Dini zina mchango gani hapa Tanzania mpaka sasa ?

Dini zina mchango gani hapa Tanzania mpaka sasa ?

Misaada ya zamani ya wazungu,siku hizi hawaamini ukristo misaada imekoma, ndiyo mnakamuliwa kweli kweli kupitia sadaka zilizopewa majina tofauti
Hata hivyo zinaonekana hazitoshi kugharamia tabia za ulevi na starehe
Sasa dizaini mpemba kabana sehemu basi makelele miksa maandamano
Kilichozungumziwa kwenye mada, ni dini ikiwemo na uislamu , wewe unaleta habari za ukristo unaona akili zako?🚮
 
Najaribu kuangalia umuhimu wa hizi dini ni upi mpaka sasa.?

ukiachana na kujilimbikizia mali na kula sadaka za wahumini je upi mchango wa dini?.
Mimi kwa maoni yangu binafsi dini hazina mchango wowote zaidi ya kuongeza, kundi kubwa la umaskini na kuleta ubaguzi na chuki kwenye jamii??
 
Kilichozungumziwa kwenye mada, ni dini ikiwemo na uislamu , wewe unaleta habari za ukristo unaona akili zako?🚮
Mtoa mada kamlenga kitima na wenzake, maana ndiyo wanaleta timbewili
By the way, uislam uliwafanya wamanyema waache kula nyama za watu na wanyamwezi wasiue watu ovyo
 
Mtoa mada kamlenga kitima na wenzake, maana ndiyo wanaleta timbewili
By the way, uislam uliwafanya wamanyema waache kula nyama za watu na wanyamwezi wasiue watu ovyo
Hivi humu najadili na watu wenye akili timamu kweli au wagonjwa wa mirembe🤔
 
Kwani wapi wanatoa mchango bila kupiga hela?
Waislam kwa kuchimba visima na kugawa maji bure,walioharibikiwa safari kulala misikitini bure,kuhudumia yatima,kusaidia wagonjwa vyakula,dawa,sabuni
 
Hivi humu najadili na watu wenye akili timamu kweli au wagonjwa wa mirembe🤔
Inategemea na wapi umesimama bro, maana wengine Ile oktoba mnaona risasi za polisi tu na wengine wanaona wahalifu tu, inategemea nini unaamini
 
Ina maana hauoni watu Jinsi walivyo mazezeta mbele ya utawala !?
 
shule ya kitima iko wap
Duuh Mmefikia uku machawa Ccm na akili za bata? Dini Ina hasara zake chache lakini Bado haiondoi ukweli Ina mchango Mkubwa kijamii kama ilivyoainishwa na baadhi ya wachangiaji hapo juu, Hata viongozi wenu Ccm kama Mwl Nyerere,Mkapa,Kikwete nk ni zao la shule za dini/missionari...
Lakini umesahau kuulizia shule ya Mtume Mwamposa, ya bakwata na hospitali zao au wenyewe hawachukui sadaka za kujimaliza🤣🤣??
 
Hasahasa mi naonaga kama vile zipo kwa ajili ya kuwafariji watu waliokata tamaa na ndo maana unaonaga asilimia kubwa ya haya madhehebu utakuta wanawake ndo wameyatilia maanani kwa vile wanawake hupenda maneno matamu matamu na ya kuwabembeleza mara nyingi kama ukienda kanisan utakuta wanaume ni wakuhesabu
 
Duuh Mmefikia uku machawa Ccm na akili za bata? Dini Ina hasara zake chache lakini Bado haiondoi ukweli Ina mchango Mkubwa kijamii kama ilivyoainishwa na baadhi ya wachangiaji hapo juu, Hata viongozi wenu Ccm kama Mwl Nyerere,Mkapa,Kikwete nk ni zao la shule za dini/missionari...
Lakini umesahau kuulizia shule ya Mtume Mwamposa, ya bakwata na hospitali zao au wenyewe hawachukui sadaka za kujimaliza🤣🤣??
hilo nalijua kabisa na nmemtarget uyo jamaa mmoja, ila inaeleweka sana services zao ni nyingi
 
hajui kuwa hizo ni biashara kama biashara za MO au GSM ni for profit gain
Vp na wewe Unalipa Kodi serikalini, Hospitalini unalipia pia huduma hata kama una bima afya Kuna namna umeilipia na pia haigharamii magonjwa yote, pia umeme tanesko unaulipia kwanini serikali isikupe Bure ulishalipa Kodi mbalimbali Kwa serikali??...
Japo binafsi nakubali makanisa ya kimfumo haya Rc,Kkkt,sabato nk yana hasara zake/mabaya ikiwemo kusapoti ukoloni nk lakini hatuwezi beza mazuri yake mengi nyuma ya hayo mabaya. Na hatutaki hizi dini za kuletewa na Wazungu na waarabu tuzifute kabisa mbona Urusi,North korea na china nadhani na India hawana mambo ya ukatoliki,sijui uislamu sijui wasabato wamestick na dini zao za asili za Karne na karne ili wasiwe brainwashed na mental slavery km uku Afrika na Tz...
So madam Zina operate legally chini baraka ya serikali yako Ccm so msilete arguments za kipumbavu hizi na propaganda zikilenga dhehebu moja tu la katoliki kisa tu baadhi wanasiasa wenu Ccm kukosolewa ilhali zinatambulika kihalali
 
TEC inawapeleka puta eeeh, mpaka mnaona hakuna umuhimu wa kuwa na dini sasa ksa misimamo ya viongoz wa kanisa katoliki, haya futeni dini sasa ila muhakikshe mmezifuta na miyoni mwa waumini..najua mnawaza kufuta na vyama vya siasa ksa maccm imepoteza mvuto kwny taifa hili na chadema wameshawamaliza kbs kwaiyo mnatamani turudi kwny tawala za kichifu ili tu eti kusiwepo na utawala wa chama kngne maana ccm imeshaanguka.
 
Misaada ya zamani ya wazungu,siku hizi hawaamini ukristo misaada imekoma, ndiyo mnakamuliwa kweli kweli kupitia sadaka zilizopewa majina tofauti
Hata hivyo zinaonekana hazitoshi kugharamia tabia za ulevi na starehe
Sasa dizaini mpemba kabana sehemu basi makelele miksa maandamano
Hopeless kabisa wewe. Sisi kutoa sadaka kwa ajili ya kulitegemeza Kanisa inakuuma! Halafu huyo kilaza wako amebana nini sasa kwa mfano! Nongwa kuambiwa muache kukandamiza haki za raia!! Wajinga wakubwa nyinyi.
 
Mwaka huu utapasuka nyongo
 
Attachments

  • IMG_20260106_000404_969.jpg
    IMG_20260106_000404_969.jpg
    47.4 KB · Views: 16
Najaribu kuangalia umuhimu wa hizi dini ni upi mpaka sasa.?

ukiachana na kujilimbikizia mali na kula sadaka za wahumini je upi mchango wa dini?.
Zimejenga Mashule na Mahospitali na zingine zishaingia kabisa ubia na serikali...ila nchi yetu haiongozwi na Dini

Nashangaa TEC wanataka kuipangia serikali cha kufanya🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom