mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
ila majini hatuuzi.ndiomana nikasema mumejikita kibiashara mnakataa nini Sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila majini hatuuzi.ndiomana nikasema mumejikita kibiashara mnakataa nini Sasa?
Sina mamamimi sijui kwani wewe mama yako bikra??
Hujajibu bado,😁hao ndio Wateja wenyewe
Jielimishe kuhusu dini yako, mimi pia ni mkatoliki, huwa nafanya kile tu ninachokiweza, sifuatagi mkumboSalaam!
Mimi nafikirishwa sana na hizi dini za leo za kizungu, binafsi mimi ni mkatoliki lakini naona uchafu uchafu tu.
Hawa wakristo tuwape muda tu hii karne ya 21 ikipita najua hatuta kuwepo wengi humu ila ukristo utakuja kuwa kituko cha karne (22) kutokana na yale tunayo yaamini viongozi wetu wanatuletea mapicha picha ya kutufanya sisi ni misukule yao.
Nimejiuliza swali moja tu mimi kama baba mlezi mtoto alifika hatua ya kipaimara, nikaambiwa eti nitoe shilingi elfu 25,000 ili mtoto akae pamoja na askofu. Yaani yeye askofu anakuja kukaa na watoto hiyo siku ya kipaimara wanakula pale sahani ya wali na soda na stori mbili tatu afu imeisha hiyo. Mimi kipaimara changu hakikuwa hivi sasa hii elfu 25 ni ya nini? Mamichango ya zaka ni lundo.
Kidogo nisahau kuuliza hili swali?
Hivi wakuu na huko kwenye uislamu ni hivi hivi?
Sasa hivi matapeli wa imani wamekuwa wengi sana katika uislamu na ukristo. Tunapigwa sana aisee!!
Shehe Mwaipopo ni tapeli mkubwa!Hebu taja mmoja tu katika masheikh wa kiislamu aliekutapeli, au aliemtapeli muislamu ama asie Muislamu!
Kiongozi wao alikuwa analipwa consultation fee kabla ya kumuonaHebu taja mmoja tu katika masheikh wa kiislamu aliekutapeli, au aliemtapeli muislamu ama asie Muislamu!
kwahiyo angekuwepo ungemuuliza??Sina mama
Ni majonzi kabisa.Sasa si bora wewe Mkatoliki uliambiwa utoe hiyo 25,000/=
Mimi Mlutheri (KKKT), niliambiwa mwanangu atoe 70,000/= ili aweze kupata kipaimara mwaka Jana, nilishangaa Sana!!!
Nikahoji hiyo elfu sabini yanini?! Kwani kupata kipaimara ni biashara?! Wakajibu atapewa biblia Kama zawadi?!
Sawa hatukatai kupewa biblia, lakini hiyo ndio bei ya biblia?! Na Kama mzazi hana hiyo hela?! Ndio kusema mtoto hapewi kipaimara?! Kiukweli haya madhehebu yetu hakika yamegeuka sehemu ya kuchuma hela Sana Tena kwa lazima, huna hela hupati huduma ya kiroho,
NB:
Watu hawakatai kutoa sadaka, michango n.k. lakini isiwe too much, au upigaji kiasi hicho ,Tena kwa masharti na lazima , hutoi hupatiwi huduma ya kiroho!!
Inasikitisha Sana kiukweli!!
Tunakoelekea huko, sijui,,,!!!
Mungu tu atusaidie!!
Mimi nakumbuka nilitoa 100,000 kukatikiwa matakrooo na GiGi money kila Malaika na shetani na njia yake🤣🤣Mimi kipaimara changu hakikuwa hivi sasa hii elfu 25 ni ya nini? Mamichango ya zaka ni lundo.
Ona hii Ng'ombe ya Papa nayo😅Sasa wewe kenge unalalamika nini?
Si uende kwa mwamposa au kuhani mussa!
tena hama hata leo Ukatoliki hakuna gereza wala minyororo. Kwendraaaaaaaaaaaaaaaaa
Gibberish [emoji706][emoji706]ukiristo kwaujimla wake ni biashara.dini yaukweli niuislamu
kunakanisa mahalo mchungaji kuonana namuumini sikuambayo Sio yaibada ni elfu 60 nawaumini wanajazana Hadi wengine wanakosa nafasi yakumuona.
Sasa najiuliza mchungaji kashindwa kuwaombea kawaida Hadi aonane Nao mmojammoja?Tena kwaelfu sitini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]