Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Hiyo inafahamika ila nimezungumzia na kuuliza kuhusu wakristo na namna wanavyo jitambulishaNa Uislamu hauna chuki na Ukristo ("ukafiri")? 😳😳😳😳😳😳🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️
Wewe imani yako ikiitwa ya kijinga kama unavyofanya utaona kuelimishwa au chuki ?Hakuna chuki ila tunajaribu kuwaelimisha ndugu zetu hawa waachane na imani yao ili tudumu katika amani.
Tofauti na inavyojitambulisha. nashukuru nimejua hili miaka mingi sana iliyopita sasa naishi maisha yangu boraDini ililetwa ili kuondoa amani
Kwanza niondoe katika hilo kundi "mlilokuwa" mimi sio mtu wa mrengo huo unaofikiri wewe.Wale wakristo mliokuwa mnawachokoza na kuwatolea lugha chafu kisha wanawajibu Kwa upendo saivi wamezeeka sio sisi hatuwachikiii dini zingine ila mkileta unyumbu unyumbu wenu tunakula sahani moja
Ujinga unatoka mkuu..nitakubali kuelimishwaWewe imani yako ikiitwa ya kijinga kama unavyofanya utaona kuelimishwa au chuki ?
Sikubaliani! Upendo au chuki hauna uhusiano na dini ya mtuKwanza niondoe katika hilo kundi "mlilokuwa" mimi sio mtu wa mrengo huo unaofikiri wewe.
Turudi kwenye ukristo hivyo unakubali dini ya Ukristo haina upendo wowote zaidi ya chuki ya chini kwa chini ?
Ni mara ngapi umekubali kuelimishwa kuhusu dini yako kwa kejeli za kuitwa imani ya kijinga ?Ujinga unatoka mkuu..nitakubali kuelimishwa
Historia yote ya Ukristo unaifahamu toka Ulaya mpaka ikakufikia wewe huku Afrika tena toka kwa mababu zako mpaka wewe ?Mnajua kujistukia sana daah. Hakuna mkristo aliyewahi kuua mtu kisa sio mfuasi wa dini yake.
Ndo ivo mkuuTofauti na inavyojitambulisha. nashukuru nimejua hili miaka mingi sana iliyopita sasa naishi maisha yangu bora
Mara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo.
Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia.
Lakini kuna kitu nazidi kukigundua miongoni mwa wafuasi wa dini ya Ukristo nayo ni chuki ya chini kwa chini dhidi ya Uislam.
Ni kwa nini wakristo wanachuki ya chini kwa chini na Uislam tofauti na jinsi wanavyo jitambulisha ?
Je, ni kitu gani kinasababisha chuki hiyo ?
Ila ni wewe umesema muda wa upendo kwa wakristo dhidi ya waislam sasa haupo si ndio ?Sikubaliani! Upendo au chuki hauna uhusiano na dini ya mtu
Ni kweli chuki ipo sana tu.Mara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo.
Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia.
Lakini kuna kitu nazidi kukigundua miongoni mwa wafuasi wa dini ya Ukristo nayo ni chuki ya chini kwa chini dhidi ya Uislam.
Ni kwa nini wakristo wanachuki ya chini kwa chini na Uislam tofauti na jinsi wanavyo jitambulisha ?
Je, ni kitu gani kinasababisha chuki hiyo ?
Hamna sehemu nimetaja uislamu sijui unatoa wapi hayo manenoIla ni wewe umesema muda wa upendo kwa wakristo dhidi ya waislam sasa haupo si ndio ?