pambe samanini
JF-Expert Member
- Oct 27, 2015
- 464
- 271
Jitahidi uwe na dini hata ya kipagani nyumbani kwako ili ujue umuhimu wake.
Viongozi wa dini hasa za kikristo duniani kote ndiyo walioleta mapinduzi ya kisiasa, kiuchumi, kijamii nk kwa kukataa udhalimu, kutweza kwa utu wa watu,