Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huko? Ni biashara pekee ama kuna njia nyingine?

Okay kama haikutoi jasho...Muhammad kabla hajawa nabii alikuwa anafanya kazi gani?
Mbona umeshikilia swali hili kwani kuna ulazima kulijibu? Ninachokataa ni uzushi wako, siwezi kuukaa ukweli lakini pia sikubaliani na uongo wako, Muhammad kabla ya kupewa utume alikuwa ni mfanya biashara na mfugaji. Ongea ulilokusudia.

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
Ujinga ni kudiscuss dini ambayo unahitaji kupata maarifa ambayo huna matumizi nayo. Waachie wenye dini yao hata wakidiscuss ni kwa ajili ya faida na sio kwa ajili ya kubomoa kama ufanyavyo wewe, kwa maana kwanini kila siku mnapenda kuudiscuss uislam! Mbona hukuti waislam wakipenda kuudiscuss ukristo?

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
Mada ni kuenea kwa uislam Sub Saharan Africa na sio Muhammad (SAW)
Muhammad(SAW) ndiyo muasisi wa uislam (alikuwa Trader na kamanda wa jeshi) na ndiyo pattern of conduct. kwahyo wafuasi wake (muslims) pia walikuwa wanafuata matendo yake hata baada ya kifo Chake.

Anyways Mfano mmoja ni Cairo...Unajua Cairo ilivyokuwa islamicized?
 
Mada ni kuenea kwa uislam Sub Saharan Africa na sio mtume Muhammad (SAW)
 
Hii mada nilisema Muhammad alikuwa trader...Kila mtu akaruka na kuniita mzushi nawewe ukiwemo.
Nimekuuliza hilo swali makusudi baada ya kujisomea huko nawewe unasema alikuwa mfanyabiashara.

Sasa inabidi mniombe msamaha kwa kuniita mzushi maana mlikuwa mnapinga msilolijua.
 
usizuie mtu kupata maarifa mkuu.
Matumizi ninayo na hayakuhusu.
Ukiona kitu kinafichwa fichwa mpaka wahusika tu ndo wanaruhusiwa ujue kuna siri au uozo ndani yake.
 
usizuie mtu kupata maarifa mkuu.
Matumizi ninayo na hayakuhusu.
Ukiona kitu kinafichwa fichwa mpaka wahusika tu ndo wanaruhusiwa ujue kuna siri au uozo ndani yake.
Kama Roman wanavyoficha ficha siri ya makasisi wao sio! Badala ya kuweka wazi kuwa ni wafiraji!!

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
usizuie mtu kupata maarifa mkuu.
Matumizi ninayo na hayakuhusu.
Ukiona kitu kinafichwa fichwa mpaka wahusika tu ndo wanaruhusiwa ujue kuna siri au uozo ndani yake.
Ukihitaji kupatiwa kitu then ukiwa huna faida nacho ni useless. Ni sawa na kumpigia gitaa mbuzi. Ni sawa na kiziwi kumiliki simu wakati akipigiwa hapokei. Wala hajui kuandika kama lau atatuma hata msg.[emoji2986]
Kwahiyo kumbe lengo lako uelewe tu !!

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
Mtume Muhammad hakufanya biashara ya utumwa
Katika wote wanaoniattack wewe kidogo uko open minded and reasonable.
Sio kila naloandika humu ni sheria I too am open to constructive criticism...lakini wengi wananiattack na matusi bila hoja yoyote

Anyways Back to you.Kuna hii hadith Sahih Muslim 1602 book 22 hadith 152

Chapter23: The permissibility of selling animals for animals of the same kind and of different quality

"
There came a slave and pledg- ed allegiance to Allah's Apostle (ﷺ) on migration; he (the Holy Prophet) did not know that he was a slave. Then there came his master and demanded him back, whereupon Allah's Apostle (ﷺ) said: Sell him to me. And he bought him for two black slaves, and he did not afterwards take allegiance from anyone until he had asked him whether he was a slave (or a free man)"
 
I want to be a Jew, what is procedure?
tukupe jaribio, ukilikamilisha unakuwa myahudi mda huohuo na passport ya taifa la israel tutakupa.

mjini ramallah kuna soko moja kubwa sana la kuuza bidhaa mbalimbali za vyakula, nenda ukasimame kwenye kundi la watu halafu tamka maneno ya kuwakashifu wapelestina na kuwasifia wayahudi.

ukifanikiwa kutoka salama na kurudi mjini jerusalem, basi tayari wewe unakuwa myahudi na raia kamili wa taifa la israel.
 
Sasa em sikia mzee...Hapa tunaongelea kusambaa kwa uislam wewe utake usitake sisi tunadiscuss kama inakuuma sana sisi kuujua uislam kaa pembeni.
 
Mada ni kuenea kwa uislam Sub Saharan Africa na sio mtume Muhammad (SAW)
Basi sawa mkuu ngoja nimuache kumuongelea tunu yetu,mwanaume aliye mzuri kuliko mwezi,asiye na mawaa kama amechongwa na shaba ni kama alijiumba vile mweupe kama karatasi nywele laini za utelezi mwenye hikma kuliko kiumbe chochote.

Tuanze na Cairo...How was Cairo Islamicized?
 
Kwani komandoo hii kitu hawezi mzee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…