Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huko? Ni biashara pekee ama kuna njia nyingine?

He's a stiff necked person, you can't change the way he sees things.
No,I see things the way they are.
If I read a hadith where Muhammad bought And sold slaves I see it as muhammad bought and sold slaves You can't force me to see He was anti-slavery.

If I read a hadith where Muhammad married a 6 years old girl when he was 50 I see it as it is. You can't force me to see as how you want to reinterpret.

If I read the quran telling muslims to beat their wives,a hadith saying women are stupid I see Islam undermines women,You can't force me to see Islam is pro-women rights.


The only way to make me "see" differently is by giving me sources that disagree with my view not by calling me names.Trust me, it wont help.
 
Sir Citizen, this guy started a war na hajui kuipigana.
 
Ushauri wako utakuwaje "the best" kwa mtu mnyenyekevu wakati unasema mwenyewe kuwa ulishakula mpaka ban? Mtu anayekula mpaka ban anaweza toa ushauri wa maana kweli boss?
 
Uislamu unaujulia Wikipedia ndugu ndo maana ile hadith yako nikatupa kapuni
 
Usisahau nchi hizo za Kaskazini , Misri kuna makabila mingi ukiachia Warabu, wapo Koptic Wakristo ambao hawa awali (sijui mpaka leo) walikuwa na lugha yao tofauti na kiarabu, kuna kabila ambao ni la asili ya huko, wanaitwa Beja na wengine ni Wanubi n.k , ukija Libya kuna makabila nako pia, Amazigh , Touareg (wakaazi wa asili wa Afrika kaskazini)
Sasa hawa woote Wana lugha zao (ukiachia mbali Wakopitik ambao ni Wakristo) Hawa Waislamu ila Wana tamaduni zao ambazo sio za kiarabu.Pia kuna kisiwa kidogo. (Djerba - Jerba) cha Tunisia ambapo tokea enzi na enzi wanaishi pia Wayahudi ( baada ya kutimiliwa Uhispania, Wayahudi walikaa Sana Afrika kaskazini) wengine wapo mpaka leo na wengine wameende Israel, kama ingekuwa Ottoman empire imelazisha kusilimu , Hawa Wakristo wa Koptic na Wayahudi wa Jerba wasingekuwepo, wao wenyewe hawakuwa Warabu, bali Waturuki.
 
Uislamu unaujulia Wikipedia ndugu ndo maana ile hadith yako nikatupa kapuni
Hapo nlikuwa naongelea ibn ishaq na ibn Kathir na nikaweka sources zao je Hao ni wikipedia?

Ndugu sijui mna mahaba gani na wikipedia wakati hili bandiko lote ni mimi tu ndo nimeweka sources na nimeweka sources zaidi ya 20 na hakuna hata moja ya wikipedia.

Wengine wote mnabwabwaja maneno tupu.
Hadith uliyoiweka kapuni ni Sahih Muslim na nikakupa na sources zake kabisa Sahih

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fikiria hivyo vikundi vipo zaidi nchi gani ? Alshabab - Somalia (99 % Waislamu) Boko Haram (kaskazini Nigeria ambayo % kubwa ni Waislamu) ISIS (Syria, Iraq ambapo % kubwa ni Waislamu pia....) Je wanastahiki kuitwa Waislamu ilhali wanawauwa zaidi wasilamu kuliko dini nyengine? Sisemi kama kuuwa ni sawa , ila kwa hiyo maana uloipa wewe. Je Kibwetere (alowachoma moto Wakristo wafuasi wake kanisani) aitwe mkristo ? Je kundi la LRA (Joseph Kony) kule Uganda /Afrika ya Kati ? Nao ni Wakristo? Mbona hujiulizi kwa nini hakuuliwa hata mtu mmoja msikitini wakati wa mauwaji ya Rwanda ila makanisani waliteketezwa na Wahutu?
 

Mkuu kundi la kiislam unataka lichipukie nchi isiyo na waislam?
watapata wapi recruiters?

Siku kundi la hivo likiibuka nchi kama Poland au Czech basi hilo ndo tutasema sio waislam..
Hao LRA ni wakristo na kukataa otherwise haisaidii kitu..Kuhusu kama wanaufuata ukristo unavyosema hiyo ni ishu nyingine kabisa maana ukristo unakataza hata uzinzi.

So hawa ISIS na ndugu zao ni waislam kuhusu kama wanaufuata uislam 100% ni mada ya siku nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usitafsiri kitu kwa mahabba yako... hio historia ya Muhammad kufanya biashara ya utumwa wa binaadamu ukaijue wewe tu na hio hadith ukawe nayo wewe... usizue lisilokuwepo
 
Kwa hiyo Ukristo ulieneaje ? Kwa nini Amerika zote kuna Wazungu zaidi ya Wahindi wekundu ? Ushawahi kusoma historia ya hapa kwenu ? Kilwa / zenji empire walifanywa nini na Wareno ? Je unajua nani aliwauwa Wayahudi pale Jerusalem kabla ya Waislamu? Hawakuwa Wakristo waliowatoa na kuwatimua Wayahudi kwenye miji yao ?
 
Je Ukristo unaruhusu kuuwa ? Wao watajiita Wakristo/ Waislamu ila je mafunzo ya dini hizo zinatuhusu kuuwa ? Wao watajiita ila dini husika haziruhusu ndiyo maana Nina mashaka na wajiitavyo.
 
Uislam kwa sehemu kubwa ulienezwa kwa nguvu, kwa njia ya Upanga, kwa kulazimisha wapagani wasilimu

Hata leo Magaidi wanaua wasio waislam (Makafir) hasa Makristo na Mayahudi na kabla ya kuuwa wanawaambia washuhudie
 
Uislam kwa sehemu kubwa ulienezwa kwa nguvu, kwa njia ya Upanga, kwa kulazimisha wapagani wasilimu

Hata leo Magaidi wanaua wasio waislam (Makafir) hasa Makristo na Mayahudi na kabla ya kuuwa wanawaambia washuhudie
View attachment 1640345

Hii imekaaje ?
 
punguza ujuaji
 
Usitafsiri kitu kwa mahabba yako... hio historia ya Muhammad kufanya biashara ya utumwa wa binaadamu ukaijue wewe tu na hio hadith ukawe nayo wewe... usizue lisilokuwepo
mkuu sijatafsiri kitu.Nimeweka hadith tu
Hadith sijaitunga ndomana nikakupa na reference
kwahyo sijazua wala sijatafsiri kwa mahaba
wewe ndo unapinga ukweli ambao walimu wako walikuficha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…