwa kwenye imani hiyo ili aponye maisha ila kwa sasa namna zipo nyingiDini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huko? Ni biashara pekee ama kuna njia nyingine?
Okay,But who is ignoring intellectual sources and academic certified knowledge between me and you?Clearly I am no match for your level of ignorance. You are the best!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Chief nilishakuelezea hapo mwanzoni. Hivyo vitu unavyovielezea haviko kwenye Uislam, na pia nimeshakuelezea kuhusiana na Khawaarij, lakini bado unasisitiza ni kwenye Uislam, hakuna Uislam nwa namna hiyo. Na kwenye Uislam iko wazi hakuna kulazimishana.Wewe huelewi nini nishasema hapo mapanga yalikuwa yanatembea kwenye shingo za watu kwa hiyo watu hawakuwa na namna ya kujitetea zaidi ya kukubali kuwa kwenye imani hiyo ili aponye maisha ila kwa sasa namna zipo nyingi
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
There is no proof/evidence from Muhammad's time (570-630) that such a figure even existed....he may be a Myth made up by conquering Arabs 200-500 years later but it's impact is huge...The territorries they conquered and victories they won are countless.Wewe huelewi nini nishasema hapo mapanga yalikuwa yanatembea kwenye shingo za watu kwa hiyo watu hawakuwa na namna ya kujitetea zaidi ya kukubali kuwa kwenye imani hiyo ili aponye maisha ila kwa sasa namna zipo nyingi
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Vipi unaniruhusu niingie apa au unaogopa?Chief nilishakuelezea hapo mwanzoni. Hivyo vitu unavyovielezea haviko kwenye Uislam, na pia nimeshakuelezea kuhusiana na Khawaarij, lakini bado unasisitiza ni kwenye Uislam, hakuna Uislam nwa namna hiyo. Na kwenye Uislam iko wazi hakuna kulazimishana.
Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Sasa wa kusoma kati yangu mimi na wewe nani! Kiufupi naijua dini yangu vizuri tu, wa kusoma ni wewe badala ya kufuatilia ya dini yako inayokuhusu unafatilia ya dini isiyokuhusu na kuongea uzushi! Kwanini usiingie deep kwenye dini yako? Ukiona kitu unakifatilia sana wakati hakikuhusu basi elewa kuna sehemu unakikubali. IN SHAA ALLAH, akujaalie uwongofu wewe na kizazi chako [emoji2969]Okay,But who is ignoring intellectual sources and academic certified knowledge between me and you?
Acha uvivu mkuu Soma,Soma,Soma achana na masheikh wako wamekuambia nini
Kwani wapi umezuiwa? Tatizo lako kila unachokikuta wewe unachukua kama reference bila kujua kama ni sahihi au sio sahihi, wewe ni zoa zoa bila kujali usahihi. Lengo lako mbona linajulikana siku zote!Vipi unaniruhusu niingie apa au unaogopa?
Kwa maoni yako unaona havipo hivyo ila mambo haya yalianza karne na karne zilizopita ...lkn kama wewe ni mchanga wa kung'amua mambo utaona ni dini ya hakiChief nilishakuelezea hapo mwanzoni. Hivyo vitu unavyovielezea haviko kwenye Uislam, na pia nimeshakuelezea kuhusiana na Khawaarij, lakini bado unasisitiza ni kwenye Uislam, hakuna Uislam nwa namna hiyo. Na kwenye Uislam iko wazi hakuna kulazimishana.
Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Umezua uongoSasa unakuta sijazua uongo ila watu wanakwazika....Tena unakuta hata nilichokisema hawakijui
Chief ukiongelea kuanza kwa mambo karne nyingi zilizopita hata Crusaders war, roman empire nayo pia ilikuwa hivyo hivyo, je lengo lake ilikuwa ni nini?Kwa maoni yako unaona havipo hivyo ila mambo haya yalianza karne na karne zilizopita ...lkn kama.wewe ni.mchanga wa kung'amua mambo utaona ni dini ya haki
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Ukiwa mwehu si lazima mpaka uokote makopo! Sasa wa kusoma kati yangu mimi na wewe nani! Kiufupi naijua dini yangu vizuri tu, wa kusoma ni wewe badala ya kufuatilia ya dini yako inayokuhusu unafatilia ya dini isiyokuhusu na kuongea uzushi! Kwanini usiingie deep kwenye dini yako? Ukiona kitu unakifatilia sana wakati hakikuhusu basi elewa kuna sehemu unakikubali.IN SHAA ALLAH, akujaalie uwongofu wewe na kizazi chako [emoji2969]
Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
uongo upi?Umezua uongo
Nilitaka nishangae leo umekua positive kumbe mwishoni utafanya yako.Ni kweli
kuna zile caravan routes and trades.
Hata mtume Muhammad alikuwa trader wa Caravan kabla hajawa mtume..Although alipokuwa mtume na kupata wafuasi alianza kuvizia hawa traders na kuwapokonya mali.
wewe si ulianza kusema uislam haunihusu?Kwani wapi umezuiwa? Tatizo lako kila unachokikuta wewe unachukua kama reference bila kujua kama ni sahihi ai sio sahihi, wewe ni zoa zoa bila kujalo usahihi. Lengo lako mbona linajulikana siku zote!
Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
hakuna kilichonitoa jasho, wala sitotoka jasho na wala haitokuja itokee kutoka jasho kwa swali linalohisiana na dini yangu bali uzushi wako ndio sikubaliani nao. Usiongee kitu tu ili ujifutahishe nafsi yako bali ongea ukweli, nimeisoma dini yangu na kuielewa. Na sio ninyi mnaosomewa maandiko yenu.Hahah dah Asee kazi ipo.Swali rahisi tu Muhammad kabla hajawa nabii alikuwa anafanya nini limekutoa jasho then una claim kuwa unaujua uislam kuliko mimi.
Kuhusu kuujua uislam Na Kusoma hakuna mwisho(elimu ni bahari) na hakuna kipimo cha kujua wewe au mimi nani anajua kumzidi mwenzie.
Hivyo wote ni wanafunzi wa knowledge.
Then unaposema Uislam haunihusu unamaanisha nini?hizo ni dalili za uoga
Na kuhusu dini yangu ni Uafrika nao pia naufatilia sana tu na pia sikukatazi kuja kuufatilia.
Rafiki Knowledge has no bounds keep in mind the enemy of ignorance is enlightment.
Islam strives in a cloud of ignorance and the greatest fear is other people finding out about it.
Dah kwani nimeharibu nini mwishoni?Nilitaka nishangae leo umekua positive kumbe mwishoni utafanya yako.
Sasa utakuhusu vipi wakati unayo dini yako unayoifata?. Fuata ya dini yako, ya waislam waachie wenyewe.wewe si ulianza kusema uislam haunihusu?
Haya unasema kila ninachokuta nazoa umejuaje hivo kama hata hukuvisoma?Yani unajudge kabla hata hujavisoma hii ndo defn. ya ignorance.
Sasa kwasababu umeniruhusu wacha nivamie hii mada
Unapokuwa mjinga muda mwingine ni bora ujifiche kutokana na ujinga wako, hakuna kilichonitoa jasho, wala sitotoka jasho na wala haitokuja itokee kutoka jasho kwa swali linalohisiana na dini yangu bali uzushi wako ndio sikubaliani nao. Usiongee kitu tu ili ujifutahishe nafsi yako bali ongea ukweli, nimeisoma dini yangu na kuielewa. Na sio ninyi mnaosomewa maandiko yenu.
Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Mada ni kuenea kwa uislam Sub Saharan Africa na sio kumhusu mtume Muhammad (SAW)Okay kama haikutoi jasho...Muhammad kabla hajawa nabii alikuwa anafanya kazi gani?
Hii ni dalili ya mtu muoga anaogopa kudiscuss.Sasa utakuhusu vipi wakati unayo dini yako unayoifata? Ujinga kweli mzigo. Fuata ya dini yako, ya waislam waachie wenyewe.
Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app