Dini zimefanywa biashara, michango imekuwa mingi

hahahaa yaani ni sawa na kusema njiani kuelekea kwa mungu kuna shetani anatoza ushuru.
 

Kila sehemu watu wanatumia dini kimaslahi,au hukuona ngumi zilizipinganwa msikitibwa mwanza kisa maokoto.
 
Sasa hivi matapeli wa imani wamekuwa wengi sana katika uislamu na ukristo. Tunapigwa sana aisee!!
 
Majengo mengi walijenga wakoloni ndiyo maana baraka nyingi zinakwenda kwao. Usitoe
 
Mimi ninavyojua hiyo hata mzazi asipotoa still mtoto atapata Kipaimara hii huwa inasemwa hiyo hela ili wazazi wenye uwezo wachange wasiokuwa na uwezo watabebwa na hiyo hiyo 25,000/=

Hiyo matumizi yake ni pamoja na kupigwa picha za tukio zima Kanisani na kwingineko,so nadhani mzazi wewe ungedondokea kwenye kundi la wazazi wasiokuwa na uwezo na asiyetaka mwanae awe na kumbukumbu nzuri za maisha yake maana hata kumlipia mpiga picha hutaki kisha uone kama mwanao asingepata huduma.

Au unaweza pia ukahama imani kama unaona kuna sehemu pako salama zaidi kwa roho yako.
 
Muanzilishi
58:12. Enyi mlio amini! Mnapo sema siri na Muhammad, basi tangulizeni sadaka kabla ya kusemezana kwenu.....

Koran8:1. Wanakuuliza juu ya Ngawira. Sema: Ngawira ni ya Allah na Muhammad.....
 
Wazushi kama ww. Hawatakiwi kwenye jamii iliyostaarabika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…