Najua ni ID yako na huwezi kuthibitisha si yako!
Kwenye hizi mada za kidini mimi ni mbobevu tena chizi dini, nishakula ban sana kwa sababu ya kuongelea hizo dini, ushauri wangu wa mwanzo was the best kwa mtu mnyenyekevu.
Je Ukristo unaruhusu kuuwa ? Wao watajiita Wakristo/ Waislamu ila je mafunzo ya dini hizo zinatuhusu kuuwa ? Wao watajiita ila dini husika haziruhusu ndiyo maana Nina mashaka na wajiitavyo.
kwani ukristo/uislam unaruhusu uzinzi au ulevi?
Hawa wazinzi na walevi wa mtaani sio wakristo/waislam??
Kuhusu Jihad hiyo concept ipo miaka na miaka...Haya wewe nyuma ya keybord utasema hawajauelewa uislam sasa swali
Kwanini wote hawa hawajauelewa kwa style hiyo hiyo ya mauaji?
Boko haram
Isis
Al qaeda
Al shabaab mozambique
Alshabab Kenya
Taliban
Lashkar-e-Jhangvi
the Khorasan
Hayat al-Tahrir al-Sham
Jaysh al-Islam.
Lashkar-e-Taliba,
Jaish-e-Mohammad
Hizbul Mujahideen
Al-Qaida in the Arabian Peninsula (AQAP) Adan-Abyan Province of the Islamic State.
Abu Sayyaf
Ukiachilia hizo Chache kuna magaidi binafsi wa kiislam waliofanya matukio nchi kama
Ufaransa
Ujerumani
Uingereza
marekani
ujerumani
Canada
Pakistan
Afganistan
Iraq
nk. nk.
Unataka useme hawa wote hakuna uhusiano na deen safi ya al islam?
Huu huu uislamu wa boko haramu,al shaabab ,isis n.k dini safi!??? Hawa watu wakiwa kwenye mihadhara ya watu changanyikeni huhubiri uislamu ni dini ya amani lkn deep inside wanahubiri kuwakata shingo wale wote wasioamnini katika uislamu kwa hiyo watu wengi katika kipindi hicho cha nyuma waliamini kuepuka kuchinjwa
Kama hoja ni kuchinja, Musa alichinja, wengi kwa Amri ya Yehova lakini watu waligoma kumuamini kwa kiwango hiko, au Yule mfalme Sauli alichinja mpaka vitoto vinavyonyonya kwa Amri ya Yehova lakini hakukuwa na matokeo chanya , nakataaa kuchinja sio njia pekee ,lete habari zenye mashiko Acha porojo
Uislamu ulikuta watu wanabet, mtoto aliekuwa tumboni ni mke au mume, wakikubaliana wanamkamata mwanamke wanampasua wanafurahi nani kashinda, Uislamu ukafuta tabia hii kwanini watu wasiukubali?
Najua ni ID yako na huwezi kuthibitisha si yako!
Kwenye hizi mada za kidini mimi ni mbobevu tena chizi dini, nishakula ban sana kwa sababu ya kuongelea hizo dini, ushauri wangu wa mwanzo was the best kwa mtu mnyenyekevu.
Ndugu zanguni Samahani kama ninawakwaza mkisikia jina muhammad..lakini hapa sio msikitini na wote tupo kwa ajili ya kujifunza So napomtaja Muhammad(saw) Simtaji kama nabii au religional figure bali namtaja kama historical figure..na ndiyo muktadha wa hii mada.
Nashangaa mnakasirika kusikia Muhammad alikuwa trader kuliko kusikia alivamia traders.
Furthermore kama hamjui Hata mke wake wa kwanza Bi Khadija(aliyemzidi miaka 15) alikuwa boss wake kwenye biashara ya trade.Bi khadija alimuajiri Muhammad kwasababu alisikia story zake kuwa ni muaminifu na alipewa nickname "Al-amin" baadae Muhammad akaongeza ukaribu akamuoa.
Muhammad alisafiri nchi mbalimbali(Syria,Yemen etc.) na ngamia akiuza na kununua bidhaa(ikiwemo watumwa).
Anko wake Muhammad,Abu Talib ndio alimuingiza kwenye biashara akiwa na umri mdogo kabisa(12yrs) na maisha yake mengi alikuwa trader kuliko nabii.Kwani nyie huwa mnadhani kabla hajawa nabii akiwa na miaka 40 alikuwa anafanya kazi gani?
Muhammad years as a trader-25 years
Muhammad as a prophet-23years
The Prophet Mohammed (PBUH), is the final Messenger of God sent to deliver His Message to the entire humanity. He was a model for all humanity. Human beings try to imitate the model of someone whom…
deenoverduniya.wordpress.com
sunnath-follow-the-model-of-prophet-muhammad-pbuh
Ahmad Afiq Al-Kelantani,20 Januari 2013,Contohilah Akhlak Rasulullah S.A.W Ketika
Berniaga[online]
Available at
Ni kweli mtume alikuwa mfanyabiashara kabla ya utume, ni jambo la kawaida kufanya kazi kwa mtume, mbona ata Yesu alikuwa mjenga milango ,madirisha n.k (seremala ), sijaonaaa sababu ya kulikuza hapa wakati ni jambo la kawaida

sasa namimi ndo nashangaa watu wanavolikuza na kuniita mzushi natafuta chokochoko sijielewi etc.
Wakati kitu kidogo tu na ni fact tena isiyo hata ya aibu sasa zile za aibu si nitatukaniwa mama kabisa.
kwani ukristo/uislam unaruhusu uzinzi au ulevi?
Hawa wazinzi na walevi wa mtaani sio wakristo/waislam??
Kuhusu Jihad hiyo concept ipo miaka na miaka...Haya wewe nyuma ya keybord utasema hawajauelewa uislam sasa swali
Kwanini wote hawa hawajauelewa kwa style hiyo hiyo ya mauaji?
Boko haram
Isis
Al qaeda
Al shabaab mozambique
Alshabab Kenya
Taliban
Lashkar-e-Jhangvi
the Khorasan
Hayat al-Tahrir al-Sham
Jaysh al-Islam.
Lashkar-e-Taliba,
Jaish-e-Mohammad
Hizbul Mujahideen
Al-Qaida in the Arabian Peninsula (AQAP) Adan-Abyan Province of the Islamic State.
Abu Sayyaf
Ukiachilia hizo Chache kuna magaidi binafsi wa kiislam waliofanya matukio nchi kama
Ufaransa
Ujerumani
Uingereza
marekani
ujerumani
Canada
Pakistan
Afganistan
Iraq
nk. nk.
Unataka useme hawa wote hakuna uhusiano na deen safi ya al islam?
sasa namimi ndo nashangaa watu wanavolikuza na kuniita mzushi natafuta chokochoko sijielewi etc.
Wakati kitu kidogo tu na ni fact tena isiyo hata ya aibu sasa zile za aibu si nitatukaniwa mama kabisa.
Wewe ndio unakuza, jambo dogo tena la kawaida, Mara mtume kafanya biashara muda mrefu kuliko utume wake, sasa hayo yanatoka wapi? Acha kupoteza muda kwa mambo yaliyowazi
Ebu leta hapa maandiko ambayo Yehova alitoa Ruksa kwa wakina Sauli, Musa n.k KUUA watu na wanyama , kwa sababu ya Visasi na kufata miungu ya kigeni, BIBLIA imeandika vizuri mbona huleti, hapa tukajadili kama kweli wewe unajali maisha ya watu! ! tatizooo mnataka vita huku mnaishi nyumba za vioo, Sauli alivuliwa ufalme na Yehova kisa ajaua vizuri
Unajua gharama ya kuwakejeli mitume wamungu,usikichukulie poa kitendo kama hiko kinagharama kubwa San mbele zamungu, kumbuka siku hazigand ipo siku itafika, utakuta a namola wako halaf majuto yako haya takua na faida tena mbele zake nakama unaona siku ziko mbali kufika kumbuka hazigand, Maan tunaambiwa watu weng San tutapon WA naiman siku ya mwisho, tuleteane kejeli sisi kwasisi lakin sio mitume wa mungu
Hapa wewe ndo unaleta Udini...Sijaweka Wikipedia hata moja hapo na hizo zote ni Muslim Sources(nilijua nikiweka historical sources nje ya islamic scholars hata kama zina evidence mngezikataa)...Mashehe wamefanya Research.
Mimi nimeaproach hii mada kisomi na kihistoria zaidi wewe unaleta story za Sira yani umebase kidini zaidi.
Inshort wewe ni incompetent na ni muoga.
Haya hiyo Sira uliyosoma inasema Muhammad kabla hajawa nabii alikuwa anafanya kazi gani??
nijibu hili usiruke ruke
Zina kuhusu nn naww sio muislam? Hasa kikuhangaishacho ww nini? Mbona tunaishi kwaaman2 waislam na wakristo hiv nikianza kumkejeli yes nawakat najua fiki nimtume wangu hiv kesho mm kwamungu nitajibu nini au kwasababu naafya njema najua sitakufa nakukutana namola Wang,, angalia San usinisahau acha mchezo namanabii wa mungu ipo siku itafika utajuata San na hiki kiherehere chako hakitakusaidia lolote mungu nimkali najana adhabu kali San sio kwamuislam wala kwamkristo
Huu huu uislamu wa boko haramu,al shaabab ,isis n.k dini safi!??? Hawa watu wakiwa kwenye mihadhara ya watu changanyikeni huhubiri uislamu ni dini ya amani lkn deep inside wanahubiri kuwakata shingo wale wote wasioamnini katika uislamu kwa hiyo watu wengi katika kipindi hicho cha nyuma waliamini kuepuka kuchinjwa
Kwann unakurupuka kama mtu alitoka usingizin? Hapa Tanzania unapoishi Kuna waislam waliowachinja wakristo? Mbona mpaka waislam wanaolewa na wakristo na wakristo wanaolewa na waislam? Huko iraki nanchi zote zakiarabu wanakuana Kuna wakristo? Kwann wanauna wenyewe kwawenyewe kama shida niuslam, hebu tafakar kabla hujaongea ndipo watu watajua una akili au la, kwann wale wanaosababisha haya mambo hamuwaongelei?
Ebu leta hapa maandiko ambayo Yehova alitoa Ruksa kwa wakina Sauli, Musa n.k KUUA watu na wanyama , kwa sababu ya Visasi na kufata miungu ya kigeni, BIBLIA imeandika vizuri mbona huleti, hapa tukajadili kama kweli wewe unajali maisha ya watu! ! tatizooo mnataka vita huku mnaishi nyumba za vioo, Sauli alivuliwa ufalme na Yehova kisa ajaua vizuri
Sio kweli, umeandika vitu usivyovijua. Sauli ndio Paul aliyekuwa Towashi na ambaye alikuwa katili sana ila baadae akawa Mkristo na mwanzilishi na mwenezi wa makanisa sehemu mbalimbali
Hiyo ni pure fact na kuiongelea hapa itazidi kuwakasirisha watu maana inaingia upande wa dini(Hata ukisoma quran wanachukia)......anyway inahusiana na mada kwasababu nlikuwa najaribu kuonesha kuwa Muhammad alikuwa na influence kwenye biashara kabla, hata baada ya kuwa mtume.So alivyoivamia na kuitawala Mecca lazima biashara ya Caravan iliendelea lakini this time ilikuwa inatawaliwa na waislam so hata North Africa Biashara ilifika ikitawaliwa na waislam.
Huna unachojua ww isipokua nukudandia dandia mambo yasio kuhusu habar zamaka we unazijulia wapi, au unaokotaokota maneno unakuja hapa bila kua naelim yahayo mambo mm siujui ukristo halaf naanza kuleta ujuaji mbele ya wakristo siitakua mm nimpumbavu kabisa nisie naakili Maan wenye ukristo wao wataniona chiz
Siku zote maneno yenu ni hayo hayo hamuwatambui hamuwatambui ,hata jambazi husema yeye si jambazi hali kadhalika wachawi,wazinzi wote hukana ila ukweli ndio huo hadharani mtawakana lakini gizani huwa mnawapongeza kwa kazi wanazozifanya
Na kwanini dini hii hutumia nguvu nyingi sana kujitangaza!???? Hii ni dini ya kitumwa na maficho ya watu kutumia dini kutawala kwa nguvu
Pia nashangaa kwanini unakanusha kuwa kwenye kitabu chenu hkn maandishi ya kukata mapanga makafiri
mkuu sijatafsiri kitu.Nimeweka hadith tu
Hadith sijaitunga ndomana nikakupa na reference
kwahyo sijazua wala sijatafsiri kwa mahaba
wewe ndo unapinga ukweli ambao walimu wako walikuficha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.