inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Mathayo 10:34YESU MWANA WA MUNGU ANAWAPENDA WAKUU
Sikuleta amani bali ncha ya upanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mathayo 10:34YESU MWANA WA MUNGU ANAWAPENDA WAKUU
Mtihani huo sasa masuala ya Quran na kiarabu mimi wapi na wapi inshort sijuiKatafute mkuu usome
Hv mkuu nikisema uislamu ni dini ya kiarabu nakoseaMtihani huo sasa masuala ya Quran na kiarabu mimi wapi na wapi inshort sijui
Kwa kutazama chimbuko lake upo sahihiHv mkuu nikisema uislamu ni dini ya kiarabu nakosea
Hapa nipo kkoo na ustaadhi anasalisha kiarabu na sio kimatumbi .Na jina lake ni la kiarabu piaKwa kutazama chimbuko lake upo sahihi
Saudia hawaruhusu kwa sababu ya ubaguzi wa kidini.Nchi zote za kiarabu kuna makanisa kasoro saudis,wakati wa mtume yalikuwepo sielewi kwa nini saudia hawaruhusu
Ebu nisomee mstari mzima mkuu.Mathayo 10:34
Sikuleta amani bali ncha ya upanga
Wapo wakristo wachache lakini kidogo sana kusikia hizi habari tofauti na upande wa piliMnajua kujistukia sana daah. Hakuna mkristo aliyewahi kuua mtu kisa sio mfuasi wa dini yake.
Ni ngumu sana kuutenganisha Uislam na Uarabu japo wenyewe waislam wanasema hakuna mahusiano lakini tamaduni nyingi za mashariki ya kati especially katika jamii ya kiarabu zipo kwenye UislamHapa nipo kkoo na ustaadhi anasalisha kiarabu na sio kimatumbi .Na jina lake ni la kiarabu pia
Pakistan wakiristo kibao tu,Sasa wewe mpo wawili unataka muwe na makanisa mia!!?..muweke CD makelele ya kukeshaSaudia hawaruhusu kwa sababu ya ubaguzi wa kidini.
Ukitoa Egypt na Syria na Lebanon na Morroco.Nchi nyingine wanaruhusu kanisa moja moja au mawili nchi nzima au wanawanyima kabisa sehemu ya kuabudia
Mfano mzuri Pakistani.
NB: Lakini pia kuna nchi waislamu wanabaguliwa ila hawanyimwi sehemu za kuabudia
Yaani now sio siri kwamba ukristo una chuki na uislamu maana hata huko makanisani wanawasema sana waislamu kitu nisichopenda maana wanajenga kizazi ambacho kitakua na chuki za kidini. Siku moja alikuja kanisani jamaa mmoja akataka kubatizwa ila aliongea mambo mpka nikawa natafakari je kulikua na ulazima wa kusema yote hayo na je yana ukweli ndani yake maana aliponda sana dini yake ya uislamu alipotoka. Na mchungaji nae akakazia huku akiwa kazima kipaza sauti ili ujue unafki uliopo kwanini aseme vibaya na azime kipaza sautiMara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo.
Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia.
Lakini kuna kitu nazidi kukigundua miongoni mwa wafuasi wa dini ya Ukristo nayo ni chuki ya chini kwa chini dhidi ya Uislam.
Ni kwa nini wakristo wanachuki ya chini kwa chini na Uislam tofauti na jinsi wanavyo jitambulisha ?
Je, ni kitu gani kinasababisha chuki hiyo ?
Kama unataka hio ideology ndo iwe ukweli wako sawa, sina cha kusema mm, amini unaloamini.Wakristo kama wote ni wabaguzi sema ni waoga kanisani wanafundishwa kuchukia waislamu .
Pakstan wanaongoza kwa kuvunja makanisa.Pakistan wakiristo kibao tu,Sasa wewe mpo wawili unataka muwe na makanisa mia!!?..muweke CD makelele ya kukesha
Mkuu hakuna watu tunaotembea kama waandishi huru wa habari,nikikutajia nchi nilizotembelea dunia hii tutajaza kitabuUmeishi nchi zote za kiarabu,Pakistan,Iran, Israel..habyarmana ni anko wako,we ni uchi