Dini ya Ukristo inasifika kwa upendo lakini kwa nini wanachuki dhidi ya Uislam ya chini kwa chini?

Dini ya Ukristo inasifika kwa upendo lakini kwa nini wanachuki dhidi ya Uislam ya chini kwa chini?

Mara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo.

Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia.

Lakini kuna kitu nazidi kukigundua miongoni mwa wafuasi wa dini ya Ukristo nayo ni chuki ya chini kwa chini dhidi ya Uislam.

Ni kwa nini wakristo wanachuki ya chini kwa chini na Uislam tofauti na jinsi wanavyo jitambulisha ?

Je, ni kitu gani kinasababisha chuki hiyo ?
hili ni big no hakuna kitu kama hicho kabisa ni mtazamo wa watu binafsi
 
"Harakati zenu" unafikiri mimi ni imani hiyo unayofikiri huu ni ujinga.

Ulisema ukristo hujawahi kuua mtu kisa imani yake umebadilika tena na kusema huna mpango na history. Unabadilika badilika kama kinyonga.

Haya turudi kwenye maswali ya post niliyoleta
Hivi ukristo uliwahi kuua kwa ajili ya imani wakati gani? Achana na huu ukristo-upagani hybrid by the name of Catholicism. Maana hata sisi Wakristo hatuutambui kama ukristo kwa sababu hautumii Biblia kama nguzo kuu ya muongozo wa imani yake.
 
Back
Top Bottom