Dini zimefanya wananchi wa Kinole - Morogoro Vijijini kuwa Wapumbavu

Dini zimefanya wananchi wa Kinole - Morogoro Vijijini kuwa Wapumbavu

Wewe ungekuwa na elimu usingeweza kufuatilia mambo yasiyokuwa na maana kwako.
Michango yako inaonesha jinsi ulivyo, ulifaa kuwa mwanakijiji wa KINOLE.
Uwe na siku njema.
 
Wiki hii nilifika kijiji cha Kinole kuangalia uwezekano wa kununua mananasi na kuyasafirisha, kipindi naendelea na urafiti nikiwa na vijana kadhaa wenyeji wa hapo nilibaini uwepo wa mpasuko mkubwa wa kidini.

Kwanza, wanakijiji waislamu wamejenga upande wao na wakristo wamejenga upande wao.

Pili wanakijiji waislamu hawanunui vitu kwa wakristo na wakristo hawanunui vitu kwa waislamu.

Tatu hawapeani michongo ya pesa, niliona mashamba 3 makubwa wale mabwana wakakataa kunipeleka kwa mmiliki wa shamba latatu kwakuwa ni muumini wa dini nyingine.

Mbele kidogo nikakutana na mtu kwenye shamba lake, nikashuka nikawaacha wale vijana kwenye gari, nikamuuliza hivi lile shamba kule mbele kwenye kona ni lanani nayeye akajibu nila mtu wa imani fulani kwani ulikuwa unataka mananasi? Tunaweza kukuuzia sisi.

Nikarudi nikawapitisha wale vijana nilipo watoa nikaondoka haraka maana niliona ni hatari kuendelea kukaa na WAPUMBAVU.
Dini ni kifungo cha kutokujitambua huku ukidhani wewe ndiyo mjuaji zaidi kuliko wengine
 
Ngoja tutume team ya uchunguzi huko kufatilia 😄

Ova
 
Alafu watu wa dizaini hii wanakuaga wana hasira zisizo na msingi
 
Moderator Futeni uzi huu wa kizushi ni hatari sana kwa ustawi wa Taifa letu. Mkiufuta naomba mninotify plz.

With much thanks in advance .

🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Uzi upelekwe jamiicheck ukweli ujulikane.
 
Back
Top Bottom