Dini ya Ukristo inasifika kwa upendo lakini kwa nini wanachuki dhidi ya Uislam ya chini kwa chini?

Mara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo.

Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia.

Lakini kuna kitu nazidi kukigundua miongoni mwa wafuasi wa dini ya Ukristo nayo ni chuki ya chini kwa chini dhidi ya Uislam.

Ni kwa nini wakristo wanachuki ya chini kwa chini na Uislam tofauti na jinsi wanavyo jitambulisha ?

Je, ni kitu gani kinasababisha chuki hiyo ?
Wakristo huwajui wewe.
Nenda kwenye jumuiya tu utaona jinsi wao wenyewe hawapendani.
Unafiki Ni mwingi Sana makanisani. Watu wanatoa sadaka ya mijipesa mingi kuosha majina. Hasa RC na KKKT.
nakuhakikishia Dar KKKT Kama huna hela uzee wa kanisa utausikia kwenye redio.
Vyeo vinagawiwa kiukabila zaidi.
Mfano ukiwa mchungaji wa kinyakyusa Dar umeula, nenda kwenye benki Yao au tiivii Yao ya UPENDO sijui kwanini wanauita UPENDO wakati kumejaa ukabila. Majina ya mwa mwa yako mengi mno.
 
Mara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo.

Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia.

Lakini kuna kitu nazidi kukigundua miongoni mwa wafuasi wa dini ya Ukristo nayo ni chuki ya chini kwa chini dhidi ya Uislam.

Ni kwa nini wakristo wanachuki ya chini kwa chini na Uislam tofauti na jinsi wanavyo jitambulisha ?

Je, ni kitu gani kinasababisha chuki hiyo ?
UKristo haumchukii mtu bali unachukia uovu. Hivyo wakristo hawawachukii waislamu bali yale matendo maovu ambayo yako embedded.
 
Koran 5;51. Enyi mlio amini! (Waislamu) Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki.
 
Wakristo Wana Upendo wa kinafki hivi Sasa wapo wanaomchukia Papa baada ya Papa kuamua kukaa upande wa Mashoga' pia baada ya Papa kumfuta uaskofu Askofu wa huko America ambae ni Mkatoliki mwenye itikadi kali, na kadharika kwa hio wakristu upendo wao ni wa kinafki
 
Mara nyingi dini ya Ukristo inatangazwa kama dini ya amani na upendo na wafuasi/waamini wake wamekuwa wakitambuliwa hivyo.

Ukiondoa kwamba dini ya Uislam ikitambuliwa kama dini isiyo na amani na upendo na wafuasi wake wakitambuliwa hivyo na sehemu kubwa ya dunia.

Lakini kuna kitu nazidi kukigundua miongoni mwa wafuasi wa dini ya Ukristo nayo ni chuki ya chini kwa chini dhidi ya Uislam.

Ni kwa nini wakristo wanachuki ya chini kwa chini na Uislam tofauti na jinsi wanavyo jitambulisha ?

Je, ni kitu gani kinasababisha chuki hiyo ?
Sasa mtu una mabikra 72, pepo yako kuna vijito vya pombe ukienda kutalii kwenye mji mmoja hivi mashariki ya kati unasamehewa dhambi zako zote, na ukiua mtu asiye amini unachoamini, peponi moja kwa zote

Usichukiwe kweli wakati full kufaidi😂
 
Christmass si inakaribia mtaona kila rangi. Nyuzi zitamiminika.
 
Sisi mbona hatujawahi kuwachukia kwa kufungisha ndoa za kufukuana mitaro?
Ukristo unapiga ushoga. Ni dhambi na machukizo kwa Mungu baba muumba mbingu na dunia…
Hata hivyo ushoga hausababishi mauaji kama ugaidi.
Gaidi anaua kila asiemini katika dini yake.
Hicho ndio nakipinga.
 
Toka nmekuwa muumini wa ukristo KKKT sijawahi kusikia Islam ukizungumziwa kwenye ibada
Hakuna sehemu hata sisi tunazumzia mtu kweny ibada ila kwa vitendo mnafundishwa mambo mengi kuwapa image mbaya wakristo.
 
Huwa unasikiliza mihadhara ya mashekhe wenu wanavyotumia muda mrefu kuunanga ukristo baada ya kufundisha Islam?
 
Zile ni siasa sio mafundisho ya dini ,kweny dini pametajwa mayahudi na manaswar ,nyie wakristo mnafall kweny kundi la manaswar kwa vil mmemfanya mtume Issah kuwa Mungu.

Sasa hizi chuki za waislamu magaid na wanafuga majini mnatoa wapi?
 
Koran 5;51. Enyi mlio amini! (Waislamu) Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki.
Neno rafiki lina misamiati zaidi ya 10 kwenye kiarabu. Hapo limetumika Awliya ambalo ni yule anayekuongoza kwenye mambo fulani. Kuna urafiki wa kufanya maovu. Kuna urafiki wa ujirani.
Ndiyo maana ukirejea sehemu mbalimbali tafsiri imetumika rafiki/marafiki lakini msamiati mwingine. Quran ukisoma kwa mchungaji wako lazima akupotoshe.
 
Back
Top Bottom