Dini zimefanywa biashara, michango imekuwa mingi

Muanzilishi
58:12. Enyi mlio amini! Mnapo sema siri na Muhammad, basi tangulizeni sadaka kabla ya kusemezana kwenu.....

Koran8:1. Wanakuuliza juu ya Ngawira. Sema: Ngawira ni ya Allah na Muhammad.....
weenakujua sana husumbui🤣🤣🤣yesu siomungu nifundi kapenta haya leta maandiko yako yauongo🤣🤣
 
Kiingilio hicho.Kuna shida mahali.
Hapana siyo kiingilio hiyo hata isipotolewa still tukio litafanyika hiyo huwa wanatoa wale wenye uwezo wasiokuwa na uwezo nao watashiriki pamoja,hilo ni tukio la jamii siyo vyema mtoto huyu apigwe picha yule asipigwe picha kisa alikosa 5,000/= ya mpiga picha.

Hiyo pesa unakuta ipo included pamoja na picha za matukio so tu-assume mtoto wa huyu bwana kama angekuwa na uwezo akatoa hiyo hela atapigwa picha 10 ni 10K,sahani ya chakula weka 7K hiyo 8K yupo mzazi hana uwezo ingembeba kwenye picha za mwanae nae afurahi.
 
25k unapiga kelele humu ,hata hiko kipaimara watu watashiba kweli?

Ukienda bar unatumbua kreti kadhaa za bia kwa kuwapa watu offer.
 
Mimi ni romani ila siku hizi hakuna tofauti na kina kuhani musa.
Nashindwa kuelewa muumini wewe umeshindwa vipi kutambua taratibu za Kanisa na hata jamii kwa ujumla,mwanao atapigwa picha za ukumbusho wa tukio lake?

Kama jibu ni ndiyo,wewe unataka hizo picha nani amlipie?na umeshajiuliza kwamba ktk nyie wazazi mpo wenye uwezo tofauti tofauti?kwamba wewe una uwezo wa kumlipia mwanao picha na chakula akapiga picha na askofu akafurahi vipi kuhusu mimi nisiyekuwa na uwezo unataka mwanangu asibaki na kumbukumbu yoyote maishani?unajisikia vibaya kum'beba mtoto wa muumini mwenzako halafu unajiita Mkatoliki?
 
Nimenakili tayari.
 
weenakujua sana husumbui🤣🤣🤣yesu siomungu nifundi kapenta haya leta maandiko yako yauongo🤣🤣
Acha kuruka point ya msingi

Huyu alikuwa mpaka anasema anagawana Mali za uizi (ngawira) na mungu wake 😂😂😂🤣

Muanzilishi
58:12. Enyi mlio amini! Mnapo sema siri na Muhammad, basi tangulizeni sadaka kabla ya kusemezana kwenu.....

Koran8:1. Wanakuuliza juu ya Ngawira. Sema: Ngawira ni ya Allah na Muhammad.....
 
Nimekuelewa burudaaa lakini mbona hakuja na picha za askofu isipokuwa mama alilipia tena gharama ya picha kwa mpiga picha binafsi hii haipo kwenye 25000 brudaaa.
 
Umeshindwa kutofautisha wa ukweli na wa uongo Sio kosa lako
 
Toa hela mtoto awe kipaimara unataka mtoto apigwe bao na shetani kizembe
 
Wengi mnakuwa kama wajinga kwa kufirikia ujinga ...Nitakupa mfano.

Kiini cha ndoa mpaka harusi labda umefungwa kwa kufuata dini ,umeenda huko kanisani au msikitini kukamilisha ndoa sasa hapo ndio kweny kiini cha ndoa na harusi yenu ...Ukimaliza hapo kiongozi wa dini either mkristo au muislamu utampa pesa haizidi hata laki 2 tena ndogo sana kama chini ya laki.

Baadae unaenda kufanya sherehe unakodi ukumbi wa million 2 bado kuna vyakula ,wapiga picha ,magari ya kukodisha, unavaa suti fully mpaka viatu zaidi ya laki 7 ..yote haya unaacha ila unafikria ile laki mbili uliyompa kiongozi wa dini ..

Kumbuka hata pesa ya ukumbi na maandalizi yote hayo umelipa kwa binadamu ila akilini unafikria pesa uliyompa kiongozi wa dini tu ,na yeye ndio kafanya kazi kubwa kukamilisha jambo lako..

Halafu unasema unamchukia shetani.!?
 
nakufaham kuliko unavyo jifaham Kuwa hujui kitu😁nasema hivii yesu alikuwa kapenta Sasa kapenta fundí vitanda anaweza Kuwa mungu?🤣🤣🤣🤣🤣
 
nakufaham kuliko unavyo jifaham Kuwa hujui kitu😁nasema hivii yesu alikuwa kapenta Sasa kapenta fundí vitanda anaweza Kuwa mungu?🤣🤣🤣🤣🤣
Embu jibu acha kukwepa
Ulishawahi kusikia binadamu anagawana Mali za uizi (ngawira) na mungu wake ? Zaidi ya Muhammad?

Koran8:1. Wanakuuliza juu ya Ngawira. Sema: Ngawira ni ya Allah na Muhammad.....
 
Nimekuelewa burudaaa lakini mbona hakuja na picha za askofu isipokuwa mama alilipia tena gharama ya picha kwa mpiga picha binafsi hii haipo kwenye 25000 brudaaa.
Usinipachike vyeo nisivyostahili bruh hiyo haisaidii unanipa mashaka kama kweli wewe ni mzazi wa mtoto anayepata Kipaimara,unaweza ukahama pia maana kama unashindwa kuelewa vitu vidogo kama hivi halafu unajiita Mkatoliki wewe unaongeza tu wingi wa watu Kanisani na siyo wingi wa Watakatifu jinsi ilivyo target ya Kanisa,yaani Kanisa linaonekana limejaa kumbe limejaa wahuni.

Ukiwa kama muumini unatakiwa ujue hatufanani hali mmoja tajiri mmoja hajiwezi inabidi hapa shughuli ifanyike kijumuiya mwenye nacho asiyekuwa nacho wote nafsi zao zifurahi (wewe unajisikia vibaya kufanya kitu kwa ajili ya wasiojiweza but mind you,huyo mwanao atafurahi sana kujumuika nao sababu hajaingiwa bado na roho ya uchoyo zaidi anawaona kama wenzake) ungekuwa na hoja kama askofu alisema mtoto ambaye hajatoa hiko kiasi asijumuike na waliotoa which is haikuwa hivyo.
 
Sasa hivi matapeli wa imani wamekuwa wengi sana katika uislamu na ukristo. Tunapigwa sana aisee!!
Kwenye uislamu wanaingia kwa dirisha la sheihk majini na dawa za kisuna lakini nisiwe muongo hawa jamaa wanatibu hata kama watakuwa hawafuati taratibu za uislamu lakini angalau na hawa hawana magharama mengi na wanaishi uhalisia wa maisha.....wakuangalia nyota ni matapeli....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…