DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Mchango wa dininni kuleta ustaarabu kwa kiasi fulani nadhani hivyo mkuu...Najaribu kuangalia umuhimu wa hizi dini ni upi mpaka sasa.?
okay mkuuMchango wa dininni kuleta ustaarabu kwa kiasi fulani nadhani hivyo mkuu...
Tukisema huyu Dr mapaka ni KIAZI wa mwisho tunaonekana wabaya , hapo linatafuta sababu ya kufanya uchawa wake zidi ya CatholicSwali la kitoto na la kijinga sana.
I wish angeuliza mtoto wangu wa miaka minne.
Labda amemaanisha zile dini za wahuni wenzao, na zilizosajiliwa kama taasisi binafsi za watu! Na ambazo zimejikita zaidi kwenye kuwatapeli wananchi wajinga kupitia miujiza na bidhaa zao feki.Maswali ya kidato Cha pili, Yani haujui mchango wa dini
Shule
Hospital
Na huduma nyingine za kijamii dini imetoa mchango mkubwa sana
Kweli wewe ni dr mapaka kabisa
sawa mkuuZimeongeza ajira
shule ya kitima iko wapMaswali ya kidato Cha pili, Yani haujui mchango wa dini
Shule
Hospital
Na huduma nyingine za kijamii dini imetoa mchango mkubwa sana
Kweli wewe ni dr mapaka kabisa
sawa mkuuMshikamamano.
Hajui kuwa taasisi ya kidini ni serikali kamili ndani ya serikali .Labda amemaanisha zile dini zilizosajiliwa kama taasisi binafsi za watu! Na ambazo zimejikita zaidi kwenye kuwatapeli wananchi wajinga kupitia miujiza na bidhaa zao feki.
Zinakuza kilimo cha alizeti na mawese.. Wakulima wanawauzia manabii mafuta kwa wingi ili wawaletee.Najaribu kuangalia umuhimu wa hizi dini ni upi mpaka sasa.?
Labda amemaanisha zile dini zilizosajiliwa kama taasisi binafsi za watu! Na ambazo zimejikita zaidi kwenye kuwatapeli wananchi wajinga kupitia miujiza na bidhaa zao feki.
😁😁Zinakuza kilimo cha alizeti na mawese.. Wakulima wanawauzia manabii mafuta kwa wingi ili wawaletee.
Mkuu tuliza kichwa chako vizuri halafu fikiri kwa ufahamu kabla hujaandika chochote hapa, sababu huu uzi wako unakudhalilishaje hizo sadaka mabilioni huwa unafatilia zinatumikaje ?
shule na zahanati au hosptali wanatoa huduma bure ??Maswali ya kidato Cha pili, Yani haujui mchango wa dini
Shule
Hospital
Na huduma nyingine za kijamii dini imetoa mchango mkubwa sana
Kweli wewe ni dr mapaka kabisa
Mficha uchi hazai , haya ni matokeo ya kuachia uchi kinachozaliwa Sasa ni upumbavu na ujuhaMkuu tuliza kichwa chako vizuri halafu fikiri kwa ufahamu kabla hujaandika chochote hapa, sababu huu uzi wako unakudhalilisha