yorkshire
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 2,525
- 3,139
Wewe huelewi nini nishasema hapo mapanga yalikuwa yanatembea kwenye shingo za watu kwa hiyo watu hawakuwa na namna ya kujitetea zaidi ya kukubali kuwa kwenye imani hiyo ili aponye maisha ila kwa sasa namna zipo nyingiDini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huko? Ni biashara pekee ama kuna njia nyingine?
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app