EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Poa mkuu kumbe mnahistoria zenuPole sana kiongozi kati ya wapambania Ukristo humu jamvini naweza kuwa mtu wa 7 kati ya 10.
Nafahamu na naheshimu kuna legends zaidi yangu.
2013 huyu mtu ni habari nyingine lukwangul huyu ni mzee wa amsha amsha, Citizen B huyu ni mtema moto.
Mimi sio Abdool kina abdool ni hawa Jurjani Gavana n.k na ninawaheshimu kwa sababu ni smart people.
Wanakuja kujibu vitukuu wa Hajra.
Infantry sio muelewa, nimewahi kuwa na ubishani endlessly na Faiza, ielewemitaa Mokaze n.k lakini hawa watu ni waelewa sana wakielekezwa kwa facts.
Huyu jamaa dini hazijui anazivamia tu
Nacheka Sana aisee.Eti hao ndiyo ---…!.Pole sana kiongozi kati ya wapambania Ukristo humu jamvini naweza kuwa mtu wa 7 kati ya 10.
Nafahamu na naheshimu kuna legends zaidi yangu.
2013 huyu mtu ni habari nyingine lukwangul huyu ni mzee wa amsha amsha, Citizen B huyu ni mtema moto.
Mimi sio Abdool kina abdool ni hawa Jurjani Gavana n.k na ninawaheshimu kwa sababu ni smart people.
Wanakuja kujibu vitukuu wa Hajra.
Infantry sio muelewa, nimewahi kuwa na ubishani endlessly na Faiza, ielewemitaa Mokaze n.k lakini hawa watu ni waelewa sana wakielekezwa kwa facts.
Huyu jamaa dini hazijui anazivamia tu
UKOO YA YESHU HUU HAPAHuyo mjazakazi si Mungu alimridhia kama slivyomrifhia Beth Sheba kuwa mke mjane wa Daudi mama yake Sulemani ? Daudi alipompeleka mume wa Beth Sheba vitani ili auliwe na kumpata YEYE huyo mwanamke? Hivi kwa nini mnasema Yesu ni ukoo wa Sulemani wakati inajulikana wazi kuwa Wayahudi hufuata ukoo kwa baba?
aAstagh! fidhul! Msalie Mtume!!! Walahi ! weye kijana weye! wakufuru kubwa hii! ati kumsema MMSAW vibaya weye! alikuwa mtu wa khaki! yule! utapata shida sana hapa DUNIANI? waombe samahani waislamu...Ni kweli
kuna yale ma caravan routes and trades.
Hata mtume Muhammad alikuwa trader wa Caravan kabla hajawa mtume..Although alipokuwa mtume na kupata wafuasi alianza kuvizia hawa traders na kuwapokonya mali.
Sababu Waislamu walikuwa wanawafundisha watu dini na tabia njema. Na kuwalingania watu katika haki na usawa.Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huku? Ni kupitia biashara pekee ama kuna njia nyingine za ziada zilitumika?
(Angola, Benin, Botswana, Burkina Faso, Burundi, Cameroon, Central African Republic, Chad, Congo, Cote d'Ivoire, Eritrea, Ethiopia, Gabon, Gambia, Ghana, Guinea, Guinea-Bissau, Kenya, Lesotho, Liberia, Madagascar, Malawi, Mali, Mauritania, Mauritius, Mozambique, Namibia, Niger, Nigeria, Rwanda, Senegal, Sierra Leone, Somalia, South Africa, United Republic of Tanzania, Togo, Uganda, Zaire, Zambia, Zimbabwe)
View attachment 1639303
Ninaomba kuanza kwa kusema kwamba, kwa msio nifahamu mimi Infantry Soldier ni mkristo mkatoliki ila ninafahamu fika ya kuwa dini ya uislamu ni dini safi sana tena ya watu waungwana kweli inayohubiri amani na upendo kama ilivyo dini ya kikristo. I love you all my muslim brothers and sisters.
KWA UFUPI KUHUSU UKOLONI NA KUENEA KWA UKRISTO BARANI AFRIKA
=====
Ushahidi wa kihistoria unaonyesha ya kuwa Waafrika walikuwa na mila nyingi za kitamaduni na kidini ambazo zilichangia pakubwa katika kuenea kwa haraka kwa dini ya Ukristo katika bara letu.
Wamishionari wa Magharibi waliamua kukataa au kuweka pembeni mila hizi, ambazo ilikuwa msingi wa imani zetu tangu zamani. Mifumo hii ya msingi ya mila na tamaduni ya Waafrika ilitoa msingi thabiti ambao Ukristo ulifikishwa (kwa kiingereza changu kibovu ninaweza kusema upon which Christianity was conceived), kueleweka na kupokelewa.
View attachment 1639304
Hata hivyo, wamishionari wengine walijaribu kuaminisha watu kwamba hakuna mila na wala tamaduni za urithi kama huo wa kidini uliokuwepo kabla ya kuwasili kwao katika bara la Afrika miaka hiiiyoooo ya zamani.
Ukristo na ukoloni mara nyingi huhusishwa kwa karibu kwa sababu Uprotestanti (wasabato, anglikana, Lutheran) na Ukatoliki walishiriki kama dini za serikali/kidola za mamlaka ya kikoloni ya Ulaya na kwa njia nyingi zilitumika kama "matawi ya udini" ya tawala hizo za kikoloni.
Wakati Wazungu walipokuja kuitawala Afrika, hawakufanya hivyo tu kwa nguvu waliyoitumia dhidi ya Waafrika. Hapana. Ukoloni ulifanywa vema pia kwa matumizi ya dini, na haswa Ukristo na ndio maana mpaka sasa, Waafrika wengi hujitambulisha kama Wakristo.
View attachment 1639306
Inaonekana dini imetumika zaidi kuathiri utambulisho wa mtu mweusi barani Afrika. Dini za jadi za Kiafrika zimetupiliwa mbali na zinaonekana kama za kipagani na za kishamba kwa asili.
Wakati kila mtu anastahili kuwa imani katika dini yake, ni dini hiyo hiyo ambayo imetumika kuvuruga historia ya Afrika haswa na ujio wa ubeberu na ukoloni ambao umejengwa juu yake.
Dini zilifanikisha jambo moja kubwa sana barani Afrika: kuwafundisha Waafrika weusi kuachana na mila zao zote na kuwezesha kuenea kwa tawala za kikoloni.
SWALI KUU: Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huko? Ni kupitia biashara pekee ama kuna njia nyingine ya ziada ilitumika?
View attachment 1639305
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Nani amesema Sauli ni mmoja? Hata ambaye alipambana na Daudi ni Sauli, ila wewe kwny maelezo yako hukummaanisha huyo.Umeona ata biblia yenyewe huijui, nani kakwambia kwenye biblia Sauli ni mmoja tu? nakufundisha siku nyingine utachekwa, Mfalme wa kwanza kwa Waisrael aliitwa SAULI, huyu alipakwa mafuta na nabii Samweli akawa Mfalme kwa Waisrael , huyu Alipewa kazi ya KUWAUA Amaleki wote asibaki hai ata mnyama wao, sasa alipomuacha Mfalme Agagi na wanyama walionana, ndio ufalme ukaota mbawa na akapewa bwana mmoja wa kuitwa Daudi mwana wa Yese, hivyo kama ni Mauaji Yehova kapitisha mengi, soma Acha kuhadithiwa tuu ( reference 1 Samuel 15:1-26)
Nani amekuukiza haya yote? Yana uhusiano gani na hii mada?Umeona ata biblia yenyewe huijui, nani kakwambia kwenye biblia Sauli ni mmoja tu? nakufundisha siku nyingine utachekwa, Mfalme wa kwanza kwa Waisrael aliitwa SAULI, huyu alipakwa mafuta na nabii Samweli akawa Mfalme kwa Waisrael , huyu Alipewa kazi ya KUWAUA Amaleki wote asibaki hai ata mnyama wao, sasa alipomuacha Mfalme Agagi na wanyama walionana, ndio ufalme ukaota mbawa na akapewa bwana mmoja wa kuitwa Daudi mwana wa Yese, hivyo kama ni Mauaji Yehova kapitisha mengi, soma Acha kuhadithiwa tuu ( reference 1 Samuel 15:1-26)
Wakati gani Upanga ulihusika ? Au ushawahi kuuliza ya kuwa baada ya nini hufata Upanga ?Lakini pia biashara ilichangia pakubwa
Lakini pia kwa nchi za North Afrika Upanga ulihusika
Maelezo yako hayajitoshelezi.Njia kuu zilikuwa ni biashara pamoja na utawala na ilikuwa ukizingua kuwa arabized/islamized kirahisi; na ukang'ang'ania "ukafiri" wako basi walikuwa wanatumia maguvu tu - upanga! Waliichakaza karibu Ulaya nzima wakati wa Ottoman Empire na isingekuwa Jangwa la Sahara hata Sub Saharan Africa huku tungekuwa tunaongea Kiarabu tu [emoji16]
View attachment 1639502
Maelezo yako hayajitoshelezi.
Hii hufanyikaje ? Au labda kuna mtu au watu walio uliwa kwa kuukataa Uislamu (Wote wale Waislamu walio ritadi hapa tunawaongelea wale Wasio kuwa Waislamu). Unao ushahidi huo ?
Alaah!!! Kumbe tunaongea na Chizi Maarifa? yee! elewi!!!. pili! Ban siyo sifa kwa mtu mwenye akili timamu! sawa nakupata sifuri drsani ukaitangaza!!mimi ni mbobevu tena chizi dini, nishakula ban sana
Mzee baba huyo dogo bado hajielewi ndio maana anakaa kutukana wenzie tu humu JF. Hana hoja ana kazi ya kurukaruka tu hapa na pale.Usimtishe ndugu yangu mkuu![emoji23]
Hawaijui!! Quran yao pia wamekariri juzuu tu! kwa kiarabu, mtu huyu atajuaje Holy Bible? wakati wanaichukia eti ni haramuu!Mbona hukuti waislam wakipenda kuudiscuss ukristo?
umeambiwa usijibu weye wajibuhapo usinijibu!! upotee ivoivo!!.
Sawa, kwa mawazo yako uko sahihi, lakini hakuna Uislam wa kusomwa tu kwenye mitandao, pili Kwenye Uislam tunafuata Quran na Hadith. Ndio maana tunafata vitabu vyetu kwa ajili ya kupata miongozo inayotuhusu sasa kinachoshangaza kwanini muujadili Uislam si muuache! Kwanini mjadili kitu kisichowahusu! Si muwaache waliopelekwa chaka waendelee na wanachoamini, lakini hila zenu ziko wazi kila sehemu mnataka kujiingiza ilimradi mpenyeze yenu kwenye Uislam. Hatwendi mtakavyo ninyi.Hawaijui!! Quran yao pia wamekariri juzuu tu! kwa kiarabu, mtu huyu atajuaje Holy Bible? wakati wanaichukia eti ni haramuu!
Biblia kwenye mitaala ya Historia inahusika, sayansi Imo, Medicine ndo usiseme kabisa, Georafia imo. mfano ndege ya kwanza ilipaa, 1632 BC. AD. PJ, Nk kila hatua unayopiga kielimu utakutana na haya maneno yanayoingiliana na Biblia, kitu ambacho uislamu haufundishi wameanza ivi karibuni tu kuyasoma haya! baada ya kugundua waliingizwa chaka!
Shule za Mission islams walikuwa hawataki kwenda sababu watakula kiti moto! wajanja walipeleka tu watoto wao bila kujali uislamu wao!
😅😅😅Hahah mkuu unatania au uko serious??Mtu anampokonya mwanae mke alafu Bado anashikwa ugoni unasema alikuwa wa HAKI?😲aAstagh! fidhul! Msalie Mtume!!! Walahi ! weye kijana weye! wakufuru kubwa hii! ati kumsema MMSAW vibaya weye! alikuwa mtu wa khaki! yule! utapata shida sana hapa DUNIANI? waombe samahani waislamu...
Jihad za Fulani ilikuwaje?Wakati gani Upanga ulihusika ? Au ushawahi kuuliza ya kuwa baada ya nini hufata Upanga ?
Maelezo marefu ila hukujibu swali, swali ni hili..... Ilivyo , niowe na kuzaa na mwanamke wa Kiyahudi mtoto wangu hatokuwa Myahudi bali wa kabila yangu , kwa maana WAYAHUDI WARABU NA MAKABILA MENGI DUNIANI uzao unafuata kwa baba na sio mama, je Yesu ni halali kujigamba kwa uzao wa Daudi na Sulemani ?UKOO YA YESHU HUU HAPA
Mathayo 1:1-23 BHN
Yesu Kristo alikuwa wa ukoo wa Daudi, wa ukoo wa Abrahamu. Hii ndiyo orodha ya ukoo wake: Abrahamu alimzaa Isaka, Isaka alimzaa Yakobo, Yakobo alimzaa Yuda na ndugu zake, Yuda alimzaa Peresi na Zera (mama yao alikuwa Tamari), Peresi alimzaa Hesroni, Hesroni alimzaa Rami, Rami alimzaa Aminadabu, Aminadabu alimzaa Nashoni, Nashoni alimzaa Salmoni, Salmoni alimzaa Boazi (mama yake Boazi alikuwa Rahabu) Boazi na Ruthu walikuwa wazazi wa Obedi, Obedi alimzaa Yese, naye Yese alimzaa Mfalme Daudi. Daudi alimzaa Solomoni (mama yake Solomoni alikuwa Bath-Sheba mke wa Uria). Solomoni alimzaa Rehoboamu, Rehoboamu alimzaa Abiya, Abiya alimzaa Asa, Asa alimzaa Yehoshafati, Yehoshafati alimzaa Yoramu, Yoramu alimzaa Uzia, Uzia alimzaa Yothamu, Yothamu alimzaa Ahazi, Ahazi alimzaa Hezekia, Hezekia alimzaa Manase, Manase alimzaa Amoni, Amoni alimzaa Yosia, Yosia alimzaa Yekonia na ndugu zake. Huo ulikuwa wakati Wayahudi walipopelekwa uhamishoni Babuloni. Baada ya Wayahudi kupelekwa uhamishoni Babuloni, Yekonia alimzaa Shealtieli, Shealtieli alimzaa Zerubabeli, Zerubabeli alimzaa Abiudi, Abiudi alimzaa Eliakimu, Eliakimu alimzaa Azori, Azori alimzaa Zadoki, Zadoki alimzaa Akimu, Akimu alimzaa Eliudi, Eliudi alimzaa Eleazari, Eleazari alimzaa Mathani, Mathani alimzaa Yakobo, Yakobo alimzaa Yosefu, mumewe Maria mama yake Yesu aitwaye Kristo. Basi, kulikuwa na vizazi kumi na vinne tangu Abrahamu mpaka Daudi, vizazi kumi na vinne tangu Daudi mpaka Wayahudi walipochukuliwa mateka Babuloni, na vizazi kumi na vinne tangu kuchukuliwa mateka mpaka wakati wa Kristo. Basi, hivi ndivyo Yesu Kristo alivyozaliwa: Maria, mama yake, alikuwa ameposwa na Yosefu. Lakini kabla hawajakaa pamoja kama mume na mke, alionekana kuwa mjamzito kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. Yosefu, mumewe, kwa vile alikuwa mwadilifu, hakutaka kumwaibisha hadharani; hivyo alikusudia kumwacha kwa siri. Alipokuwa bado anawaza jambo hilo, malaika wa Bwana alimtokea katika ndoto, akamwambia, “Yosefu, mwana wa Daudi, usiogope kumchukua Maria awe mke wako, maana amekuwa mjamzito kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. Atajifungua mtoto wa kiume, nawe utampa jina Yesu, kwa kuwa yeye ndiye atakayewaokoa watu wake katika dhambi zao.” Basi, haya yote yalitukia ili litimie lile neno Bwana alilosema kwa njia ya nabii: “Bikira atachukua mimba, atamzaa mtoto wa kiume, nao watampa jina Emanueli” (maana yake, “Mungu yuko nasi”).
huyo jamaa sijui ana shida gani asee,Kama wewe unaijua hiyo Quora ndio unalazimisha kila mtu aifahamu? Au kuna dada yako anafanya kazi huko?