Dini ya Ukristo inasifika kwa upendo lakini kwa nini wanachuki dhidi ya Uislam ya chini kwa chini?

Dini ya Ukristo inasifika kwa upendo lakini kwa nini wanachuki dhidi ya Uislam ya chini kwa chini?

Mara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo.

Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia.

Lakini kuna kitu nazidi kukigundua miongoni mwa wafuasi wa dini ya Ukristo nayo ni chuki ya chini kwa chini dhidi ya Uislam.

Ni kwa nini wakristo wanachuki ya chini kwa chini na Uislam tofauti na jinsi wanavyo jitambulisha ?

Je, ni kitu gani kinasababisha chuki hiyo ?
Wakristo kitambo wana chuki 'na waislamu, hao sio watu kabisa,kwenye miji yangu sipangishi jamii ya watu wa chuki
 
Ni kweli chuki ipo sana tu.
Ila pia nchi nyingi za kikristo zimepokea waislam na kuruhusi watamalaki na imani zao tu kitu ambacho huko kwa wengine hakiwezekani.
Sema umeongea ukweli deep down likija syala la imani ndio hivyo.
Mimi mkristo ila rafk zangu wengi waislamu nadhani kati ya rafiki 10 bas nane watakuwa Waislam
Pamoja
 
Kwanza niondoe katika hilo kundi "mlilokuwa" mimi sio mtu wa mrengo huo unaofikiri wewe.

Turudi kwenye ukristo hivyo unakubali dini ya Ukristo haina upendo wowote zaidi ya chuki ya chini kwa chini ?
Dini haina upendo, Au watu wanaojitambulisha ni wakristo ndio hawana upendo, nijibu tafadhali..
 
Kwenye mikutano ya injili kwenye ukristo sijawahi kuona wakiunanga uislamu, Ila kwenye mihadhara yenu nmeona mara nyingi
Niondoe kwenye hilo kundi la yenu. Mimi sio mtu wa imani hiyo unayo fikiri
 
Kwanin nihangaike na historia wakati naona harakati zenu zama hizi. Mnaua ovyo kisa dini daah
Historia yote ya Ukristo unaifahamu toka Ulaya mpaka ikakufikia wewe huku Afrika tena toka kwa mababu zako mpaka wewe ?
 
Kwanin nihangaike na historia wakati naona harakati zenu zama hizi. Mnaua ovyo kisa dini daah
"Harakati zenu" unafikiri mimi ni imani hiyo unayofikiri huu ni ujinga.

Ulisema ukristo hujawahi kuua mtu kisa imani yake umebadilika tena na kusema huna mpango na history. Unabadilika badilika kama kinyonga.

Haya turudi kwenye maswali ya post niliyoleta
 
Umepanic sana daah usije niua huchelewi kuwa gaidi
"Harakati zenu" unafikiri mimi ni imani hiyo unayofikiri huu ni ujinga.

Ulisema ukristo hujawahi kuua mtu kisa imani yake umebadilika tena na kusema huna mpango na history. Unabadilika badilika kama kinyonga.

Haya turudi kwenye maswali ya post niliyoleta
 
Unaweza kuishi kwenye inchi ya wakristo wengi na ukapata amani bila tatizo lolote lakini sio ukaishi kwenye inchi ya waislam wengi ..........mh......balaaa...chooni tu. utaitwa kafiri unakojoa kama ng'ombe wenyewe wakienda kukojoa wanachuchumaa kama mademu eti najisi mkojo ukimgusa wakati umetoka kwenye Govi lako...............jiheshimuni na mbadili mentality yenu.......ndio maana bin salman anajenga kumbi za madisco tu na hakuna tena hijab maana hamueleweki mnataka nini........uniite kafiri harafu unasema saidia baba sijala mimi............utasubili sana................mfano tu kwa bahkhresa ukiwa mkristo upati kazi........lakini waislam wenzake fresh hata kama hawana shule........ukiweka mzani wa waislam na wakristo kwa bahkresa tu kipimo tosha ninyi mnashida kwenye oblangata yenu
 
Mara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo.

Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia.

Lakini kuna kitu nazidi kukigundua miongoni mwa wafuasi wa dini ya Ukristo nayo ni chuki ya chini kwa chini dhidi ya Uislam.

Ni kwa nini wakristo wanachuki ya chini kwa chini na Uislam tofauti na jinsi wanavyo jitambulisha ?

Je, ni kitu gani kinasababisha chuki hiyo ?
Sbida huja pale waislam wanapofurahia mauaji ya jihad dhidi ya wakristo.

Waislam wengi hawajui kuwa kuna u free mason ndio maadui wao wakubwa na sio ukristo

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Mara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo.

Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia.

Lakini kuna kitu nazidi kukigundua miongoni mwa wafuasi wa dini ya Ukristo nayo ni chuki ya chini kwa chini dhidi ya Uislam.

Ni kwa nini wakristo wanachuki ya chini kwa chini na Uislam tofauti na jinsi wanavyo jitambulisha ?

Je, ni kitu gani kinasababisha chuki hiyo ?
Wakristo huwa hawana time na itikadi ya mtu. Wao jukumu lao ni kupenda, kuheshimu, kuishi na kuwajibika. Hayo mengine naona unawasingizia tu.

Kanuni ya Ukristo ni kuilinda , kuiishi na kuisimamia imani yako bila kujikweza wala kubagaza za wengine. Wao hata ukimtukania Mungu wao either watakujibu kwa hekima na upendo au watamuachia Mungu mwenyewe ajidhihirishe kwako na hata asipojidhihirisha wao wala hawatabeba ugomvi kwa kuwa na ugomvi na wewe, kwani hilo ni kati yako na Mungu wao kwani wanaamini ndiye aliyeweka uhai ndani yako, hivyo wa hawa na sababu ya kukuchukia au kugomvika na mtu uliyepewa na Mungu kibali cha kuishi.
 
Back
Top Bottom