Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Mbona umeshikilia swali hili kwani kuna ulazima kulijibu? Ninachokataa ni uzushi wako, siwezi kuukaa ukweli lakini pia sikubaliani na uongo wako, Muhammad kabla ya kupewa utume alikuwa ni mfanya biashara na mfugaji. Ongea ulilokusudia.Okay kama haikutoi jasho...Muhammad kabla hajawa nabii alikuwa anafanya kazi gani?
Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app