Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Weka takwimu zako hapa tuone namna ulivyopata huo wingi, vinginevyo hii ni soga tu.Nimesema ni wengi sio wote na mfano nimetoa humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka takwimu zako hapa tuone namna ulivyopata huo wingi, vinginevyo hii ni soga tu.Nimesema ni wengi sio wote na mfano nimetoa humu
Uislamu ndio wenye chuki... wakristo wanarepply tuMara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo.
Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia.
Lakini kuna kitu nazidi kukigundua miongoni mwa wafuasi wa dini ya Ukristo nayo ni chuki ya chini kwa chini dhidi ya Uislam.
Ni kwa nini wakristo wanachuki ya chini kwa chini na Uislam tofauti na jinsi wanavyo jitambulisha ?
Je, ni kitu gani kinasababisha chuki hiyo ?
Wengine wanaongeaga vitu blindly bila statistics.Pakstan wanaongoza kwa kuvunja makanisa.
Wakrsto ni asilimiac 00.1 ya watu wa pakstan mkuu
Kweli ndo hujitoa mhanga kuwalipua wenzao dunia nzima.Mara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo.
Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia.
Lakini kuna kitu nazidi kukigundua miongoni mwa wafuasi wa dini ya Ukristo nayo ni chuki ya chini kwa chini dhidi ya Uislam.
Ni kwa nini wakristo wanachuki ya chini kwa chini na Uislam tofauti na jinsi wanavyo jitambulisha ?
Je, ni kitu gani kinasababisha chuki hiyo ?
Kwanza niondoe katika hilo kundi "mlilokuwa" mimi sio mtu wa mrengo huo unaofikiri wewe.
Turudi kwenye ukristo hivyo unakubali dini ya Ukristo haina upendo wowote zaidi ya chuki ya chini kwa chini ?
Hii ni kweli hasa tukiabgalis kwa Tz, kuna chuki na huduma dhidi ya mtu na mtu, sijui kwa nini?Sikubaliani! Upendo au chuki hauna uhusiano na dini ya mtu
Umekariri vibaya, au watu wa Mbeya ndiyo wamekariri vibaya. Uislam sio kanzu, uislam ni Imani pengine iite dini. Kanzu ni aina ya vazi tu, linalovaliwa sana kule mashariki ya kati. Japo wengi wanadhani kuwa kanzu ni vazi la kiislam, lakini si kweli. Yeyote anaweza vaa kanzu, kibagharashia, kitunga au kikoi. Asalam aleikum.Mbeya ukivaa kanzu ukapita mitaa fulani unaonekana kama jini vile, ila huku kwetu pwani mpaka vituo vya daladala kwa mswafa shusha...
Sasa hapo aliyekariri vibaya mie au watu wa mbeya,, mi nafahamu kama kanzu ni vazi tu ila mbeya ukivaa kanzu ukapita mitaa fulani unaonekana kama jini vile tena muislamUmekariri vibaya, au watu wa Mbeya ndiyo wamekariri vibaya. Uislam sio kanzu, uislam ni Imani pengine iite dini. Kanzu ni aina ya vazi tu, linalovaliwa sana kule mashariki ya kati. Japo wengi wanadhani kuwa kanzu ni vazi la kiislam, lakini si kweli. Yeyote anaweza vaa kanzu, kibagharashia, kitunga au kikoi. Asalam aleikum.
Kwenye mikutano ya injili kwenye ukristo sijawahi kuona wakiunanga uislamu, Ila kwenye mihadhara yenu nmeona mara nyingi
Reforms zilishadanyika na Hiyo imebaki kuwa historia ya kale tu, reforms zinahitajika pia upande wa pili na hapo ndipo kuna mkwamo.Historia yote ya Ukristo unaifahamu toka Ulaya mpaka ikakufikia wewe huku Afrika tena toka kwa mababu zako mpaka wewe ?
Kanisa lipi?Nimesoma kanisani mambo ambayo wakristo wanafundishwa kwanza kuwaita waislamu majini na pili kuwaita magaidi.
Naongea hapa ukweli mimi binafsi nimekumbana na chuki za wazi na sehemu ya kufanya kazi wala sikutegmea kama kuna udini...Ilikuwa hivi pale kazini nawahi sana na jamaa mmoja wote tulikuwa watu wa ibada ,siku moja katika kikao cha mwaka cha wafanyakazi walipoangalia maudhurio ya kuwahi kupitia biometric walikuta wengi wanachelewa basi ni mmi na jamaa mmoja ndio tulikuwa na maudhurio mazuri ila kuna siku naweza kuchelewa kama dk hata 20.
Jamaa mmoja mgalatia akasema "Hao ni Waislamu kwani hujui wanaamka asubuhi mapema kwenda kuabudu Mungu " na kuna maneno walitamka ya chuki...
Mpaka nilipanic binafsi palikuwa na mgogoro mpaka kwa HR tulifka.
Hao jamaa wanaogop waislamu na chuki zao wanapandikizwa tangu watoto ,sisi waislamu hatuna chuki ila tunaongea ukweli ukifanya jambo tunakuambia hii ni dhambi basi wao wanasema eti tuna hukumu watu ...Sisi tunafikisha ujumbe kama ulivyo .
Siwezi kueleza mengi maana kuna code nitafichua ila nimekumbumana na mambo ya hovyo hao jamaa wana chuki hata wawe kumi wewe ukiwa pekeako wanaanza kukudiss .
Inahitajika elimu kubwa kwa waislam waliowengi kuna baadhi ya mambo wanapaswa kuyaacha kama sio kuya puuza.Reforms zilishadanyika na Hiyo imebaki kuwa historia ya kale tu, reforms zinahitajika pia upande wa pili na hapo ndipo kuna mkwamo.
Kanisa lipi?
Nimesoma KkkTKanisa lipi?
Bro Mm ni muislamu nimependa umeongea ukweli ,kuna kitu kwa upande wa Kristo hakiko sawa wanapandikizwa chuki dhidi ya waislamu wkt waislamu hatupandikizwi chuki hizo lkn huo ni mpango wa mayahudi .Wakristo wanawakubali mayahudi kuliko waislamu wkt mayahudi hawawakubali wakristo na hata waislamu.Ni kweli chuki ipo sana tu.
Ila pia nchi nyingi za kikristo zimepokea waislam na kuruhusi watamalaki na imani zao tu kitu ambacho huko kwa wengine hakiwezekani.
Sema umeongea ukweli deep down likija syala la imani ndio hivyo.
Mimi mkristo ila rafk zangu wengi waislamu nadhani kati ya rafiki 10 bas nane watakuwa Waislam