Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
Namsikiliza jamaa alikuwa anaongea kuhusu Afrika. Alisema kabisa dini zimetugawa pakubwa lakini ikatokea Afrika tukatawaliwa kama karne ile ya 15 basi miongoni mwetu, tena 80% watasema ni mapenzi ya Mungu.
Unapitia shida.... MAPENZI YA MUNGU
Unanyanyasika.... MAPENZI YA MUNGU
Unateseka kitandani... MAPENZI YA MUNGU
Huyu Mungu anayetupa mateso kwa nini aliamua hivi? Hivi kweli amekuumba masikini tu, uteseke tuuu...
Mwafrika amka acha UJINGA.
Tusimsingizie Mungu kila kitu. Wakati mwingine chukua hatua. Mungu hajakuumba uwe masikini wa kutupwa, amekupa nguvu, akili, what next? Na wewe nenda mapambanoni kama wenzako.
YAANI MIMI SIJALI... NI MAPENZI YA MUNGU🤣🤣🤣🤣
Waliokuletea dini hawanaga haya mambo ya mapenzi ya Mungu. Waarabu wanauawa, hawasemi mapenzi ya Mungu, nao wanashuka silaha na kuingia vitani the same na Wazungu.
Wewe unafikiri Ukraine angekaa tu wakati anapigwa na kusema ni MAPENZI YA MUNGU.
MUNGU GANI?
ACHENI UCHULO.
Utafiti mmoja wa Marekani ulionyesha WAPAGANI kuwa na IQ kubwa kuliko watu wenye dini. Yaani hao WAPAGANI ni wale hawaamini kama kuna Mungu, yaani wanaonekana kuwa na akili kuliko sisi tunaoamini.
Dini inetulimit, hatutakiwi kufikiria baadhi ya mambo. Yaani dini haitaki uulize maswali, unatakiwa kufanya kile ulichoambiwa, ukitaka kuuliza tu, unatishiwa unamkufuru Mungu🤣🤣🤣🤣
Wazungu na Waarabu wanezifunga akili zetu. Na muogope sana mtu anayekufunga akili kwa sababu kila kitu huanzia hapo.
Umekaa tu unamuuliza mchungaji: Hivi Mungu ametoka wapi?
Hakujibu kwamba sijui, atakujibu utamkufuru Mungu.
TUMEFUNGWA AKILI... TUMEFUNGWA AKILI... TUMEFUNGWA AKILI.