Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No,I see things the way they are.He's a stiff necked person, you can't change the way he sees things.
Najua ni ID yako na huwezi kuthibitisha si yako!Sasa wewe jamaa Loftins unajibizana na mzee baba Pichukodada kisha unalitaja jina langu kwa minadi gani mkuu? Kwanini mimi nimekufanya nini boss wangu?
Sir Citizen, this guy started a war na hajui kuipigana.No,I see things the way they are.
If I read a hadith where Muhammad bought And sold slaves I see it as muhammad bought and sold slaves You can't force me to see He was anti-slavery.
If I read a hadith where Muhammad married a 6 years old girl when he was 50 I see it as it is. You can't force me to see as how you want to reinterpret.
If I read the quran telling muslims to beat their wives,a hadith saying women are stupid I see Islam undermines women,You can't force me to see Islam is pro-women rights.
The only way to make me "see" differently is by giving me sources that disagree with my view not by calling me names.Trust me, it wont help.
I'm not Immune to criticism but I'm immune to mockery.Sir Citizen, this guy started a war na hajui kuipigana.
Ushauri wako utakuwaje "the best" kwa mtu mnyenyekevu wakati unasema mwenyewe kuwa ulishakula mpaka ban? Mtu anayekula mpaka ban anaweza toa ushauri wa maana kweli boss?Najua ni ID yako na huwezi kuthibitisha si yako!
Kwenye hizi mada za kidini mimi ni mbobevu tena chizi dini, nishakula ban sana kwa sababu ya kuongelea hizo dini, ushauri wangu wa mwanzo was the best kwa mtu mnyenyekevu.
Gavana lukwangul Citizen B ielewemitaa 2013
Uislamu unaujulia Wikipedia ndugu ndo maana ile hadith yako nikatupa kapuniSelf defence ya kuwavizia watu na mambo yao?Maana kuna siku muhammad alituma watu wakavamie Caravan ya waQuraysh na ilikuwa mwezi mtakatifu...Wale watu wakavamia Caravan wakaua watu wakachukua mateka pamoja na ngamia na mali wakaenda kumpa mtume 1/5 ya mali walizopata(Hii ilikuwa kabla ya amri kuwa kila mali za vitani mtume apewe 1/5).
Wale mateka wakacriticize hicho kitendo kuwa wamevamiwa mwezi mtukufu wakati hairuhusiwi,,Na wale wafuasi wa Muhamad wakawa very Sad kuwa wamekosea.
Then Allah the wise,sublime and all knowing akashusha Verse Quran 2:217
inayosema
kwamba kuua mwezi mtukufu ni dhambi sawa lakini kukataza watu kwenda kuswali mecca(kipindi hiki wale waQuraysh walimfukuza Muhammad na waislam Mecca)Ni dhambi kubwa zaidi kwa Allah kuliko kuua.
Kwahiyo wale mujahids(wauaji) wakafurahi sana kusikia hivo tena wakamfuata Muhammad wakamuomba kitendo walichofanya kihesabiwe kama Jihad ili wapate zawadi Akhera...
Allah akashusha Verse;
"Verily, those who have believed, and those who have emigrated (for Allah's religion) and have striven hard in the way of Allah, all these hope for Allah's mercy. And Allah is Oft-Forgiving, Most Merciful)"
Kwahiyo wale jamaa wakafurahi sana wamehesabiwa kama Mujahid na mabikra wameshaanza kuandaliwa.
Sio Maneno yangu....ibn ishaq anakuambia.
They said, "O Messenger of Allah! We wish that this incident be considered a battle for us, so that we gain the rewards of the Mujahidin.'' Then, Allah revealed:
إِنَّ الَّذِينَ ءَامَنُواْ وَالَّذِينَ هَاجَرُواْ وَجَـهَدُواْ فِي سَبِيلِ اللَّهِ أُوْلـئِكَ يَرْجُونَ رَحْمَةَ اللَّهِ وَاللَّهُ غَفُورٌ رَّحِيمٌ
(Verily, those who have believed, and those who have emigrated (for Allah's religion) and have striven hard in the way of Allah, all these hope for Allah's mercy. And Allah is Oft-Forgiving, Most Merciful.)
Other References:Tafsir ibn Kathir(Quran 2:217)
![]()
Tafsir Surah Al-Baqarah - 217 - Quran.com
Read Ibn Kathir (Abridged) for Ayah 217 of Surah Al-Baqarahquran.com
Usisahau nchi hizo za Kaskazini , Misri kuna makabila mingi ukiachia Warabu, wapo Koptic Wakristo ambao hawa awali (sijui mpaka leo) walikuwa na lugha yao tofauti na kiarabu, kuna kabila ambao ni la asili ya huko, wanaitwa Beja na wengine ni Wanubi n.k , ukija Libya kuna makabila nako pia, Amazigh , Touareg (wakaazi wa asili wa Afrika kaskazini)Njia kuu zilikuwa ni biashara pamoja na utawala na ilikuwa ukizingua kuwa arabized/islamized kirahisi; na ukang'ang'ania "ukafiri" wako basi walikuwa wanatumia maguvu tu - upanga! Waliichakaza karibu Ulaya nzima wakati wa Ottoman Empire na isingekuwa Jangwa la Sahara hata Sub Saharan Africa huku tungekuwa tunaongea Kiarabu tu [emoji16]
View attachment 1639502
Hapo nlikuwa naongelea ibn ishaq na ibn Kathir na nikaweka sources zao je Hao ni wikipedia?Uislamu unaujulia Wikipedia ndugu ndo maana ile hadith yako nikatupa kapuni
Fikiria hivyo vikundi vipo zaidi nchi gani ? Alshabab - Somalia (99 % Waislamu) Boko Haram (kaskazini Nigeria ambayo % kubwa ni Waislamu) ISIS (Syria, Iraq ambapo % kubwa ni Waislamu pia....) Je wanastahiki kuitwa Waislamu ilhali wanawauwa zaidi wasilamu kuliko dini nyengine? Sisemi kama kuuwa ni sawa , ila kwa hiyo maana uloipa wewe. Je Kibwetere (alowachoma moto Wakristo wafuasi wake kanisani) aitwe mkristo ? Je kundi la LRA (Joseph Kony) kule Uganda /Afrika ya Kati ? Nao ni Wakristo? Mbona hujiulizi kwa nini hakuuliwa hata mtu mmoja msikitini wakati wa mauwaji ya Rwanda ila makanisani waliteketezwa na Wahutu?Huu huu uislamu wa boko haramu,al shaabab ,isis n.k dini safi!??? Hawa watu wakiwa kwenye mihadhara ya watu changanyikeni huhubiri uislamu ni dini ya amani lkn deep inside wanahubiri kuwakata shingo wale wote wasioamnini katika uislamu kwa hiyo watu wengi katika kipindi hicho cha nyuma waliamini kuepuka kuchinjwa
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Fikiria hivyo vikundi vipo zaidi nchi gani ? Alshabab - Somalia (99 % Waislamu) Boko Haram (kaskazini Nigeria ambayo % kubwa ni Waislamu) ISIS (Syria, Iraq ambapo % kubwa ni Waislamu pia....) Je wanastahiki kuitwa Waislamu ilhali wanawauwa zaidi wasilamu kuliko dini nyengine? Sisemi kama kuuwa ni sawa , ila kwa hiyo maana uloipa wewe. Je Kibwetere (alowachoma moto Wakristo wafuasi wake kanisani) aitwe mkristo ? Je kundi la LRA (Joseph Kony) kule Uganda /Afrika ya Kati ? Nao ni Wakristo? Mbona hujiulizi kwa nini hakuuliwa hata mtu mmoja msikitini wakati wa mauwaji ya Rwanda ila makanisani waliteketezwa na Wahutu?
Usitafsiri kitu kwa mahabba yako... hio historia ya Muhammad kufanya biashara ya utumwa wa binaadamu ukaijue wewe tu na hio hadith ukawe nayo wewe... usizue lisilokuwepoHapo nlikuwa naongelea ibn ishaq na ibn Kathir na nikaweka sources zao je Hao ni wikipedia?
Ndugu sijui mna mahaba gani na wikipedia wakati hili bandiko lote ni mimi tu ndo nimeweka sources na nimeweka sources zaidi ya 20 na hakuna hata moja ya wikipedia.
Wengine wote mnabwabwaja maneno tupu.
Hadith uliyoiweka kapuni ni Sahih Muslim na nikakupa na sources zake kabisa Sahih
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo Ukristo ulieneaje ? Kwa nini Amerika zote kuna Wazungu zaidi ya Wahindi wekundu ? Ushawahi kusoma historia ya hapa kwenu ? Kilwa / zenji empire walifanywa nini na Wareno ? Je unajua nani aliwauwa Wayahudi pale Jerusalem kabla ya Waislamu? Hawakuwa Wakristo waliowatoa na kuwatimua Wayahudi kwenye miji yao ?Wewe huelewi nini nishasema hapo mapanga yalikuwa yanatembea kwenye shingo za watu kwa hiyo watu hawakuwa na namna ya kujitetea zaidi ya kukubali kuwa kwenye imani hiyo ili aponye maisha ila kwa sasa namna zipo nyingi
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Je Ukristo unaruhusu kuuwa ? Wao watajiita Wakristo/ Waislamu ila je mafunzo ya dini hizo zinatuhusu kuuwa ? Wao watajiita ila dini husika haziruhusu ndiyo maana Nina mashaka na wajiitavyo.Mkuu kundi la kiislam unataka lichipukie nchi isiyo na waislam?
watapata wapi recruiters?
Siku kundi la hivo likiibuka nchi kama Poland au Czech basi hilo ndo tutasema sio waislam..
Hao LRA ni wakristo na kukataa otherwise haisaidii kitu..Kuhusu kama wanaufuata ukristo unavyosema hiyo ni ishu nyingine kabisa maana ukristo unakataza hata uzinzi.
So hawa ISIS na ndugu zao ni waislam kuhusu kama wanaufuata uislam 100% ni mada ya siku nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uislam kwa sehemu kubwa ulienezwa kwa nguvu, kwa njia ya Upanga, kwa kulazimisha wapagani wasilimu
Hata leo Magaidi wanaua wasio waislam (Makafir) hasa Makristo na Mayahudi na kabla ya kuuwa wanawaambia washuhudie
View attachment 1640345
punguza ujuajiExcuse my language bwana infantry, sijui ndio unataka kuonekana ni mchunguzi au unajua sana vitu humu jamvini au unataka umaarufu usio na tija kwa ID fake IDK.
Kuna mitandao kibao sana ingeweza kukusaidia tena kwa njia isiyokuwa na shaka na mfano Quora hichi unachokiuliza kilishaulizwa kule miaka mingi sana.
Na hata nikiweka ufafanuzi hapa nakuhakikishia nitatoa 98% ya majibu kule, please vitu vingine kavisome kule ambako watu ni magwiji wa historia ya Africa na wengine wanaishi hizo nchi.
Ahsante.
Who's that guy?Sir Citizen, this guy started a war na hajui kuipigana.
mkuu sijatafsiri kitu.Nimeweka hadith tuUsitafsiri kitu kwa mahabba yako... hio historia ya Muhammad kufanya biashara ya utumwa wa binaadamu ukaijue wewe tu na hio hadith ukawe nayo wewe... usizue lisilokuwepo